Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hv kinachosubiriwa ni ajali ili iundwe tume na litolewe tamko la kupiga marufuku usafiri huu wa abiria ni wapi kilitolewa kibali gari hizi zibebe abiria!!leo nimeahirisha safari baada ya kukosa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
WanaJF nawaombeni sana kama mtanzania mzalendo twende kwenye www.n7w.com ili tuuchague mlima kilimanjaro uingie kwenye seven wonders of the Nature. ukiingia una faida nyingi kwa watanzania...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
wakuu nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu sana television zetu,Tbc,Star,Itv nk mnaonaje je mnaridhika na huduma yao au unasema tutafanyeje?? mimi binafsi sijaridhika kamwe,nahisi wanafanya mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzee chiligati amesema kuwa katika Chama Cha Mapinduzi msemaji wao ni mmoja tu nae ni Nape, *Kama issue ndio hiyo,ccm wamfundishe Nape cha Kuzungumza,si matusi kama ya mwanza
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WanaJF habari za asubuhi napenda kutoa taarifa ya msiba wa kijana wetu Abasi. Kama mtakumbuka kulikuwa na thread iliyorushwa na Afrodenzi kuhusu kijana huyo, alikuwa amelazwa hospitali ya KCMC...
15 Reactions
65 Replies
6K Views
Wadau mimi ni mmoja wa wahanga wa usafiri wa daladala hapa mjini. Hali ni mbaya sana kwa sasa, kwani inapofika jioni daladala nyingi zinakatisha route zake. Watu wa mbezi ya Kimara watakubaliana...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi hakuna mwakilishi wa Vodacom au TCRA humu barazani? Au japo mfanyakazi tu wao afikishe malalamiko yanayotolewaga hapa? Mbona tunaibiana mchana kweupe? TCRA mko wapi lakini? Mmehongwa Tshs...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
Nikiwa kama mwana Jf niliyewah kuishi na kusoma mkoa wa Mbeya nahuzunika sana kusikia matukio ya watu kupigwa nondo...swali langu je ni ukosefu wa ulinzi shirikishi au ni ushirikina? Je serikali...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Baadhi ya wanafunzi walipata udahili second round na kukosa mikopo, wamefika vyuoni na kujiamulia kuondoka coz hawana msaada.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Fauja Singh becomes the world oldest marathon runner. Fauja now 100 years old ran the Toronto Waterfront Marathon in 8 hrs 25 min. Siri ya mafanakio yake? Ubwaba,chai na kuwa mchangamfu daily...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Wataaalam wa umeme tunaomba watujuze; Hivi umeme wa gesi (Gas Plant) unaweza kutumika kama 'Continuous power' au 'Standby power'? Kwa nini TANESCO na Serikali wanang'ang'ania umeme wa gesi kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MBUNGE WA JIMBO LA MVOMERO AMOS MAKALA ATEMBELEA ENEO LA MGOGORO WA ARDHI KATI YA WANAKIJIJI NA MWEKEZAJI Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla (wenye suti) akiangalia uziouliowekwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Never trust a black and at all costs never believe one.( Hususan katika nchi za Ulaya)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Siasa zimeikumba fani ya afya. Udaktari sasa miaka mitatu chuo. Lengo ni kujaza majengo waliyojenga mikoani (zahanati kila kata) wakawa wanaombea kura. Wananchi afya zetu zimewekwa rehani...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini wandugu Naomba kwa anayefahamu,kuchukua fomu ya kuomba kuvuta umeme wa tanesco kwenye nyumba ni bei gani?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nchi hii inapoteza mwelekeo! Kila kitu sasa ni kwa jina la Nyerere! Eti hata chuo kikuu cha Dar es Salaam kinabadilishwa jina kuitwa Mwalimu Julius Nyerere University. Hii ni sawa? Mbona...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
- 6/17/2009 - From Morgan Owusu, Kumasi AN ABOMINATION was recorded on Monday June 8 at Ahwerem-Domeabra in the Ahafo-Ano South district of the Ashanti region when a 16-year-old boy was caught...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hivi nyie wamiliki kama mko huku JF mnayafanyiaga magari yenu service? Leo usafiri wa kutoka Arusha kwenda Morogoro ulikuwa wa shida sana! Magari kama Hood, Abood, BM yalikuwa yamejaa, abiria...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
IGP atangaza zawadi ya mil 5 atakae fanikisha kumkamata Huyo alie mjeruhi kijana. Source-TBC 1
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF, ni matumaini yangu makubwa muwenye afya njema , poleni kwa wale afya si njema sana Mungu awabariki napate kurudia afya zenu ilituweze kulisukuma mbele gurudumu la maendeleo la nchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom