Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu habari za jioni. Ninashida ya kujua ni njia ipi mtu aliye maliza chuo kikuu kwa mkopo wa bodi ya mikopo anaweza kujua jumla ya pesa anazo daiwa? Natanguliza shukrani za dhati.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kauli hii imetolewa na waziri Sofia Simba wakati anazindua kitabu kinachoitwa MIMI NI MSICHANA. Wakati akiendelea Sofia kasema walimu ni chanzo kikubwa ambacho kinawafanya watoto(wanafunzi)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku si nyingi Ethiopia ilikamilisha ujenzi wa bwawa la maji linalozalisha megawatt 5,000 za umeme. Wakiunganisha na mabwawa mwngine waliyokuwa nayo sasa wanakaribia megawatt 1,000 za umeme...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hayati Maulid Hamad Maulid enzi za uhai wake CHAMA Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa), kinasikitika kutangaza kifo cha mwandishi mahiri wa habari za michezo Zanzibar, Maulid...
3 Reactions
61 Replies
6K Views
Siku hizi pia namwona Mh Waziri Mkuu anavaa haya mapete makubwa makubwa yenye vidani flani hivi. Kwa jinsi ninavyoshituka nikiyaona mapete hayo,,nahisi sio ya urembo,,hasa ukizingatia umri...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Tue, Oct 18th, 2011 Tue, Oct 18th, 2011 Tanzania Dr. Mwele Ntuli Malecela The National Institute of Health Research (NIMR) Director General, Dr Mwele Ntuli Malecela, has become the first...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwaka 1936, wakati ulipotokea uhaba wa fedha taslimu kule Tenino, Washington, Marekani, noti zilitengenezwa kutokana na mbao kwa kipindi kifupi. Kulikuwa na noti za mbao za thamani ya dola 1, 5...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF, Nimechukuwa muda huu kupenda kujua vyema kuhusu NHC Shirika la nyumba Taifa pale lilipo tangaza kuwa lina uza nyumba zake katika mikoa ya Arusha na Dar -Es-Salaam. Kweli katika tangazo...
3 Reactions
12 Replies
5K Views
Najua ni jambo ambalo wengine hawatopenda hata kulisikia lakini ni maoni na mtazamo wangu tu! Binafsi naona ni sahihi nyerere kuwa baba wa CCM na si baba wa Taifa, kama angekuwa baba wa Taifa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni takribani mwaka mmoja sasa, tangu Mamlaka ya Mawasiliano nhicni TCRA watangaze kwamba ni mwisho wa kutumia namba ya simu ambayo haijasajiliwa, lakini cha ajabu mpaka leo miezi zaidi ya 11 tangu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
cku moja nilisikiliza taarifa yao wakidai yule mjeda wa Taifa Teule Takatifu Mali ya Wayahudi Wapalestina ni makimbizi anayeshiliwa mateka na magahidi wa Hamaz kule Israel ya Gaza ati walidai...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Embu angalia hapo miaka mitani iliyopita ilkua ukiitwa kwenye intrview utakuta watu wenye mawe yaani degree ni wachache kuliko hivi sasa lakini sasa interview moja ya watu 12 mnakutana watu 2242...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
If the election were held 2morrow, who would get your vote? Wanaonekana kuwa na nguvu zaidi katika ccm or CHADEMA
0 Reactions
0 Replies
670 Views
The singer-actor went ,,diva,,on the delta flight crew membeq when asked to buckle up.according to several media reports that cite a reports by TMZ.COM. whitney got diva on the crew...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nasisitiza tena hatuombei vita vitokee ila kwa jinsi watanzania walivocharuka lolote laweza kuja. Ndugu zangu kama siku vita vikitokea Tz, tutakuwa wajinga mno kama mauaji yatakua baina...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
MKAZI wa Ukonga mkoani Dar es Salaam, Zahara Abubakari (18) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini humo akikabiliwa na mashitaka ya kumuua mtoto wake kwa kumtumbukiza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wooote wana jf wenzangu. Nawaomba sana mnivumilie kwa kuiweka mada hii katika jukwaa hili kwani naamini jukwaa hili ndilo linalopitiwa na wengi zaidi kuliko mengine hivyo nategemea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wanajamii, napenda kuwabandikia sifa za wagombea nafasi mbalimbali ndani ya Chama cha Waandishi wa Habari Mkoani Morogoro kama ifuatavyo: NAFASI YA UENYEKITI 1. AZIZI MSUYA SIFA ZAKE: Ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Some at denial stage of tribunal exit … Can’t be true! The expected closure of the United Nations Criminal Tribunal for Rwanda (UN-ICTR) courts is going to badly affect socio-economic...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF jana saa moja na nusu jioni best bite namanga nilipata ajali. nilikuwa na drive kuelekea morocco ikatokea gari kwenye barabara inayo tokea pembeni ya best bite ilikuwa mbio sana na...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom