Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ndugu wanaJF napenda kutoa ushauri wa bure kwa mamlaka ya mapato Tanzania (tra) kuhusu kukusanya kodi tena ni nyingi kwa wamiliki wa nyumba za hosteli za wanafunzi wa vyuo na sekondari. Níkirejea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbunge wa jimbo la Kahama James Lembeli amesema anamshangaa kada wa muda mrefu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kingunge Ngombale Mwiru kuibuka sasa na kupingana na mwenendo wa baadhi ya viongozi wa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
WABUNGE watatu wa Tanzania wameteuliwa kuwa Wajumbe wa kamati mbalimbali ndani ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam. Wabunge hao ni Kabwe Zitto wa Kigoma Kaskazini, Richard Ndassa wa Sumve na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Waziri wa Katiba Zanzibar awatoa wasiwasi wawakilishi
0 Reactions
0 Replies
988 Views
SHERIA ya Afya ya Jamii ya mwaka 1936, itafanyiwa marekebisho makubwa na kuongezwa baadhi ya vipengele kikiwemo cha kupiga marufuku uvutaji wa sigara katika mikusanyiko ya watu. Waziri wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baba ambaka binti yake, ampa 2,000/- atunze siri Na Mwandishi wetu 17th October 2011 B-pepe Chapa Maoni Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Buzirayombo...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Leo asubuhi nikiwa nasikiliza mapitio ya magazeti kwenye Radio Magi FM nimesikia kwa mara nyingine tena mtangazaji akisema kwa kujiamini "Sasa nimeshika gazeti xyz "GAZETI LA CHAMA"Kwa kuwa mimi...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani, mimi ni mmojawapo wa Watanzania tuliokuwa tunasubiri kwa hamu maandamano tuliyotangaziwa na Wanaharakati akiwemo mama yetu Ananilea Nkya, kuwa yangeanza tarehe 14/10/2011 kwa siku kumi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Monday, 17 October 2011 21:32 Mussa Juma,Samunge MCHUNGAJI Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Ambilikile Masapila(76) ambaye, amekuwa akitoa tiba ya kikombe katika kijiji cha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wednesday, 05 October 2011 19:52 Venance George, Kidatu RAIS Jakaya Kikwete ametaka marekebisho yanayofanywa katika Sheria ya Maadili ya Utumishi wa Umma, yatumike pia kuwabana matajiri wasio...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
auctiomart.co.tz (an online platform where anyone who wants can auction or bid on almost anything) is pleased to introduce to you the Sell or Bid Now application. With this app you are able to...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Act Now: Stop Imminent Land Grab That Threatens More Than 162,000 People in Tanzania Iowa-based investor Bruce Rastetter and fellow investors in the industrial agricultural corporation AgriSol...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi majuzi nilihudhuria msiba wa jamaa yetu mmoja ambaye alikuwa amejitoa roho kwa kile alichodai kuwa maisha ni magumu. Kwamba pamoja na kuwa na Elimu nzuri lakini ameshindwa kupata ajira. Siku...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
GAZETI LA LEO hapa norway limeripoti hivi Sjokktall etter fergeforlis - - Verden - Aftenposten.no The boat was registered for 600 people. When it sank off the eastern Africa a month ago, it was...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nashawishika kuamini humu great thinkers ni wachache,ila kuna makundi ya watu yanayopigia chapuo watu wao kisiasa. Post zimekua ni za majina ya watu badala ya hoja za kichama au kitaifa.,asubuhi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndg wana JF, Nilikuwa nikifuatilia sana kujihusisha kwa JK kwenye kumbukumbu ya JKBN, nime-note kwamba jamaa alikuwa low profile all the time. Hata kwenye kuwasha mwenge kule Butiama hakwenda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kaka mkubwa pole kwa pilika zako za kutaka kutuongoza hapo 2015 naheshimu sana maamuzi yako kwakuwa yametambuliwa rasmi na katiba ninayoiamini, ila Mkuu, nikukumbushe tu kuwa Uongozi ni dhamana...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana JF, Dr. Slaa amewataka Watanzania wote kuhimiza mabadiliko badala ya kulalamika, kwa Pamoja tunaweza amesema. "Je wajua kuwa wewe ni mmoja wa watakaoleta mabadiliko katika nchi hii? Acha...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarifa kutoka pentagon Us rais Barrack Obama ametuma jeshi la watu mia moja kupambana na waasi wa kundi la lords resistance army(LRA) Kaskazin mwa uganda.Hii inaweza ikasaidia kuondoa waasi hao...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Back
Top Bottom