BANDUGUz, sio siri; KWA HILI LA IPP, NIMEVUMILIAAA NA SASA NIMESHINDWA.......NAPASUA JIPU! Nahisi kitu chenyewe ni kama hakina msingi, lakini kwa miaka kadhaa sasa nimekuwa nikijiuliza bila...
Mch.Josephat Gwajima aliejizolea Umaarufu wa kupambana na Nguvu za kichawi kwa Jina Yesu,Nikuombe Sasa ukiwa Mjumbe wa Mungu,Ukamfanyie Maombi DKT HARISON MWAKYEMBE taifa bado linamuhitaji,Mungu...
Wapendwa kuna mambo mengi yanaumiza vichwa. Mlio karibu na Wizara ya Elimu hebu nidokezeni: hivi ajira kwa WAALIMU wa Diploma na Grade "A" waliofanya mtihani may mwaka huu na matokeo kutoka mwezi...
Wakuu leo sikuwa busy sana na hivyo nikaona ni fursa muafaka kukaa na my wife kuangalia taarifa ya habari. Kuna mambo mawili yamenishtua kidogo na nikawa najiuliza lengo hasa la taarifa ya habari...
Ni mtangazaji wa itv.sembei yeye huwa anatangaza taarifa za habari kila weekend lakini tatizo lake ni hali yake ya kukosea kosea kila mara.ni mda mrefu anatangaza habari lakini anakua kama...
We'll cut your aid if you persecute gays, Britain warns African nations Last updated at 11:44 PM on 8th October 2011
Poor African countries which persecute homosexuals will have their aid...
Kwa sasa serikali imeshadadia sherehe za miaka 50 ya uhuru wa tanzania. ninachojua na wanachojua wote mnaosoma hii thread ni kuwa, Tanzania ni muungano wanchi mbili ambazo ni Tanganyika na...
Leo asubuhi toka ninatoke home Kibamba kwa Mkurya nimehesabu mabango ya Mganga wa jadi kutoka Sumbawanga hadi Ubungo kwenye mata yapata 19 ,Ni mabango tofauti yako kando ya...
Hbr Wana jf,Leo naomba kuwageukia wakusanyaji Wa Ushuru wa 200 pale getini una manufaa gan kwa watumiaji wa Stand hyo.
Watu wanalipa ushuru kila leo lakini Panazidi kuwa pachafu,Wizi...
Msaada JFs,
Gari yangu imeharibika starter, naomba mwenye kujua gharama na wapi zinapatikana anijuze kabla sijamwachia hela fundi akanipiga cha juu, au yeyote mwenye contacts za wenye maduka ya...
Kuna tangazo moja nimekuwa nikiliona kwenye TV ambalo linamuonesha rais Kikwete akiwasisitiza wananchi ili wanaponunua vitu waombe risiti ili kutoinyima serikali mapato. Tangazo hilo pia...
Naupenda sana huu wimbo wana J.F, Hapa ameuimba Dada Darlene Zschech akiwa na kundi kubwa la Hillsong.
Mbarikiwe Sana.
All Things Are Possible lyrics
Songwriters: Zschech, Darlene;
Almighty...
Naona matatizo tuliyonayo sasa baada ya miaka 50 ya uhuru hayaendani na kauri mbiu ya kushehekea maadhimisho ya miaka 50 inayo sema tumedhubutu, tumeweza tusonge mbele. Kwakuwa tunarudi nyuma...
Wana jamii najua ninyi ni watu wema mnaweza kunipa mchango wa mawazo...nina kawaida ya kupokea telegraphic transfers kutoka nchi za ulaya kuingia kwenye account yangu...toka alhamisi iliyopita...
Mida hii basi la Abood liendalo Mbeya limepata ajali mbaya katika eneo la Makambako mkoani Iringa. Basi hilo likiwa katika mwendo kasi limegonga kundi la ng'ombe waliokuwa wakivuka barabara nje...
Kama siamini ninachokiona kwa macho yangu dk hii,yani kuna mnada kama ile ya majembe aksheni mati inayofanyikaga maeneo ya stende au sehemu za wazi, laki leo huu unafanyika ndani ya bot kwenye...
Wanajf mniwie radhi kama nitakuwa nimekosea kuuliza swali hili, je mbona sijapata kuona jukwaa la afya? Kwani naamin kuwa afya zetu pia ni muhim. "angalizo; usinikebehi,unitukane au kunikejeli...
Mwanzo mlisema hela ya kukodi joho ni tsh. 42,000 { sijajua mmetumia vigezo gani}, kabla ya hili halijaisha wamekuja na sh. 5000 ambayo hawakuisema mwanzon, wanadai ya mhur na TRA. Hivi kuvaa joho...
MWANAFUNZI wa Kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Mwapachu iliyoko Kata ya Tangasisi jijini Tanga amekufa baada ya kujinyonga usiku kwa kutumia kamba ya manila.
Mwanafunzi huyo ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.