Tufunge MMU.Ili watu wasipeleke stresi zao huko na,kuzipeleka sehemu zitakazo kujenga TAIFA.
Michango inayotolewa MMU ni kura tosho kupata serikali yenye malengo na kura zakutosha kutoa magamba...
Huu msemo umekuwa kama ndio staili ya watawala wetu katika kuwalinda marafiki wao hasa pale wanatopotakiwa kuwajibishwa kisheria! kwani utawasikia ohoo! hatuwezi kukurupuka tu kuwakamata tuache...
Majambazi yamevamia Bureau ya Maxx mitaa ya Samora nakukomba pesa zote.
Majambazi hayo yalifika eneo ya tukio na Noah na kuwapulizia dawa wateja, wafanyakazi na walinzi kisha kuanza kukusanya pesa...
Jana katika kipindi cha malumbano ya hoja ITV. Mjadala ulikua mzito sana na wakuvutia kutokana na kwamba takribani washiriki wote walijaribu kuonyesha hasira zao katika suala la TANESCO kuilipa...
Ndugu wana Jf,naomba niwasilishe kilio cha wafanyakazi wa halmashauri ya wilaya ya Moshi Vijijini,wakiwemo walimu na manesi,na doctors,cha wao mpaka sasa hawajapata malipo yao ya mishahara ya...
Cannabis compound 'eases nerve pain caused by cancer drugs'
Cannabis can help ease the pain suffered by cancer patients after chemotherapy, say scientists.
They found a chemical in the class B...
Nikiwa naangalia Kipindi cha Mzee wa Upako transfoma,Nyuma yake nikaona Picha Ya NYOTA RANGI YA BLUE,JUU NA CHINI KUKIWA NA mistari Mipana Tena Ya blue.
Hizo alama Zinamanisha Nini?
Jamani ni kwa nini Israel ilikataa kumpa Idd Amin ndege za kisasa (wakati ule) ili kuipiga Tanzania mwaka 1972? Na kwa nini walifunga Ubalozi Tanzania au tulivunja mahusiano ya kidiplomasia na hao...
husika na heading hapo juu kwa niaba ya walimu wenzangu tulioajiriwa january mwaka huu tumedhulumiwa stahili zetu kwa hiyo naomba mwenye contact za waziri kivuli wa elimu au waziri kivuli wa kazi...
Wana jamii
Jana zilienea habari juu ya kufariki kwa waziri w maji Prof Mwandosya katika mikoa ya Mbeya na Dar es Salaam. hata hivyo baada ya kufuatilia niliweza kuongea na mtu wa kalibu naye...
Bus la kampuni ya Dar Express lilokuwa likitoka Dar kwenda Rombo,liliwaka moto maeneo ya Kabuku,kwa taharifa ni mtu mmoja ndio aliye jeruhiwa na kukimbizwa hospital,ambaye ni fundi wa basi...
Sasa hivi kama mtaenda hewani kwakufungulia TV yako channel ya Citizen basi ni live coverage ya safari ya mwisho kwa yule aliyekua mwanaharakati wa mazingira mama Wangari Maathai! RIP MAMA MAATHAI...
Miaka 50 baada ya uhuru wa tanzania pamoja na harakati zinazofanywa na baadhi ya wazalendo bado wananchi zaidi ya %80 wakiendelea kuwa maskini huku wenye nchi wakizidi kujilimbikizia...
Mbali na kuuzwa kwa samaki hao wanaotokana na uvuvi haramu wa kutumia baruti, katika eneo la Zoni Namba Nane pia kunadaiwa kufanyika vitendo vingine vya uvunjaji wa sheria vikiwamo uuzaji wa dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.