kutokana na majukumu ya hapa na pale,nlshndwa ku kuwish prezidaa we2 Jk..mungu akubarik na akuzdshie neema nyng,hekima ,busara,utendaj wako wa kaz, na auzdshe ya zaid ulionayo...na m/mungu...
Yule activitist maarufu duniani mama Dr. Wangari Maathai aliyefariki wiki iliyopita, mwili wake utachomwa moto mapema wiki hii kutokana na ujumbe wake mwenyewe kwamba akifa asizikwe bali achomwe...
Mwanzilishi wa kampuni ya Apple Steve Jobs amefariki dunia leo baada ya kupambana na ugonjwa wa saratani na hatimaye kusalimu amri kwa miaka minane. Rambirambi kibao zimeanza kumiminika...
Mzee mwenye nyumba hiyo afahamikae kwa jina la Mzee NYUMBA (kushoto) akitoa maelezo kwa waandishi wa habari waliofika katika eneo hilo la tukio jioni ya leo,juu ya nia yake ya kuwatoa...
kwa muda wa siku mbili sasa NHC wanafurusha wapangaji wasiolipa huku wakiwa na Lundo la waandishi wa TV,leo kwa waliotazama channel ten habari ya saa 1;00 usiku,kwakweli nimeona move ya bure pale...
Jaman naomba kuwasilisha kwa wadau ambao labda wanaoweza kufahamu tatizo ni nini mana mpaka leo mishahara ya wafanyakaz wa halmashaur ya moshi vijijin bado haijatolewa na hakuta taharifa zozote za...
You've got to find what you love,' Jobs says
This is a prepared text of the Commencement address delivered by Steve Jobs, CEO of Apple Computer and of Pixar Animation Studios, on June 12...
Jana 2 tulishuhudia Mwananchi wa kawaida aliyekuwa akidaiwa kodi ya pango na NHC akitolewa nje na nyumba kuvunjwa,leo 2naona wizara ikiwa inadaiwa 391mil. na shirika hilo wakitolewa nje vi2 vyao 2...
Jamani nimeona NHC wakitangaza kufukuza wapangaji wenye madeni sugu sasa wameanza na makampuni na mashirika yasiyolipa kodi muda mrefu
pia wamedhibiti uuzaji wa nyumba kati ya mpangaji na mpangaji...
Pata mawaidha yaliyotukuka kutoka Message of Thaqalayn (A Quarterly Journal of Islamic Studies)
(Ukisoma na ukivutiwa usisahau kuja kugonga "LIKE" usipovutiwa ipotezee!!!)
Bofya hapa...
salama wadau???
Nimerudi tena baada ya Ban ya wiki tatu pamoja tunaendeleza mapambano.
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku, ilikuwa ni habari ya waziri mkuu na ziara yake...
Huu ni mradi mwingine mkubwa ambapo pesa zake ni mkopo na hivyo watanzania kwa mara ingine watahitajika kuulipa pamoja na wewe, mtoto wako na mjukuu wako. Mradi huu utaaanza katikati ya Oct 2011...
Zaidi ya mara nne hivi nimemsikia aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro na sasa mstaafu akitajwa/kuitwa Dr. Hata ktk kadi za mialiko mfano kwenye sherehe ya Police Day alialikwa na...
Leo hii wizara hii imeshindwa kufanya kazi baada ya NHC kuwatolea vyombo vyao nje!!
wnadaiwa zaidi ya Shs 300ml na shirika hilo.
na ofisi ya Habari maelezo nayo vyombo nje pia.
source:Radio one...
Aliyasema hayo alipokuwa anafunga mafunzo ya uchunguzi wa maafisa wa sheria.
Alikuwa ana maanisha nini?
Ni watumishi gani hao wa serikali au wa vyama vya upinzani?
Na wakikamatwa wa serikali...
Polisi Tanga Wavunja Shughuli Ya Harusi!
29 June 2009 90
Tukio lisililo la kawaida limeripotiwa leo kupitia TBC 1 kwamba polisi mkoani Tanga wameingilia kati na kuvunja shughuli ya harusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.