Nchi nyingi hasa za dunia ya tatu tunategemea bidhaa za china hivyo bidhaa za china zimeshika masoko yetu.hapa tatizo ni wafanyabiashala wengi wanapenda faida kubwa hivyo hupenda kuagiza bidhaa za...
Hakika ni kweli mkono mtupu haulambwi hii ina maana gani kwa cdm? Chadema ijiandae kwa next election kwa hali na mali iweze kuchukua dola.Chadema iliweza kunadi sera zake kwa uzuri na ufasaha...
Anaitwa Dr. Robert Kisusu, anavutana na wahadhiri wa chuo hicho. Wahadhiri wametoa kilio chao mbele ya kapteni George Mkuchika alipokuwa kwenye ziara ya kukagua ujenzi wa majengo ya chuo hicho...
wanajavn habari za axubuhi, nilikuwa nnaomba msaada kwa m2 mwenye info. kuhusu loan allocatn kwa hawa vijana waliochaguliwa kwenye hyo 2nd round kama utakuwepo au la, na kama ni kwa watoto wa...
Jamani leo nlikua nackiliza bongo flava ya old times..nika kutana na Ama zangu ama zao ya east coast na Mtoto wa geti kali. Kiukweli nlikumbuka enzi zile hzo nyimbo zilikua juu..lakini leo hata...
WanaJF naombeni kujuzwa uhalali wa kulipia upimaji kiwanja cha kujenga nyumba ya kuishi.
Nimeona niweke hili jambo hapa kama kero inayoonekana kusahaulika,au basi imekuwa desturi.
Kuna mantiki...
Balozi Juma Mwapachu
--
Mhe.Dkt.JakayaMrishoKikwete,Rais waJamhuriyaMuunganowa Tanzania amemteua Balozi Juma Mwapachu kuwaMwenyekitiwaBaraza la Chuo Kikuu cha Dodoma kuanzia tarehe 14...
Waungwana, kama wewe ni mwenyeji wa maeneo ya sinza, mwenge au maeneo mengine yaliyokaribu na sinza utakuwa unaifaham Meeda bar.
Ni bar maarufu sana maeneo ya sinza mori barabara ya kuelekea...
Ni maeneo ya hapa kijenge arusha mtoto wa miaka mitano amedondokea katika simo la choo jitiada ziligonga mwamba kumtoa lakini ilipita kama masaa 2 ndipo akatolewa akiwa amefariki polisi walifika...
One of the top marketing experts in Tanzanias beer industry, David Minja has been appointed as the new Marketing Manager for SABMiller Africa, a source familiar with the matter revealed to...
Ni ukwle uliowazi KUWA CDM WAMEONESHA NI JUNSI GANI WALIVYO NA NGUVU YA AJABU NA WANAIGUNGA WAMEONESHA JINSI GANI WALIVYOCHOKA NA AHADI HEWA WALIZOPATA TANGU UHURU HADI SASA! KITENDO CHA GHILBA...
Ninasikitika sn kusikia ccm imeshinda Igunga, naamini wengi walioipa kura ni watu wanaoish vijijini ambapo mpaka leo wanasema ccm iliwazaa na kuwalea, na wale walioelimika kidogo ktkn na umaskini...
Ktk hali iliyojaa utata jeshi la kujenga taifa limepewa kazi ya ulinzi katika vivuko vya kigamboni feri!
Tenda hiyo imejaa utata kwakuwa haikufuata taratibu za manunuzi na mkataba wao umekuwa ni...
Ni katika foleni hapa barabara Mandela kuna Taxi imegota kwenye queue na mwanamke mjamzito uchungu umemkamata nashuhudia wamama wanaizingira Taxi ili kumsaidia mwenzao ambaye amejifungua...
Davis, 42, was put to death by lethal injection after a last minute appeal to the US Supreme Court failed. His request to take a polygraph test was also turned down. The appeal to the US Supreme...
Ikiwa uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga umemalizika,utaona idadi ya wapiga kura ni nusu ya wapiga kura waliojiandikisha katika daftari la kudumu.
Waliopiga kura ni watu si zaidi ya 50 elfu wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.