Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Katika uchaguzi mdogo wa Diwani kata ya stendi kuu jimbo la Serengeti Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kimeibuka kidedea baada ya kuwapiga chini wagombea wenzake wa CCM na CUF.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Au silaha zote tunanunua? Naomba habari kwa mnaojua!
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Zamani tulikuwa tunajua Ulaya na DSM kumepishana kidogo tu. Tulikuwa tunajua Dsm hamna nyumba za bati, tulikuwa tunajua barabara zote lami, tulikuwa tunajua ukifika leo kesho unapata kazi nzuri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yeyote mwenye Taarifa tayar imeachiwa au bado? Jana nimeona kuna jamaa kasema kuwa mpk sasa wafanyakaz hawajapata mishahara coz serikal inataka kukata 2,000 kwa kila m1 kwa ajil ya sherehe ya...
0 Reactions
128 Replies
10K Views
Nawauliza nyinyi mnaolipwa mshahara kwa kuangalia ubora wa viwango. hivi wenzetu huko majumbani hamuwashi moto..? hata taa ya kandiri hamuwashi na mgao huu......? je mkiwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu pia wanaJF wenzangu nchi yetu ndio imebakia sehemu ya kufanyia majaribio kama sio majaribio sehemu ya kufanyia biashara.Mfumo huu tulioletewa tunadanganywa wa kidigitali kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama vile sijaelewa vizuri hili Tangazo lililotoka kwenye mwananchi ya Leo J'pili (2-10-2011) kwamba kwa wale wananchi waliogawiwa viwanja mbalimbali katika maeneo tofauti ya manispaa za Temeke...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Prof. Baregu alinyimwa kazi udsm kisa kujipambanua kuwa ni kiongozi mwandamizi wa CHADEMA. lakini cha ajabu kuna wenyeviti CCM na madiwani wa CCM ni wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma. binafsi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wandugu!!! Ni jambo jema kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiona siku njema ya leo, kumbuka ni wengi waliotamani kuiona ila hawakuweza kutokana na sababu mbali mbali... Je mimi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Viongozi tajwa hapo juu leo watakuwa na mkutano na wana Tabata kimanga watakuwa wakijadili mipango ya maendeleo. Source gari la matangazo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Npo igunga katoka kuhu2bia asa hvi heche wa cdm!kasema maneno hayo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakili wa siku nyingi mjini Iringa na ukanda wa juu kusini Mheshimiwa Mwakingwe alifariki dunia siku ya Jumanne week hili. Mungu amlaze mahari pema peponi, amina
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Hivi swala la mgao wa umeme limefikia wapi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chopa ya cuf inazunguka juu ya uwanja wa cdm!
1 Reactions
14 Replies
2K Views
jamani hili la matangazo ya airtel na mganga wa tiba asili badala ya KUTANGAZA JINSI YA KUJIOKOA,JINSI YA KUTUMIA MABOYA NA LIFE JACKETS wakati inapotokea dhoruba baharini limekaaje?au ndo mambo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau leo nisiku yakuzaliwa mwana jamii Carolinedanz! Happybirthday Carolinedanz!
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Nduguzanguni, nilikuwa na kiziara uchwala huko HANDENI, SIMANJIRO, SAME , MWANGA pia KARATU. Kwa kweli nimeshangaa sana kuona huko mgao haupo na kama kuna tatizo la umeme basi ni la kawaida tu na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habari zenu wana jamvi, sasa hivi serikali iko mbioni kuandaa vitambulisho vya uraia. lkn cha kushangaza hawajasikiliza maoni ya watanzania ili kuona ni kipi hasa wangependa pia kiwepo kwenye ID...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Everything you ever wanted to know about animals but were too squeamish to ask Slugs have four noses – not so good when they catch a cold. It’s just possible that animals have better sex lives...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati Tanganyika inapata uhuru wake wa awamu ya kwanza rais wa wakat huo alisema kuna maadui watatu ambao wanaisumbua Tanganyika,nao ni njaa,maradh na ujinga,,Katika kipindi hiki cha muda wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom