Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
ITV wametuonyesha jinsi wizara nyeti ya serikali yetu ikifukuzwa na kutolewa nje ya ofisi walizopanga toka kwa NHC kwa kushindwa kulipa pango la mil 30,cha kushangaza television yetu ya taifa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Dailymotion - BBC Inside Sport - Poland football Racism special report 07. - a Sports & Extreme video FEATURE : African immigrants face racism in Poland ‘WE VARSOVIANS' People of African...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna taarifa kuwa muda huu kuna mapambano kati ya polisi na wachimbaji wadogowadogo wa dhahabu. Jamaa mmoja amekuwa mjanja na kupata licence kwenye eneo lililokuwa linachimbwa na hao small scale...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
waumini wa kanisa Katoliki wa Parokia ya kapalapala wilayani Chunya wametakiwa kumtambua Rais Jakaya Kikwete kuwa mwakilishi wa Mungu. Paroko wa Parokia ya Mlowo wilaya ya Mbozi. Padre Valelius...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
E bwana kuna tetesi kwamba kuna moto unawaka maeneo ya viwanda mikocheni karibu na ITV/TBC mwenye data kamili atujuze SOS: Status ya ROma Face book
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo mwakilishi wa mtumishi wa Mungu TB JOSHUA ametoa msaada wa Tshs 25mil kusaidia wahanga wa meli...swali langu kwa nini ni ikulu ya Dar na siyo Zanzibar..! ?source: michuziblog.
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wenyeji wanne Mkoani Manyara wilaya ya simanjiro wamepoteza maisha juzi ktk juhudi ya kufunga pampu ya maji ktk shimo walilolichimba ili kujinusuru na ukame unaoikabili maeneo hayo. Ktk hao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
PRESS RELEASE Dear Alumni, Staff and Friends of the University of Dar es Salaam, Re: Alumni, Staff (Former & Current) and Friends Dinner Hosted by H.E. the President of the United Republic of...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kutoka mwanahalisi: Mtandao wa WLeaks umefichua habari kuwa Balozi wa USA nchini Z'bwe-Charles Ray alipata kudokezwa na balozi Adadi kuwa rais Mugabe na chama chake kimeshindwa kuiongoza nchi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
UKipitia website Voting Trends | New7Wonders of Nature rank ya mlima Kilimanjaro inashuka katika kuingia kwenye maajabu saba ya dunia, ipigie nchi ya kura.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana JF, jana nililazimika kwenda kigamboni kupitia ferry kwa kutumia moja ya kivuko kipya. Ni kikubwa na kinachukua watu wengi pamoja na magari. Wakati tunavuka nilkumbuka ajali ya meli iliyozama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mzungu mmoja namjua kwa jina la Mark anamiliki hekari mia kadhaa za ardhi mitaa ya kijiji cha Ifunda.Kwa kifupi huyu bwana anawanyanyasa sana wanakijiji wanaoishi maeneo yanayozunguka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni aibu iliyoje! Mrembo mmoja, mkazi wa Kigogo, Dar es Salaam, aliyedaiwa kuwa ni mchumba wa mtu ambaye jina lake halikupatikana, alikatikiwa mshipa wa aibu na kuvua nguo katikati ya sherehe...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Resonate Consulting Group Limited (RCG) has organized a 6-day Intensive program geared toward developing knowledge and practical skills necessary to perform ICT Audit, Risk Management and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inakuwaje mimi nisipokunywa konyagi asubuhi tumbo linaniuma siku nzima?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari members, Nipo nchini South Africa mahali nimekutana na watu mbalimbali kutoka nchi tofauti tofauti za Dunia, katika mazungumzo ya hapa na pale nimegundua watu wanajua mt. kilimanjaro ipo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Yale makomondoo yaliingizwa na cdm kule Igunga bado yapo nchini? Au ndo siasa za magamba kuwahadaa wananchi ili wasijitokeze kwa wingi kupiga kura? Polisi wameshindwa kuyakamata da ama kweli cdm...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo Rais Kikwete ameagiza Secretariet ya Maadili iangalie pia viongozi wa umma wanaotumia nafasi zao kujilimbikizia mali. Viongozi wa Vyuo vya Elimu ya juu na vyuo vya kawaida wanatumia nafasi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tanganyika ilipata uhuru wake 9.12. 1961 Zanzibar ikapata uhuru wake January 1964 Muungano wa Tanganyika na Zanzibar April 1964..... Kwa uchunguzi wangu wataalamu wa historia wanasema baada ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom