Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wana JF siyo siku zote watu wanafanya harusi za kufanana kwa kukosa ubunifu. Hebu angalieni hizi harusi mpate maujuzi na maubunifu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Vaccine could reduce HIV to 'minor infection' HIV could be reduced to a "minor chronic infection" akin to herpes, scientists developing a new vaccine have claimed...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Habari za kazi wanajamvi, Mimi ni mtazamaji mzuri wa ITV online kwa kuwa siko Tanzania. Jambo moja linalonikera sana ni kwamba taarifa zinazotolewa na ITV zimekuwa finyu zisizokuwa na uchambuzi...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Straus-Khan amekutana uso kwa uso na mwanadada ambae ni raia wa ufaransa na mwandishi wa habari ambae amemfungulia mashtaka bwana Khan kwa kosa la kutaka kum'baka,dada huyo anadai kuwa miaka 8...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
vijana tulio weng hapa mjini tumekua na tabia ya aina moja,kwan kila apitapo mwanamke mrembo tunakua tunawasindikiza kwa macho nisaidieni jaman
0 Reactions
0 Replies
759 Views
mi naomba nifahamishwe ile michango ya waliopata ajali zanzibar inawafikiaje walengwa au ina fanya kazi gani?
0 Reactions
2 Replies
934 Views
tunaambiwa wassira ni waziri wa mahusiano ya umma. Labda tupate ufafanuzi wa mahusiano ya umma. Lakini tunaambiwa kuwa yeye ndiye aliyesababisha lile sakata la vijana watatu wa cdm kukamatwa na...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
  • Closed
Nimefuatilia upigaji wa kampeni za vyama mbalimbali. Chadema; hawa jamaa hasa mbowe na slaa na zitto, wao ni makelele kama wanahubiri injili vile. Kwani ukiongea point ndo mpaka ufokefoke ndo...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Salamu sana Nimejaribu kupitia magazeti yetu ya leo na karibu kila gazeti na "Dowans yaibwaga Tanesco", "Mahakama yaridhia Tanesco iilipe Dowans" and the same alike. Ukifuatilia sana unakuta utata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kwann hizo nchi walitaka kupiga marufuku Hijab?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nipo kwenye ofisi za Tanesco wilaya ya Temeke. Nimeona maandishi mengi sana kwenye vioo vya upande wakulipia ila kilichonivutia zaidi ni mambo mawili. 1. Masaa ya kazi kitengo cha dharura...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
wakiongea na kuwasiliana na masheikh wa mkoa wa tabora katika kipindi maalumu cha Radio IMANI wamesema kitendo alichofanya said kubenea kwa kuandika habari isiyokuwa na uhakika huku ni...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Tukiwa katikati ya kivuko kidogo yameibuka mawimbi ya ajabu na kukaribia kumwaga abiria vikatokea vilio na taharuki
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wiki hii tumesikia huko Msangamwelu Fuso limeua watu zaidi ya 14. Mara moto umeteketeza kituo kikuu cha Polisi. Soon tutasikia kubwa zaidi
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Mimi binafsi nimeshindwa kuelewa ina maana ni ushamba wetu au ni kukosa habari! Kwani vyombo vya habari sasa badala ya kueleza sera na hoja zinazotolewa na wagombea huko Igunga, imebakia kuelezea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nawapenda nyote wanaJf! Hebu tutumie "our power of imagination": Hivi maisha yangekuwaje kama kila mmoja wetu angekuwa anaijua siku na saa atakayokufa?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mahakama yaridhia Tanesco iilipe Dowans Sh111 bilioni Send to a friend Wednesday, 28 September 2011 20:15 0digg Mwanasheria Mkuu wa Serikali...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna habari kuwa kuna kampuni moja ya India inaitwa Karuturi imekamilisha mchakato wa kununua asilimia moja ya ardhi ya Tanzania kufanya shughuri za kilimo.Hii habari kutoka katika gazeti la the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TFDA,TBS,TAKUKURU NA TRA moja ya haabari kubwa za leo ni suala la kuingia sokoni kwa dawa za aina 5 za bandia,,,,niliposikia kuwa zipo sokon nikashtuka,na nikajiuliza zimeingiaje????kama...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kempinski Kuna tetesi kuwa hawa mabwana Kempinski ni management company na huwa hawana properties zao wenyewe bali wanatoa usimamizi kwa makubaliano maalum na owners wa accommodation properties...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom