Baada ya kauli ya Vyama vya siasa sio chochote sio lolote mbele ya Tanzania huko Igunga.
Namkumbuka Shamsi Vuai Nahodha aliekuwa waziri kiongozi wa SMZ ,mwanachama mkereketwa wa CCM kwa miaka...
Nimekuwa nikifuatiala kwa makini juu ya kipindi hiki,hasa uelewa wa wanafunzi hasa kutoka shule za kata,kwani inaonekana uelewa wao ni wachini sana na hii inatokana na kutokuwa na walimu...
Wanaharakati nchini mexico wanaandaa muswaada wa sheria ya kuwa ndoa za mkataba. Wanandoa wanaotaka kuoana watatakiwa kueleza wazi nia yao ya kufunga ndoa ya mkataba. Mkataba wa chini ni miaka 2...
Kwa wanafunzi ambao hawakujaza form za kuomba mkopo kwa wanafunzi wanaoingia mwaka wa 2 na 3,kutokana na matatizo mbali mbali(continuing student) bodi wanasema hawatapata mkopo kwa mwaka wa masomo...
Jana Membe kasema BA systems wameomba account ya TZ ili waweke pesa ya watanzania
pesa kutumiwa kununua vitabu milioni nne,nyumba za walimu mia hamsini na madawati laki mbili
my take:je waliokula...
wanajamvi naomba tujadiliane hili jambo, kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza: hivi inakuaje sehemu ambapo maji ya mvua hutulia na baada ya muda hukauka kabisa na sehemu ile huwa kavu kabisa mpaka...
Ni mara chache sana kuikuta weekend imeangukia mwishoni mwa mwezi kama ilivyokuwa hii.
Kuna matukio mengi ya kusikitisha(Kuzama kwa MV Spice Islander, Ajali mbaya mkoani Mbeya na mengineo), ya...
Katika viongozi watakao weka historia mbaya nchini ,Rais huyu atakuwa wa kwanza.Nadhani washauri wake wameshindwa kusoma alama za nyakati.Yanayotokea Igunga ni chachu na picha ya mambo...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka
TUMEGUSWA sana na tamko la Serikali lililotolewa juzi kwamba haitakuwa na simile na watu waliojenga katika maeneo ya wazi...
MchALIPHONCE TEMBA NI MPIGA DEBE WA CCM NA ALITIMULIWA UDSM BAADA YA KUPINGA MABADILIKO YA KATIBA NA KUPINGA MAANDAMANO YA CDM UKIMBI WA NKURUMA MWAKA HUU. Temba Ndiye alikuwa mpiga Debe wa...
Inashangza kuona chama cha magamba kilipodanganya juu ya uanzishwaji wa mahakama ya kadhi na mwezi uliopita serikali imesema kuwa mahakama ya kadhi haitaanzishwa na serikali,,hao wanaojiita...
Jana mahakama ya ilala imewadaka wadhamini kanjanja wanaotega maeneo ya mahakama na barua za serikali za mitaa ili kuwadhamini watuhumiwa wasio na ndugu kwa ujira wa tsh 20,000, na baadae...
James Magai
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe amesema kiasi cha Sh29. 5 bilioni fedha za malipo ya ziada za manunuzi ya rada kutoka kampuni ya kutengeneza silaha za...
Wana JF.
Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Urais Wabunge na Madiwani.
Kwenye kampeni za urais tumlisikia mgombea wa CDM Dr. Slaa kwenye kunadi sera zake kwa wananchi, alitembea kila mkoa.
Alisema...
Si jambo la kubuni tena kwamba Tanzania inaongoza kwa chokochoko za kidini ukanda huu wa Arika mashariki na kati. Kila kukicha kuna jipya kuhusu matatizo ya kidini yanayoelekea kuivuruga jamii...
Takriban siku ya tatu leo tarehe 29/09/2011 mkoa wa tabora hakuna mgao wa umeme. Hii inawezekana ni moja kati ya kampeni danganya toto za ccm za kuwasahaulisha wana wa tabora mgao wa umeme ili...
Madiwani watatu kati ya wa5 waliofukuzwa uanachama kutokana na mgogoro wa uchaguzi wa Meya wa Manispaa ya Arusha, jana walikuwa kivutio katika mkutano wa Utambulisho wa Mkuu Mpya wa Mkoa wa Arusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.