Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Yule mwanaharakat wa mazingira nchini kenya profesa Maathai amefariki dunia,kama mnakumbuka mama huyu aliwah kupokea tuzo ya nobel ya utunzaj wa mazingira sosi:bbc swahil
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Siwezi kutazama salio, siwezi kupiga simu, hata huduma kwa wateja. Siwezi kupekua kurasa za internet. Yaani tigo na masaburi lao moja, hovyooooooooo.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamani wanajamvi nimefikiri nikaona ni bora tubarizi hapa juu ya matendo yanayoendelea ya waheshimiwa wa chama tawala. Suala la nidhamu katika CCM inajulikana wazi kuwa halipo kwa sababu...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Haya mambo yapo sana, sisi tumezaliwa tumeyasoma na mengine tunayaona!kawaida ya kipindi kama hiki mambo kama haya huweiz kuyakwepa!watu wako kwenye breaking point, wanataka mabadiliko kwa gharama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana jf,katabia haka kameshika hatamu hasa baada ya teknolojia ya mawasiliano kukua,,,,,sijui kama ni jambo jema unapowasiliana na mtu ukaamua kumdanganya,,,,,,chukulia mfano huu ambao...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wANA JF ANGALIENI VITUKO VYA HWA JAMAA KWENYE PICHA, HIVI HUYU NI JK NA ROSTAM 2005!!!! HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAA ETI LEO NI FISADI KAVULIWA GAMBA NA HUYO HUYO JK.WANA LAO JAMBO
0 Reactions
6 Replies
1K Views
EAST AFRICA HERALD: Wangari Muta Maathai; A Life of Firsts
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Kukiwa kuna vuguvugu la kurudisha viwanja wazi vya mapumziko na MICHEZO , kiwanja cha wazi kwa ajili ya soko chauzwa kinyemela kwa mfanyabiashara, inasemekana kuna matapeli wapya wanatengeneza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Raisi wetu anaacha kufanya mambo muhimu kwa uchumi wetu yeye yuko busy na kusaka wasanii wenzake ili apige nao picha. Hii ni aibu kwa Taifa letu, yaani huko nje bila shaka wanatuona sisi ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakati watanzania wakiendelea kuumia na maumivu ya mv spice meli nyingine ya mv serenegeti iligoma kuondoka baada ya kukutwana matatizo na kufika wakati abiria kuomba kuondoka wakaombwa wasubiri...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu heshima yenu! Juzi jumamos nilishindwa kuamini masikio yangu pale shoprite mliman city. Huwa nina mazoea ya kununua baadhi ya bidhaa za nyumbani pale ikiwemo sukari. Cha kushangaza juzi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kukubali matokeo ya uchaguzi kama alivyofanya Bw. Banda ndio uungwana. "Watu wa Zambia wamezungumza na lazima sote tusikilize," Bw Banda aliwaambia waandishi wa habari, huku akifuta machozi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kwa uongo kama huu ambao nimeupata kwenye Email mtu anatumia njia gani hapa kukuibia ? Assalamu alaikum! Things are becoming unbearable for the Muammar el-Qaddafi family. I know...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanaJF! Nakumbuka miaka ya mwisho ya 80 na mwanzo ya 90, kulikuwa na shirika moja linaitwa "SHIMAWIMO" pale moshi, likimaanisha "Shirika la Maendeleo Wilaya Moshi". Ni kama vile ilivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mkazi mmoja wilayani bukombe mkoa wa shinyanga amejipiga risasi mdomoni na kufariki muda mfupi baada ya kuanza kupatiwa matibabu, alichukua maamzi hayo kwa madai ya maisha magumu mkazi huyo...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
MAHAKAMA Kuu ya Pretoria, Afrika Kusini, imesimamisha zabuni ya serikali ya kununua kondomu za kike milioni 11 kutoka China, baada ya kugundulika ni ndogo na haziwatoshi watumiaji. Hawajui...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari?.. Sina hakika kama bavicha imekufa au ndo viongozi wake hawajui majukumu yao?.. Kwa yeyote mwenye kuyafahamu majukumu hayo naomba awajuze wenzetu hawa..
0 Reactions
14 Replies
1K Views
26 Septemba 2011 02:26 ? Kaburi la pamoja la mamia ya watu lagunduliwa mjini Tripoli, Libya. Kaburi la pamoja linaloaminika kuwa na miili 1,270 limegunduliwa katika mji mkuu wa Libya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania is blessed with an abundance of mineral resources. In gold alone, Tanzania is estimated to be sitting on top of a US$39 billion treasure. When you factor in the large quantities of...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
For those of you who didn't hear it, this is very deep. This is a heavy piece and a Caucasian wrote it. "THEY ARE STILL OUR SLAVES" We can continue to reap profits from the Blacks without the...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Back
Top Bottom