Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nadhani tumechoka kusikia kila siku serikali ikilia na kufanya usanii ila tusichoke kupiga kelele hasa kwakuwa kulia lia kwa serikali ya JK kumetufanya tuzoee na kamini kuwa tunahitaji kumwonea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu jana kituo cha television chanel ten saa moja usiku walifanya mahojiano na wahanga wa mabomu ya g/mboto waliokuwa wanalipwa fidia kutokana madhara kwa familia na mali za wahusika. Kuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anaitwa henry jonas, ana uzoefu wa takribani miaka mitano, ana leseni inayomruhusu kuendesha magari aina yote isipokuwa magari ya ujenzi na mabasi ya mikoani, amehitimu kidato cha nne na amepitia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Misingi ya nchi yetu ilyowekwa na waasisi wa taifa hili haikujengwa katika misingi ya dini au madhebnu yoyote yale na kwa miaka mingi udini haukushabikiwa kabisa katika taasisi za serikali na hata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asalam aleikum. Ndugu zangu waislamu naombeni tukumbushane majukumu/wajibu wa taasisi yetu ya dini ya kiislam (bakwata).
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hii tabia iliyojengeka kwa miaka mingi ya kuwachagua wabunge huku vijijini kwetu kisha wao kukimbilia dar es salaam lazima ife, lazima wanaharakati tupambane nayo, mbunge lazima aishi sehemu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
kwa siku nyingi sana nimekuwa nikisikia hawa ma officer walioaminiwa na serikali ya CCM kusimamia wanaoingia nchini kwetu lakini kwa rushwa hawa wajamaa ni zaidi ya kupimwa DNA, wazungu wanaingia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Australian firm gets coal mining permit in Tanzania By: Reuters 22nd August 2011 DAR ES SALAAM - Australia's Intra Energy Corporation (IEC) said its local unit in Tanzania had received a licence...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuna tabia katika daladala abiria anaomba kushuka sehemu ambayo hakuna kituo, Konda anamuomba dereva naye anakubali mara nyingi kwa kauli angalia kwanza kama hakuna traffic, sasa hii ni kwasababu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nawatakia sherehe njema wazazi na watoto wanaofanya sherehe za kuhitimu kidato cha nne.nawakumbusha kwa wale watoto wanaohitimu msitumie sherehe hizi kufanya ngono na matendo maovu bali mtumie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais aliyebwagwa bwana Banda amesema huenda sababu za yeye kushindwa moja wapo ni kuwaunganisha WAZAMBIA na kuwa kitu kimoja,amesema hii ndio sababu ambayo hasa anahisi imemnyima USHINDI SOSI:BBC
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jana mchana nikiwa katika kazi zangu hapa Zanzibar niliingia ofisi moja ya Serikali.... kwa mbali nilisikia wanajadili jinsi ya kutafuta dawa/sumu ambayo inaweza ikamwaga au kupuliziwa kwenye...
2 Reactions
63 Replies
5K Views
Usione watu wanasema ufisadi mioyoni kila mtu anatamani apate nafasi ya kufanya hiyo dhambi hebu ona hii: Kuna mkutano wa chama cha wauguzi TANA unakaribia kufanyika Singida kila wilaya imepewa...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
kwanini tunapotuma message kwa kutumia simu za mkononi salio huwa linakatwa hata kama message yenyewe ikiwa 'not sent' au haijawa delivered? Je hii ni halali? Hapa haya makampuni ya simu yanakuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nipo kwenye basi kwenda mkoani nimekutana na bango la tangazo la panadol pale Tra chalinze halifanani Kabisa na bidhaa inayotangazwa hasa ikiangaliwa katika mkitadha wa kiafya. Linakutu mpaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Afrika na viongozi wasioridhiki na wachoyo wakubali kwamba kuwa wimbi ya mabadiliko linavinjali hawawezi kuzuia kwa mkono.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Taarifa za uhakika kutoka sumbuwanga mjini zinaonyesha kuwa ccm mkoa wamekaa kikao cha siri na kupanga njama za kumutoa katibu mwenezi bw patrick maufi ambaye ameswekwa rumande...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Wakuu hii nimeipata kule' Kulikoni Ugaibuni blog'....sasa nimeona niilete hapa jamvini maake naamini ni jf pekee(kwa upana wake) inayoweza kuthibitisha ama kukanusha hizi tetesi nawasilisha!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii hapa Speech Yenyewe Zambia: Presidident Rupiah Banda Bids Farewell to Zambians | LusakaTimes.com I HAVE CALLED THIS PRESS CONFERENCE TO SAY A FEW WORDS. THE ELECTION CAMPAIGN OF 2011 IS...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Juzi tarehe 21/9 aliekua diwani wa kata ya Chang'ombe kupitia tiketi ya CCM amefariki dunia. Tukio hili limetokea wakati bado kuna hekaheka za uchaguzi mdogo katika kata ya Kikuyu kusini na tarehe...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom