Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
kwa wale walioko maeneo ya arusha wanaweza kuwa wamesikia kuna ongezeko la wizi wa nyaya za umeme.wizi huu umetokea maeneo ya tengeru zaidi ya mara mbili na hivyo kupelekea tanesko kufanya doria...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana jf naokuombeni mnijuze zaidi juu ya chifu mwazongwe.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Dk. Hassan Nassir - Imechapwa 14 September 2011 BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), limevuna lilichopanda. Ni baada ya serikali kugoma kutekeleza baadhi ya maombi ya baraza hilo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Expressen.tv - Galna klipp - se TV på expressen.se
0 Reactions
1 Replies
3K Views
KIUNGO mahiri wa Bongo, Athumani Idd amefichua mambo mazito. Mchezaji huyo ametamka mambo ambayo kwa mtazamo wake anaona ndiyo yanayoifanya Yanga kupepesuka lakini amewasifu mastraika wa Simba...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Majuzi kwenye habari ilielezwa kuwa Mwalimu aliyemfundisha Nyerere yu hai na ana umri wa miaka 122. World geinness book inaonyesha mtu mwenye umri mkubwa aliye hai hadi hii leo ana miaka 115 na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Waziri wa Fedha wa Russia leo ameupinga mpango wa Waziri Mkuu Vladimir Putin wa kumfanya Rais Dmitry Medvedev kuwa waziri mkuu wake iwapo atarudi tena Kremlin - Ikulu ya Russia,kwa kusema kwamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UK's proxy wars in Africa: The case of Rwanda and DR Congo.: State Department War Crimes Chief Stephen Rapp's cover-up of U.S. War Crimes in Rwanda Genocide
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Jumla ya watu waliojiandikisha kupiga kura nchi zambia ni watu milioni 5.2,hii ni idadi kubwa ya watu ambayo haijawah kutokea,lakin katika idadi hiyo asilimia kubwa ni vijana,,,,,,hii ina maana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu huyo mtu mbona naona ka umri wake wa kuli2mikia taifa umeisha m2pa mkono,mbona hastaafu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi wana JF(wamiliki),mi msomaji sana wa jf ila c mchangiaji.Nilitaka kufahamu,kwanini kila Posti zinaonyesha kwamba zimeposti wale'Posted 2dy` rekebisheni kama inawezekana
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Hii huduma yao mpya itaumiza wengi..... "SWAHIBA! WASILIANA NA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI HATA KAMA UMEISHIWA NA SALIO. PIGA # KISHA NAMBA YA UNAYEMPIGIA. GHARAMA ZA SIMU YAKO ZITALIPIWA NA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bakwata ni chombo halali cha CCM na wala si cha waislam. Balukta yetu tumedhulumiwa na CCM na Bakwata. CCM imetunyima haki yetu ya kuwa na Kadhi. Bakwata haitutetei, badala yake inafurahia kuona...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimeshangaa sana hivi majuzi nilipofika Dar-es-salaam kwa basi la usiku na kufika kituo kikuu cha Mabasi cha Ubungo ambako nilishuhudia mamia ya watu wakiwa wamerundikana katika jengo la abiria...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo nilikuwa naangalia utabiri wa hali ya hewa kwenye tv ya TBC kitu cha ajabu kilichoniacha hoi ni pale nilipogundua utabiri uliokuwa ukisomwa ulikuwa ni wa tarehe 16/8/2011 wakati leo ni tarehe...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Siku hii ya leo tangu hasubuhi umeme umekua ukikatika kila baada ya lisaa na kurudi baada ya kila nusu saa, hivi vitu vikiungua nani anawajibika? watu wameridhika kabisa na hali hii nadhani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Licha ya shinikizo la kimataifa kupinga hukumu ya kifo dhidi ya Troy Davis, jimbo la Georgia nchini Marekani limemnyonga kijana huyo na kuzusha shutuma kubwa kutoka ulimwengu na wanaharakati wa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
kwa mjibu wa taarifa ya habari kupitia tbc taifa..wamesema magari mawili yamevamiwa na watu wa chadema na tundu lisu nae anadai amevamiwa na watu wa chadema..sasa mimi najiuliza tunajua ukweli ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
CHADEMA donates TV set, pads for Kisongo prisonChama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) in Arusha has donated 15 television sets to the local Prison (Magereza) in Kisongo area. Mr Godbless...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha huko IGUNGA Aden Rage amepanda jukwaani akiwa amechomoa shati lkn upande uliokua na bastola akalichomea shati na bastola hiyo kuonekana na kila aliyekuwa...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom