Wanajamvi hili nimeshindwa kulipatia majibu ya msingi naomba nieleweshwe ni kwanini hakuna umakini katika kuandaa hizi vitu halafu eti mkuu wetu anashika na anapiga picha na meno anatoa...
Chama cha mapinduzi kinaishi maisha ya kuonewa huruma. Kimeanza kuchoma moto nyumba za viongozi wao ili wananchi wajue wapinzani ndio wachochezi wa machafuko. Imetokea igunga jana vijana wa ccm...
Wezi wa usiku hasa mitaa ya sinza madukani hadi kumekucha wameibuka na staili mpya ya wizi ambayo wanaiita chipsi mayai. staili hii jamaa huchukua jiwe na kulibeba kwenye mfuko mweusi kama chipsi...
ktk hali ambayo imenitia uoga leo asubuhi kumekutwa kitoto cha miaka kama miwili kikiwa kimeuawa na inasadikika muuaji alimfanyia ubakaji kabla ajamuua kutokana na sehemu ya kike na haja kubwa...
Habari zenu wana jamii forum,mimi ni mkazi wa moshi kilimanjaro,huwa nikiumwa au ndugu yangu kuumwa huwa nampeleka kilimanjaro hospital,lakini huwa kuna kero kubwa hasa ukiwa unatumia bima kuanzia...
ukweli ni kwamba DC aliweka kitambaa kichwani hakujifunga na pini. katika hali hii hata upepo unakirusha kila wakati. tukio la kitambaa kilichoegeshwa kumruka kinaonekana kibaya sana hadi bakwata...
Siku chache zilizopita member mmoja wa jf alileta mada kwamba picha iliyotumika kwenye vyombo vingi vya habari kuonesha meli ya MV spice islander haikuwa ya kweli, hata aliweka site ambayo picha...
BAADHI YA RAIA ZANZIBAR HAWANA IMANI NA TUME YA KUCHUNGUZA MV SPICE ISLANDER, WATAKA IBADILISHWE22/09/2011
0 Comments
Serikaliya Zanzibar imeshauriwa kuangalia upya tume iliyoundwa kuchunguza...
wana JF salute!
Obama amehutubia umoja wa mataifa na kueeleza maana ya amani na hapa nanukuu " Peace is not just absence of war. True peace depends on creating the opportunity needs life worth...
College admissions is a tough game. Even the most proactive, organized, and prepared students need help with their applications, essays, and financial aid forms. Add the complexities of applying...
Leo ni siku ya 3 tangu umeme ukatike Maeneo haya ya BUGURUNI, sasa tumeshindwa kuelewa Kuna Hitilafu, au Mgao siku tatu tatu au wamejisahau kuturudishia.
Wednesday, 21 September 2011 21:03
Nyumba ya kiongozi wa CCM Igunga yachomwa Moto
Katibu mkuu wa CCM, Wilson Mukama (mwenye miwani) akitoka kuangalia nyumba ya Katibu wa chama hicho...
Hospitali ya Taifa Muhimbili ilipokea mgonjwa toka Hospitali ya Mwananyamala tarehe 18/08/2011 akiwa mahututi na hajitambui. Inasemekana kuwa mgonjwa huyu aliokotwa na wasamaria wema barabarani...
Timu ya mpira wa miguu ya Nchi ya kidemocrasia ya Congo (DRC) imesubutu kumili ndege ya pili ili waweze kuweka mambo yao sawa....
Timu hii ina nini kikubwa kuliko Serikali ya CCM iliyoua...
Mambo wakuu!
Jamani Benn Wa Saa nane yuko wapi? Kwa wale wasiomjua huyu jamaa ni jembe chapa jogoo ndani ya Bavicha.
Siyo siri kijana huyu anaijua siasa nje-ndani, chini-juu....ni zao la CDM...
Haya wandugu naomba tujibu maswali yafuatayo:-
1.Katika purukushani za kumkamata muhalifu wa kike na ikatokea shanga,zikakatika,hijabu ikadondoka na saa ikapotea,kitendo hicho ni;
(a)shambulio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.