Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jaman Zawadi kaishia wap,mbona utam umekolea ndo akaingia mitin? Mwenye website ya hiyo story ya zawadi naomba!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ya afisa utamaduni wa manispaa ya dodoma kupigwa faini ya shilingi laki tano kwa kupokea rushwa ya millioni kumi naomba mnijuze zaidi! haina harufu ya rushwa kweli? ningependa kujua jina lake pia.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
amani iwe kwenu great thinkers! Kwakweli huu upotoshaji ambao umekua ukifanywa na ccm kupitia majukwaa na vyombo vya habari na baaadae bakwata kuhusu suala na kukamatwa dc kimario inabidi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuwasilisha. Hili la ajali ya boti ya mizigo na abiria MV Spice Islands inaelekea ilikuwa inasubiri tu kutokea. Kama kumbukumbu zangu haziniangushi, aidha mwishoni mwa mwaka jana au...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Abiria aliyetambuliwa kwa majina ya George Onesmo amefariki ndani ya basi la Mohamed Trans namba T642 lililotoka Dar kuelekea Bukoba. Mwili umehifadhiwa hospitali ya mkoa wa Kagera na marehemu...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Kitika tafakari yangu ya leo nimejiuliza vituo vya magari yaendayo kwa kasi vinakamilika, je hayo magari yatatumia barabara gani? Na je kwani haya yaliyopo hayawezi kwenda kwa kasi?maana kama sio...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni kweli kwa wenye nia wanaona njia.TP Mazembe wanamiliko Hospitali.na sasa wanamiliki ndege 1 na jana imewasili ndege ya pili yenye uwezo wa kubeba watu 140. TFF MMEPATA CHANGAMOTO??? Reigning...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
...nchi inaelekea kubaya. 1. Kama unafaidika na utawala mbovu (hakuna anaebisha kuwa sasa hivi hakuna sekta hata moja ya umma inayofanya vizuri) wa serikali iliyopo madarakani basi ujue kuwa...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Tumaini Msowoya "ARDHI ni uhai. Wanatufukuza katika ardhi yetu tutazalia wapi watoto wetu? Hatuondoki kwenye ardhi hii hata tukipigwa risasi, kutunyang'anya ardhi yetu ni kutuua, hatuondoki. Hawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada, matajiri wengi wa kiarabu wamefuga njiwa!, Hood ni mojawapo wa hao na amekuwa akinunua kiasi kikubwa cha ufuta kwaajili ya kuwalisha wale Njiwa, je kuna mahusianp yoyote kati ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna mkonga wa mawasiliano wa optic fibre ambao nimeona baadhi ya sehemu kukichimbwa kuupitisha. naomba kufahamishwa hapa nchini kuna mikonga mingapi ( yaani umiliki wake) ambayo inasambazwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana mwendesha pikipiki alifanyia uharifu jijini Mwanza. Bahati nzuri raia mwema akawa anafahamiana na mwendesha pikipiki mwingine akampigia simu na kumtaarifu habari hizo, wakapigiana simu na...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Wana jf, kuna habari cna uhakika nazo zinahusu raia wa US kunyongwa baada masaa 25 kuanzia sasa, hii habari ni ya kweli..? na ananyongwa kwa kosa gani...?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
W A R N I N G .. ! !.....W A R N I N G .. ! ! If someone in your profile or a friend sends you a LINK that says 'VISIT THE NEW FACEBOOK' do NOT open it. If you do, you're sure to say GOODBYE to...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakuu habari?,leo iringa kuna kioja kimetokea hvyo napenda niwashikishe...kuna mlinzi wa mnara wa mtandao mmoja wa simu ya mkononi jana usiku kama saa 2 hivi ameuzima mnara aulindao kisha kufunga...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimehojiana na baadhi ya abiria waliopona katika ajali ya Mv Bukoba na hata wale wa 'Spice Mlenda' iliyozama majuzi kule Zanzibar. Nani anakumbuka tarehe,mwezi na mwaka wa ajali mbaya ya basi la...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wana jf ninawasalimu wote kwa moyo mkunjufu na poleni na pilikapilika za hapa na pale za kusukuma mbele gurudumu letu hili leneye umri wa miaka hamsini. Hivi majuzi nilitembelea hospitali ya...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mke/mume /gal or boyfriend anafanya kazi na wenzie weengi ila anakuwa na ukaribu na mdada/mkaka ambaye anamsifia sana kuwa ni mchapakazi na wako kaaribu haswaa.Kazini wako ofisi 1 na wanashinda...
0 Reactions
3 Replies
878 Views
Salam nyingi ziwafikie hapo mlipo, mara baada ya salam hofu na mashaka ni kwenu mlio mbali na upeo wa macho yangu. Leo majira ya saa tatu na nusu usiku nikiwa natokea tegeta kwenda makonde (Dar)...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wanajf wenzangu. Mie nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni ya CCM Igunga ila nimesikitishwa wanavosema eti ushindi lazima wachukue! Je, why wanajihaminisha?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom