Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
by Masoud kipanya Mwananchi tarehe 20sept ↲ Wadau ya kweli haya
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Chama cha mapinduzi (ccm) kimechoma moto ofisi zao na nyumba ya kiongozi wa kata IGUNGA. Taarifa za ndani ya chama zimeeleza mpango wa kufanya kitendo hicho ni kuteka mawazo ya wananchi wajue...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Wakuu, napenda kumfahamu zaidi mtu huyu, nimeona habari na makala anazoandika katika gazeti la Majira; Mtazamo, uelekeo wake vinanifanya nihoji na kutaka kumfahamu zaidi!
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Na Dismas Lyassa HUWEZI kufanikiwa kama huthubutu kufanya mambo fulani. Kusoma sana au kidogo, kuwa na rafiki waliofanikiwa au wasiofanikiwa, kwenda nje ya nchi au la, au kuzaliwa familia maskini...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nasikitishwa na unyanyasaji wa hii kampuni ya huduma kwa wateja inayofanya kazi zake na kampuni moja ya simu za mkononi maarufu hapa nchini, kinacho nikwaza ni mishahara midogo Tsh 150000/= kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nimebanwa na haja kubwa wakati naendelea na mizunguko yangu Posta. Nimehangaika lakini bila mafanikio kutafuta sehemu ya kukatia gogo. Yaani ilinibidi nitumie mfuko wa plastiki na kuhifadhi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Be Proactive create environment, choose response before problems start Begin with the End in Mind create cognitive mindset, what is the vision, what is the habit Put First Things First...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu wangu wa Mwanza mambo vipi? Ilemela, Buzuruga, Mabatini, Buhangwa, Airport..!!!! Baada ya kuingia tu jijini kitu cha kwanza nimeomba nipelekwe kwenye uli mti uliowahi kujadiliwa humu JF, mti...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NIUE TARATIBU, hivi kweli hawa WAAMERIKA wana huruma gani na sisi hadi watusaidie ktk kuutokomeza ugonjwa wa maralia..? kama kweli wan huruma mbona basi hawaaonei huruma WAPALESTINA ambao wanataka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KIVUKO cha Kilombero licha ya kuwa ni kitovu cha maendeleo ya biashara na uchumi wa wilaya ya Ulanga, lakini bado kimetelekezwa katika kipindi cha miaka 50 tangu kupata Uhuru.Teknolojia ya pantoni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
WanaJF naomba mnisadia katika hili. Hivi vyombo vyetu vya habari nashindwa kuvielewa sijui kwa sababu mapato yao madogo(Njaa) au ni kitu gani kinavisumbua. Mara zote nimekuwa nikifatilia...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa Majimbo yao taarifa zilizopatikana ni kama ifuatavyo. Jimbo la kojani-108 Jimbo la Ole-157 Jimbo la micheweni-88 Jimbo la Mgogoni-184 Jimbo la wete-149 Jimbo la Gando-418...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
SERIKALI imetoa namba ya simu bure itakayotumika kutoa ripoti ya wahujumu wa sukari, namba hiyo ni 0754 38 79 28, ambayo* itakuwa wazi kupokea taarifa za walanguzi wa sukari.Pia imeahidi kutoa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii nimekutana nayo FB ikanistua sana nimeona niilete hapa kwa great thinkers tuijadili na mwenye habari zaidi atupashe I York David Drexell ANGALIZO HATARI KWA WATANZANIA WOTE POPOTE PALE...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hi!
Wakuu wangu,nipokeeni mwenzenu!
0 Reactions
2 Replies
851 Views
Naibu katibu mkuu wa zanzibar Ismail jussa Ladhu ameongoza timu ya mawaziri na wabunge wa CUF kuelekea Igunga kwa ajili kuongeza nguvu za kampeni za chama hicho, akiongea kaimu katibu mkuu Julius...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamani hii ratiba ya kukatika kwa umeme mbona siielewi?manake umeme huku kwetu ulikatika asubuhi ukarudi saa moja usiku baada ya nusu saa ukakatika tena.mpaka sasa bado hatuna umeme siielewi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
#CGI2011 Breakout: Global Nutrition w/ Nicholas Kristof & President KikweteEvent is LIVE NOW! Kwa wale watakao kuwa karibu na mitandao ya internet basi mnaweza kupata...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Niko ndani ya moja ya mabasi yaendayo Dar kutoka Mbeya mara basi linasimama na konda anawaambia abiria " jamani mkachimbe dawa , msichelewe ni kwa muda wa dakika tano tu" basi kila abiria anatoka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
$16 muffins, $8 coffee served in Justice audit - Yahoo! News
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom