Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
wadau nataka kununua bando la airtel 2500 nifanyaje
0 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Closed
JMakamba January Makamba Chadema ought to apologise to all Tanzanian women for this. Shameful and disgusting! http://twitpic.com/6m56eu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kutoka Mwanahalisi, Septemba 14 - Alfred Lucas NDANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), sasa hali si shwari tena. Wanaojiita waasisi wa "mpango wa chama wa kujivua gamba" wameanza kutuhumiana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
For those who applied for MOH sponsorship, please check this link: http://www.moh.go.tz/POSTGRADUATE-TO-BE-SPONSORED.pdf
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Baada ya Tukio la MV Bukoba katika ziwa VICTORIA na kama idadi ya watu wanaohofiwa kupoteza maisha ikawa hiyo inayodhaniwa kati ya 1500 - 2000 itakuwa ni ajali ya majini kubwa kuliko zote katika...
8 Reactions
363 Replies
27K Views
kwa makamanda mlioko mwanza 2naomba mkasalimu kamanda we2 RWAKATARE aliekua anagombea ubunge bukoba na alikua Igunga pia kuhakikisaha 2nachukua jimbo amelazwa Bugando hospital anaumwa yuko wodi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ikiwa ndio anamalizia muda wake wa ukuu wa mkoa Arusha na kwenda mapunzikoni, wakazi wa jiji la Arusha tunakupongeza sana bwana Isidori kwakuliona hili tatizo la kusimamisha lile zoezi la watoza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nilijiunga na shindano la promotion ya BURE linaloendeshwa na VODACOM. Kwenye maelezo yao wameelekeza namna ya kujitoa kwenye shindano hilo la kila siku. Baada ya kujiunga kwa muda wa siku tatu...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
  • Closed
Wiki iliiyopita tarehe 10 kitongojini Kashebeya, Kijiji Kaibanja, Kata Kaibanja wilaya Bukoba vjijini katika familia moja ya mzee Bagandanshwa kulikuwa na arusi. Vijana wake 3 walifunga ndoa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
TUKO TAYARI Tanganyika=Tanzania Kabla Ya Uhuru 1961...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Edwin Sambala mgombea udiwani wa kata ya Gangilonga (Chadema) akiwa ameduwaa ndani ya ofisi ya msimamizi msaidizi wa uchaguzi kata hiyo ambaye alitelekeza ofisi yake na kwenda kata ya KItanzini...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Wanajamii srekeali yetu ni wazi kuwa imeshindwa mpaka sasa kuhudumia raia wake huduma bora ktk sekta ya afya,elimu,maji,nishati,barabara na ardhi na sisi tumekuwa wavumilivu ktk haya.Chakushangaza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf Kuna habari nilizipata juzi nilichelewesha kufikisha,inasemekana kuna mgonjwa anajulikana kwa jina la Mzee Nassor alikuwemo katika Mv Spice ilizama huko zanzibar Week iliyopita,mzee huyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa mujibu wa TBC,watu wanne wmefikishwa mahakamani kutokana na ajali ya meli mv spice,swali kubwa hapa je mbona hakuna afisa yeyote wa fordha,sumatra na wengine wote ambao kwa ujumla wanawajibika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wama jf poleni kwa kazi za ujenzi wa taifa letu, taifa tunalo lijenga kwa nguvu huku wengine wanabomoa. Wana jf nimekuja kwa mara ya kwanza kabisa ili tushirikiane pamoja na kubadilishana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni picha ya kwanza mimi kuiona kuhusiana na kuzama kwa MV spice islander... Na hii ni picha inayoonesha kuzama kwa passanger ferry ya Trans Asia shipping lines iitwayo Asia Malaysia, hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare...
0 Reactions
30 Replies
38K Views
Kila mara ninapoangalia runinga zetu katika baadhi ya vipindi vya mahojianao nakutana na watu walewale wamealikwa katika vituo na vipindi tofauti tofauti vya TV vya hapa nchini. Ingawa ni kweli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SERIKALI imeombwa kuangalia kwa upana suala la mchakato wa uandaaji wa katiba mpya kwa kuweka kifungu kitakachowasaidia mashoga kuondokana na adha na kero ya kunyanyapaliwa. Ombi hilo lilitolewa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Huu mi nauita wizi, na wala sio offer, mwanzo ilikuwa msg 5, unapata msg mia! Hii ilikuwa pouwa sana, kwa mahitaji ya kawaida msg 100 zinatosha. Sasa wameongeza, wamekuja na msg 10 ukituma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom