Nakwazika sana tena saaaaaaana ninapoona watu wenye akili timamu (kwa kuwa wameweza kuandika ina maana wana akili timamu) wakilaumu vitendo vya wafuasi wa CHADEMA kwa Mama Fatuma huko Igunga...
Nimeona kwenye blog ya michuzi kuwa TCRA wametoa takwimu na kuonesha kuwa VODACOM ina wateja milioni 10,Zaini milioni 5,tigo milioni 4 nakuwa ya mwisho ina wateja elfu 2 tu.Hivi kuna ukweli juu y...
Siku hizi umeingia utamaduni katika nchi yetu ambapo kina dada wengi wanapenda kuvaa suruali kuliko kuvaa sketi au magauni kama ilivyo utamaduni wetu. Ni kwasababu gani dada zetu siku hizi...
Hivi ngeleja ametufanya watanzania kama watoto? Kujitoa kwenye tv eti mgao utapungua makali wakati ndo umeongezeka mana yake nn? Halafu na pinda nae kanyamaza kimya wakati yy ndo alitetea hoja...
Nipo kwenye bar flan hapa maeneo ya banana zilipo bar nyingi na kitimoto.
Kwa kweli hali niliyoiona hapa ni ya kusikitisha kwani asilimia kubwa ya wahudumu wa hapa ni watoto wa kike wenye umri...
WanaJF naomba niulize ni nini kilichopo nyumz ya pazia juu ya uunguaji wa masoko mkoani Mbeya. Usiku wa kuamkia leo tena soko lingine la Forest limeungua moto na kuteketeza karibu vibanda kumi na...
Soko la Forest jijini Mbeya limeungua usiku wa kuamkia leo na kuteketea kabisa, chanzo cha moto bado hakijajulikana, huu ni mfulilizo wa matukio ya masoko kuungua katika jiji la mbeya ambapo juzi...
Kuna sifa kadhaa za kuwa mtanzania:1.ukisema tu ukweli unachukiwa na kuzushiwa...inabidi kila unachosema uwe mwongomwongo fulani hivi...mfano wa waziri wa nishati, alisema makali ya mgao...
Serikali imeombwa kuwabana wafanyabiashara wanaosafirisha sukari nje ya nchi na hivyo kusababisha uhaba wa bidhaa hiyo hapa.
Rai hiyo ilitolewa jana na Afisa Mtendaji Utawala wa Kiwanda cha Sukari...
ni lini Tanzania itaweza kukabiliana na majanga?,tuliowapa dhamana mko wapi wakati hayo yote yakitokea,uzembe wenu unatumaliza watanzania,sioni tofauti na nchi inayoweza kuwapa wananchi wake sumu...
Kila ninapopita tarafa zote nne igurubi, choma, simbo na igunga mjini. Kila unapofika katika mikusanyiko ya watu wengi wanamtoa kasoro mgombea wa CHADEMA Joseph Kashindye kuwa ni mzito wa kuongea...
Kutokana na umuhimu na ushawishi wao kwenye jamii zetu nimejikuta nahitaji msaada kwa wanajamvi, mnieleweshe kwa upole na upendo. Hawa jamaa zetu hupata elimu yao kwenye vyuo vipi hasa?
Kwamfano...
kwanini?neno kuwajibika limekuwa ni msamiati mgumu sana kwa viongozi we2u!pale linapotokea tatizo yeye akiwa kama kiongozi,mv bukoba iliua watu zaidi ya 800,train watu zaidi ya 250,mabasi ndio...
Huwa naangalia sana magari ya Mbagala, Mbezi, G/Mboto n.k, yanajaza sana. Yanazidisha abiria zaidi ya 100%.
Je! Tatizo la usafiri linaruhusu sheria za usafirishaji zisifuatwe? Au wanasubiria...
salamu wakuu baada ya mijadara mingi kwenye mitandao mimi nimeona niweka hapa polltuona kama ni sahihi kwa miss TANZANIA 2011 kupeperusha bendera ya Taifahali kapatikana siku ya msiba?sio hivyo...
Mali nyingi za marehemu waliokufa katika ajali ya MV Spice Islanders hazijuulikani zilipo yakiwemo mapambo ya dhahabu kama pete, cheni na herini na pesa tangu kutokea ajali hiyo Septemba 10, mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.