Ilikuwa majira ya asubuhi wakati nipo nahangaika kurekebisha texture halftone dots kwenye computer ili kupata taswira sawia ya letters texture na picha nzuri kabla sija send kwenye image output...
Siku hizi kumezuka mtindo watu kugeuza simu wakati wa kuongea. Badala ya kusikilizia upande wa skrini anasikilizia upande wa nyuma (usawa wa kamera). Wajue tu kuwa sio fasheni bali ni maangamizi...
Umewahi kukutana na msemo huu?
1. There is no News in True News and there is no Truth in the News!
2. No News is bad News, Good News is no News and Bad News are News!
Ajali ya kuzama kwa meli iliyotokea zanzibar ni matokeo ya serikali na wananchi kuishi kwa mazoea. Hivi inaingia akilini kwa meli yenye uwezo wa kubeba watu 610 kuwa inasafirisha watu karibu 1000...
Hivi ni kwanini haswa kila tunapokuwa na Rais muislamu mambo na majungu kibao yanaanziswa juu yao,nakumbuka sana wakati Mwinyi anaingia madalakani Nnchi ilikuwa imeooza kabisa,hakuna hata huduma...
Mtu mwenye registered business ya furniture au vifaa vya nyumbani naomba ani-PM, details za deal tutadiscuss 'inbox'. Deadline ni Jumatatu tarehe 12.09.2011
Lile duka kubwa kabisa pale mlimani city limefungwa kwa amri ya kamishna wa TRA kutokana na majibishano juu ya kutumia kifaa cha electronic cha kufanyia mauzo (EFD). Wakati TRA wanalazimisha vifaa...
The Tanzania Association of Oil Marketing Companies (TAOMAC) has picked Godfrey Fernandes its new chairman for one-year tenure in office.
Fernandes, who is chief executive officer of GAPCO...
| Tanzania
Minister for Health and Social Welfare, Dr Haji Mponda
After prolonged public discussions and pressure, Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) yesterday cleared the...
Ikiwa imebaki siku moja tu kufanyika kwa shindano la Miss Universe kule Brazil (J'tatu) imenibidi nikate tamaa kwa mwakilishi wetu kule (yaani Nelly Kamwelu).
Nikiwa mmoja wa mdau na mkereketwa...
Kwa kweli inauma sana kuona watanzania wenzetu wengi ktk maeneo ya vijijina wanaishi kwa kutokuwepo kwa kesho yao...ktk pita pita yangu baadhi ya maeneo ya vijijini ya mkoa wa dodoma,singida na...
Ikiwa imebaki siku moja tu kufanyika kwa shindano la miss universe kule Brazil(jtatu) imenibidi nikate tamaa kwa mwakilishi wetu kule (yaani Nelly Kamwelu).Nikiwa mmoja wa mdau na mkereketwa wa...
Katika gazeti la mwananchi la leo ukurasa wa pili nimekutana na picha ikimwonyesha Rehema Mohamed (diwani viti maalum CHADEMA-Arusha Mjini aliyetimuliwa uanachama) akichangia hoja katika kikao cha...
..Walituambia kuwa makali ya mgao wa Umeme yatapungua. Lakini naambiwa Arusha mambo yanazidi kuwa magumu. Hadi operations Mount Meru hospital zinafanywa kwa kutumia rechargeable lights na kuwa...
Wakuu
Mbunge wa Nyamagana Ezekia Dibogo Wenje,MB(CHADEMA) leo atakuwepo katika viwanja vya sahara kuanzia muda wa saa tisa alasiri akizungumza na wananchi.Pamoja na mambo mengine atatoa taarifa...
Watu wasio na hatia wanauawa ovyo jijini Tripoli. Chanzo cha haya yote ni maandamano yaliyoanza takribani miezi sita iliyopita.
CHADEMA wajifunze kutokana na maafa yanayoikumba Libya hivi sasa...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU USALAMA WA SAMAKI WALIOINGIZWA NCHINI KUTOKA JAPAN
1. Utangulizi Itakumbukwa kuwa mnamo tarehe 24 Julai 2011, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ilitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.