Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari za saa hizi wakuu?.. Leo katika pitapita zangu nimeona watu kibao na wengi wao wakiwa katika vazi la kiislam zaidi wanaingia ikulu upande wa geti la ofisi za WAMA na kuna kaswidah kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa nini isiwe bendera ya taifa . Raisi na ofisi yake ni ya watanzania wote sio ccm tu.kwa nini inakuwa hivyo ni katiba zu ?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MegaPyne
Count Down to our weekend special.. http://www.jambovideo.com/2007/10/19/binti-kiziwi-z-anto/
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Leo nipata Neema ya kudhuria semina ya mwalimu Christopher Mwakasege inayoendelea viwanja vya biafra kinondoni jijini Dsm, kipekee ilikuwa semina yenye Baraka na inayoashiria mwanzo Mpya wa...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Jamani natumia bundle ya internet ya airtel kwenye simu yangu. Lakini kwa siku kadhaa sasa kila nikijaribu ku download kitu chochote inafail...naomba kufahamu ni mimi tu au nawewe umekutwa na hiyo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wapo wengi wanaishi maisha yasiyo yao lakini wanahisi hayo ndio maisha walioandikiwa sio kweli pengine ukutakiwa kuishi nyumba za kupanga pengine ulitakiwa uwe na biashara 'kubwa lakini leo hii...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
HATIMAE MAANDISHI YA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA YALIOLETA MKANGANYIKO KWENYE LUGHA YA KINGEREZA YAMEFUTWA HUKU WAKINGALIA KWENYE DICTIONARY NINI KINACHOTAKIWA KUANDIKWA KISILETE AIBU TENA UONGOZI...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Harakati za nchi za Magharibi kusaidia Demokrasia kusaidia Afrika. je ni halali?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimejaribu kufanya utafiti ktk vyuo vingi vya Kikiristo TZ, na nimegundua kwamba Wanafunzi ktk shule hizo hawafundishwi Ethics ktk Business courses and Ethics in Leadership. Hili ni tatizo kubwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
nchi imeishiwa sukari inabidi iagizwe toka nje.matatizo haya mpaka lini?alert?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
SERIKALI za Tanzania na Msumbiji zimekubaliana kubadilishana wanafunzi wa elimu ya juu na kwa kuanzia mwaka huu wanafunzi 50 kutoka pande zote watafaidika na mpango huo. Waziri wa Elimu na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hatimae kampuni ya BAE SYSTEM ambayo iliiuzia tanzania rada imekubali kuilipa tanzania chenji moja kwa moja bila masharti,,,,,,,,,
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana JF leo jioni mkurugenzi msaidizi wa elimu wa bodi ya mikopo amesema, nammnukuu: "WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO MWAKA HUU WAJARIBU MWAKA KESHO" nawaonea huruma watoto wa wakulima...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
WATU wanne akiwamo Mwalimu Mkuu na Msaidizi wake wa Shule ya Msingi ya Kagwe kijijini Kagwe, katika Kata ya Siloka, Bukombe mkoani hapa, wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kukutwa wakiandaa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimesoma Tanzaniadaima jumatano makala ya Bakari Mohamed isemayo 'Raisi Kikwete amesahau wajibu wake?'' ameeleza mengi ambayo kimsingi nakubaliana nae ila kuna sehemu anasema kwamba ahadi ya mwaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nora Damian ZIKIWA zimesalia wiki mbili ili amalize kifungo chake cha miaka miwili jela, aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wakuuu Hpa tuweke quote fupi fupi za wikileaks amabazo tunaona zina taarifa iwe ni nzuri au mbaya kw ajamii Sambsmba na hiyo tuweke ID au link ya cable yenywe Nukuu hizo ili wataopena...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
  • Closed
Hivi huyu mzee ameshawahi kufanya hata safari moja kwenda ughaibuni ukiachilia Italia ambako alipatia upadri? Maana kila siku namsikia yupo hapahapa tu Bongoland. Unajua waswahili husema tembea uone.
0 Reactions
27 Replies
2K Views
wana JF wenzangu nataka kwenda kusoma degree ya kwanza nchini china, naomba kuuliza kuhusu ubora wa elimu ya china na degree ya kwanza China unasoma kwa miaka mingapi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau jana nimeshtuka sana na kustaajabu baada ya kusoma tangazo la kazi lililotolewa na gazeti la Daily News la jana kwenye ukurasa wake wa 5. TPDC wanatafuta mhasibu msaidizi na awe na sifa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom