Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wana jf..katika pita pita zangu katika mitandao nimekutana na hizi blog moja inaitwa mzeewasupu na nyingine inaitwa maishamatamu..kwa kweli nimeshangaa sana...kuona picha za wadada wa...
0 Reactions
15 Replies
10K Views
Wachina wawili nimekuta wakijiuguza majeraha huku wamekaa chini barabara ya Sam Nujoma karibu na Cocacola baada ya kula kipigo toka kwa wananchi wenye hasira kali. Kutaonana na tabia iliyokithiri...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ilikuwa ni kama filamu ya kusisimua pale maharusi, Paul Lugendo na Ester Kapilimka, wakazi wa Kunduchi Mtongani jijini Dar es Salaam walipobaki vinywa wazi kufuatia mchungaji wao, Alphonce...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakati sisi tunaelekea uwanja wa taifa kufurahia uhuru na amani aliotuachia nyerere na kuendeleza kikwete .waislam wamepanga ni siku ya kukesha msikitini kumuombea JK kutokana na hotuba alioitoa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani wadau wenzangu, leo nilisikia news kuwa kuanzia 2012 wanafunzi wakimaliza kidato cha sita wanatakiwa kujiunga na JKT.. is it true? na nani alie toa huu ujumbe? natanguliza shukraani
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wadau wa JF, Leo usubuhi nimesikia kwenye kipindi cha magazeti cha RFA kuwa Rev Mtikila ameishitaki serikali legelege ya magamba mahakama ya kisutu kwa kuuza jengo la Mahakama yetu ya Rufani kwa...
0 Reactions
2 Replies
894 Views
jamani hawa heslb kwa nn fom 6 wa mwaka huu 2cwawajibishe? sababu 2nayo na uwezo 2nao cjui kama nia 2nayo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Halafu sio haki hata kidogo kwa wageni kupewa asilimiaa kidogo hivyo kozi tukija kwenye soko lenyewe watanzaniaa bado hatuwezi kuran biashara ya uwindaji ya wanyamapori ( hunting industry) kwanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafakari:Ni ajabu Chibuku kuizidi dhahabu katika ulipaji kodi Tanzania! Send to a friend Saturday, 03 September 2011 18:54 0digg Na Julius Samwel Magodi WASWAHILI wanasema zubaa uliwe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kabla ya kauli ya Ngeleja kuhusu kupungua Kwa mgawo wa umeme,wakazi wa bwiru tulikuwa twatendewa haki sana. Ila baada tu ya kauli ya ngeleja makali ya mgawo yamezidi na sasa twapata umeme kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Meneja mkuu mkaburu MOXHAM KEVIN imetangazwa leo amejiuzulu mara moja. taarifa hizi rasmi zimebandikwa kwenye mbao za matangazo mgodini hapo. Sababu iliyopelekea kujiuzuru huku haijawa wazi ila...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
TAKUKURU Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa au enzi zile ilikuwa Kikosi cha Kuzuia Rushwa. Chombo kinachoendeshwa kwa fedha lukuki za walipa kodi ili kipambane na Rushwa. Badala yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mpaka sasa dk 45 za kipindi cha zimekwisha mabao bado ni 0-0 wasichana sijui akina dada wetu wanajitahidi wanaweza kututoa kimasomaso
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
TZ ni nchi yenye Rushwa na Ufisadi Mkubwa sana Duniani. Ukichunguza wafanyakazi wengi Serikalini ni Graduate kutoka ktk vyuo kama Tumaini University nk. Sasa hii Rushwa na Ufisadi mbona havipigwi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hawa jamaa ni waongo sana, mjihadhari nao! Habari zao hazina ukweli hata chembe! Source: Salva Rweyemamu - Ikulu 'mawasiliano'
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna wingu zito linalozidi kutanda juu ya suala zima la afya ya Prof. Mwandosya, ambaye aliugua ghafla wakati wa kikao cha Bunge cha hivi karibuni na kukimbizwa Muhimbili na hatimaye India kwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kikosi kazi cha kupambana na dawa za kulevya kimekamata kilo 99 za dawa za kulevya aina ya heroin ambapo walizikamata alfajiri ya leo maeneo ya kinondoni,miongoni mwa waliokamatwa ni watanzania...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndugu wana Jamii forum. Kwa masikitiko makubwa napenda kuwaeleza kwa uchache tu ufisaadi mwingine uliojitokeza hivi karibuni baada ya muheshimiwa DR Sheni kuchaguliwa kuwa rais wa Zanzibar na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa chama cha wanainchi CUF atawasili tabora jumatatu kwa ndege na kupokelewa na maandamano yaliyoandaliwa na wakazi ambapo jioni atahutubia mkutano mkubwa kabla ya kuelekea Igunga siku...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chadema na Mh Freeman Mbowe watakuwa mahakamani tena kesho,kwenye kesi iliyofunguliwa dhidi yao,kesho ni hukumu dhidi ya pingamizi zilizotolewa na upande wa utetezi,dhidi ya kesi hii ya waliokuwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom