Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwa wale wadau wa soka hasa wale wapenzi wa soka la Bongo, kwa wiki nzima habari iliyokuwa imevuta hisia ya watu wengi ni habari inayohusu pambano la Simba na Yanga ambalo lilikuwa linatarajiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kajamaaa haka bwana, kameweza kumteka raisi na kumtumia kama ngao na silaha yake kwenye kulikamata soko la muziki na burudani. Je ni nani atakaye mvisha paka kengele ili soko liwe huru, la haki na...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimehuzunika sana kuona wasanii wa bongo fleva wakiimba wimbo huo ambao hauna maana kwa MTANZANIA WA HALI YA CHINI.JE wasanii wetu wametumia akili kusifia miaka 50 ya uhuru kwa kusema eti tuna...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Diwani wa CDM na wanachama wengine 9 wanashikiliwa na Polisi kwa Kuchoma nyumba ambayo walidai ipo kwenye kiwanja kwa ajiri ya kutengeneza stendi ya Mabasi! Wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wengine wanaweza wasiamini lakini ukweli ndo huu. Serikali inapanga majengo ya watu kuendesha shughuli za mahakama. Haingii akilini kama kweli serikali imechoka mpaka wanashindwa hata kujenga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wandugu wa jf mambo vipi!,nashauri Dr Slaa atembelee vyombo vyote vya habafi si unajua Nape kapita kote huko kamwaka ugali sasa na Dr apite huko akamwage mboga,mpaka tuheshimiane!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau kituo cha tv ya magamba kimerusha taarifa saa mbili usiku kuhusu maandamano ya kihistoria nchini India yaliyo sababishwa na kukamatwa kwa mwanaharakati anayeheshimika nchini humo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilichosikia mtu hautaruhusiwa kupiga kura kwa uchaguzi wa 2015 mpaka uwe na kitambulisho cha uraia (ID)! Kwahili inanikumbusha jinsi watu walivyoshindwa kupiga kura kuanzia 2000's...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakazi wote wa dar es salaam na vitongoji vyake mnakalibishwa kwenye uzinduzi wa miaka 50 ya uhuru mnazi mmoja Leo Tumejaribu, tumeweza tunagonga Mungu Ibariki TAnzania Mungu mbaliki Rais wetu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Alikuwa Milionea, Hivi Sasa Anakusanya Taka Mamilioni yote yameisha Callie anafanya kazi ya kukusanya taka Akiwa na miaka 16 alishinda bahati nasibu (Kamari) na kuwa milionea kijana lakini baada...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Wakuu heshima kwenu. Nimelazimika kuja na hoja ya kuitaka serikali ichukue hatua za kukusudia kuwasaidia wafanyakazi wanaotoka maofisini jioni ili wafike majumbani kwa kwa wakati. Hebu fikiria...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni kweli jamani??naomba mawazo yenu!! Asbh njema
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu nimesikia ving'ora vya moto (fire alarm). Naangalia kwa nje naona walinzi ultimate security wako alert. Punde gari ya zimamoto na ambulance vinaingia kulikoni?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanaume mmoja nchini Uingereza ametumia jumla ya dola 10,000 kufanya operesheni za kumfanya aonekane kama shetani kwa kujipandikiza mapembe kama ng'ombe, kuugawanya ulimi wake vipande viwili uwe...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Mtu yoyote wa mjini kabla hujafanya kazi na mtu unatakiwa unamfanyia diligence sasa hao wanaopiga madili na Iddi Simba hawakujua jinsi gani alivyoiua kalbu ya Saigon? Kama kaweza kuia ile klabu...
3 Reactions
64 Replies
8K Views
Tanzania invites gold processors MONDAY, 15 AUGUST 2011 14:13 JOHN MBALAMWEZI DAR ES SALAAM - Tanzania is calling for international and local firms to venture into modernization of artisan...
0 Reactions
2 Replies
841 Views
Ndugu zangu Watanzania huu sio wakati wa kulala in wakati wa kuamka na kuikomboa nchi yetu. Nchi inaliwa na wajanja na sisi tunaangalia tunatakiwa tuchukue actions. Hii sio nchi ya kuitwa maskini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Taarifa nilizopata toka kwa informer aliyeko mgodini zinasema kuwa kesho wafanyakazi wa underground kugoma iwapo general meneja hatawasikiliza madai yao. wiki iliyopita kulikuwa na kikao kati ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa movenpick hotel dar es salaam aliwanyanyasa wateja wake, imetokea jumapili katika ukumbi wa makuti ambapo kulikuwa na tamasaha la uimbaji liliokusanya waimbaji wa injili maarufu wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Unapoifungua hii video,shikilia moyo wako uku ukisali na kukemea mapepo toooka! kwa wakina mama shikeni tumbo na kuomba mtoe kizazi kilicho chema
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom