Kwa naiaba ya wafanyakazi wote wa New Habari,nataka nitoe ushauri wa bure kwa CEO wetu kujivua gamba haraka iwezekanavyo kama alivyofanya boss wake aka bwana wake RA,kampuni...
Sakata hili la mafuta limenitia shaka kwa utendaji wa serikali hasa kwa waziri mwenya mwenye dhamana.
Tuna mifano hai ya mawaziri wawili wa zamani akiwapo Augustine Mrema na E. Lowassa katika...
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari BBC,waathliwa wakubwa wa maandamano [riots] za vijana wa majiji. Vijan hawa [Yob] wengi wanaonekana ni vijana wenye asili ya kizungu na kiafrika,hakuna hata...
Shida ni kuwa-mobilise wananchi watambue ya kwamba huyu jamaa nchi imemshinda.
Lakini kwa matukio yanayoendelea, na yanayowaathiri wananchi punde nchi italipuka.
Angalia mambo yafuatayo;
Mauaji...
jana JK aliwaalika viongozi wadini kufanya nini .....sijui! Akwawaomba waimboee nchi iwe na amani,usatawi .......mvua inyeshe na mabwawa ya maji yajae mgao wa umeme uishe!Alipoanza kuongelea...
Nimewahi kuambiwa ili kumuua nyani kirahisi sharti wawepo watu watatu au zaidi kwa sababu Nyani hawezi ku-control idadi ya vitu vitatu au zaidi kwa wakati mmoja,atachanganyikiwa tu na atauwawa...
Kambi rasmi ya upinzani ilitoa mapendekezo ya kushushwa kwa bei ya mafuta kwa 50% kupitia bajeti kivuli iliyosomwa wakati wa kuanza mjadala wa bajeti ya serikali 2011/2012.<br />
Lakini wabunge...
Pengine watu wanajiuliza kwa nini rais kikwete anakaa kimya kuhusu umeemee kuhusu mafuta
nasema bado atakaa sana kuna baadhi ya watanzania walishailaani hii nchi kwa kumsingizia
mungu kikwete ni...
Leo Waziri wa nishati W. Ngereja ataongea na wafanyabiashara wa mafuta
Jana Ngereja alitoa msisitizo wa wafanyabishara wa mafuta kufata sheria za nchi
la sivyo sheria itafuata mkondo wake
Stay tuned
malawi baada ya kukoswakoswa wao wamepiga marufuku safari za viongozi wao nje ya nchi, hii ni ili wabane matumizi, vipi bongo? Inawezekana? Make christopher columba anazidi kudiscover dunia
Hatimaye yule wakili maarufu jijini Arusha leo amepelekwa mahakani na kusomewa mashtaka kwa ilie kesi ya kukutwa na kiasi kikubwa cha fedha ambacho mpaka sasa hivi upelelezi unaendelea ili kujua...
Unaweza kuona ni jambo dogo ila mengi yatatokea, pamoja na muda mwingi kupotea, uchumi kuzorota, vile vibaba na vimama vikware leo vikichelewa kurudi nyumbani baada ya kukipitia kona vitasingizia...
Yaani nilihisi naongozwa na kingora leo jamani loh tangu naaga nyumbani
kufika kazini ni dk 8 kama nimetoka upanga to posta hata kidogo embu tuliangalie hili swala la mgao wa mafuta mnaonaje...
Wakuu - Nani anaikumbuka timu ya Taifa Stars miaka ya 1977,78,79,80 ambayo ilikuwa na wachezaji wengi kutoka Bandari Mtwara kama akina Abdallah Chuma, Namajojo, Mkandinga, Mrope, nk. Tupeni...
Hivi huyu Baba Nanihii vipi? Wenzake tunateseka na mgao na uhaba wa mafuta, yeye anaongelea udini!
Ndio hiki ni kipindi cha Ramadhani kwa hiyo kwenye "normal" condition topic ya udini...
Naishitaki Serikali, Media, Synovate, Hadaa Loliondo
Hapo nyuma nilitoa ushuuda wangu kuhusiana na kikombe cha babu. Baada ya kupata kikombe changu, nilirudi zangu DAR. Siku 12 zikapita nikawa...
Habari yenu wakuu....
Nimekutana na hii habari kwenye google. Ni ya siku mingi kidogo lakini nimeona si vibaya tukijua kinachoendelea kuhusu mtandao wetu pendwa wa JF.
Habari yenyewe inakwenda...
Nimeshangaa sana,yaani katika siku ndeeefu za mapumziko IDD Azan,amekaaa amewazaaaa ndo kaona leo aombe muongozo aulize ujinga kama huu kuwa Masaburi kalitukana Bunge,,,,,hakuna masuala ya msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.