The mainstream media is full of illuminati deception. It is good to know what is going on around you, so that you can know how to pray for this world.
You will never get the truth from...
Nimekuta post kwenye Michuzi blog kwamba Meya wa Ilala Jerry Slaa a.k.a ''Dogo Janja'' kwamba amekabidhiwa Uraia wa heshima wa jiji la bozeman, Montana, Marekani. Nimeshindwa kuelewa hii ina maana...
ASALAAM ALAYKUM WANA JF HIVI MAWASILIANO HASA NI KERO SASA KWA MTANDAO WA TGO MPAKA INAKUWA HATUNA IMANI NA WENYE MTANDAO AU NDIYO AINA YA UFISADI MAANA UNAWEZA KUWA UNAPIGA HAMUSIKILIZANI NA PESA...
Ndugu zangu, mimi nilinunua hisa za nmb kupitia nicol na tccia mwaka 2006. Tangia hapo sijawahi kupatas gawio hata shilingi moja. Je kuna mtu ambaye aliishawahi kupata gawio kutoka hayo makampuni...
Pamoja na kusifiwa kuwa kisiwa cha Amani Tafiti zimeonyesha watanzania wengi hawana furaha na tunaongoza kuwa watu waliochoka, kukosa matumaini,kushangaa shangaa,pamoja na utajiri wa rasilimali...
Jana tulikuwa tunatoka Dar kuja Arusha, tuliwasili Korogwe mida ya saa 10 jioni. Tuliingia vituo zaidi ya vitano kwa ajili ya kujaza mafuta ili tuendelee na safaari. Kila kituo walisema hawana...
Tuko shidani, wananchi tunateseka na adha hii ya mafuta. Nchi iko taabuni, mkuu wa nchi na waziri wa nishati mmekaa kimya, je tuwaeleweje? Au na nyie mna maslahi na mgomo huu wa mafuta?
binafsi nimeshangazwa na sikukuu ya wakulima inayoadhimishwa kila mwaka tarehe nane mwezi wa nane kama leo.Kilichonishangaza ni banda la afya kushinda katika mashindano.Kwanini wakulima...
Hivi punde imethibitishwa kuwa Serikali ya JK itapokea mkopo wa kiasi cha USD 250Million kutoka kwa mabenki ya ndani na nnje ya nchi.
Stanbic ndiyo inaonekana kuwa "Lead Arranger" wa mkopo...
Kutokana na ukosefu wa mafuta shell pekee yenye mafuta eneo la mwenge gbp hali ni mbaya miruru ya magari ni mikubwa mno magari yamezimika njiani
hapa sheli watu wamejazana ma vidumu kuna askari...
The deputy minister for Energy and Mineral, Mr Adam Malima, said the government has embarked on the implementation of the presidential pledges made during the head of State's visits to Kahama...
Wadau pale panapostahili pongezi lazima tutoe na hii inakwenda kwa manispaa ya kinondoni kwa kuanza ujenzi wa daraja la mto mbezi la kuunganisha goba na makongo hongereni sana na tunaomba...
TIDO HAJAENDA AL JAZEERA
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Bw. Dunstan Tido Mhando, hajachukuliwa na Al Jazeera, kituo cha habari cha kimataifa chenye makao yake mkuu jijini Doha, Qatar, Globu ya...
Ishahuri serikali iliyopo madarakani ianze mimkakati mapema ya kuwaadabisha wafanyabiashara ya mafuta kabla nchi hii aijaangamia kwa kuporomoka kwa uchumi na shughuli za uzalishaji kusimama!JK...
Kwa wale waliosoma chuo kikuu cha Mzumbe, kuna kitu kinaitwa "KIU" ni utani flani ambao unafurahisha sana espcially kama hakuna matusi
Sijui kiu inaendelea au imakufaa, wana MU mpoooooooooo??
Kikwete kama katika sherehe za mei mosi mwaka huu utaalikwa kama mgeni rasmi, na katika hotuba yako ukathubutu kuzungumzia nyongeza mpya ya mshahara basi huna budi kuthubutu kuwambia wafanyakazi...
Wasafiri wa ndege nchini Ujerumani huenda kesho wakakumbwa na ucheleweshaji na kufutwa kwa safari kutokana na mgomo* wa waongoza uliyopangwa kufanyika kesho.
Kiasi ya safari 2,500 huenda...
Wana JF habarini za j2 natumai inakwenda salama pia na wenzetu waislam mnaendelea salama na mfungo. Mimi kinachonitatiza ni kwamba mpaka leo karibia mwaka unaisha tangia uchaguz wa mwaka jina na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.