Serikali haitujali tena wananchi wake.
Hali imekuwa ngumu sana na hakuna uhakika wa kupata huduma muhimu kama afya, elimu, chakula, maji, umeme, mafuta n.k.
Sasa ni wakati muafaka wa wananchi...
Hatimaye Naibu spika bwana Ndugai imebidi akubaliane na hoja ya muheshimiwa Makamba ya kuiita kamati ya bunge na kwenda faragha ili kujadili mustakabali wa hali ya wafanyabiashara nchini kugomea...
Kwa wale mnao "ona mbali" nakuamua kuweka petroli majumbani kwenu. Kuweni makini, hiyo kitu ikilipuka madhara yake, ni bora ungekubali kutembea kwa mguu au kupanda baiskeli.
"serikali corrupt huwa
inawaogopa wafanyabiashara, serikali
corrupt huwa haikusanyi kodi bali
huwaonea wafanyabiashara wadogo
wadogo, wale wakubwa inawaacha na
hata ikiwaambia wanasema ah...
Ni mji mpekee duniani ambao: Hakuna maji, hakuna ememe, hakuna mafuta, usafiri mgumu. Lakini takwimu za kiserikali zinaonesha kuwa mfumuko wa bei (inflation) unashuka.
Jamani ina maana serikali yetu (sorry Rais wetu) imekwenda likizo?
Zifuatazo ni dalili kuwa kuna tatizo ama mkuu amechukua likizo ndefu:
Dar, Manyara, etc hakuna wakuu wa mikoa
Bodi ya...
Ukosefu wa mafuta (sio uhaba), ukosefu wa umeme, ukosefu wa ajira, tofauti kubwa ya kipato kati masikini na matajiri na ugumu wa maisha kwa ujumla ni vitu vinavyopelekea hali ya usalama wa taifa...
wauza mafuta wamepanga yafuatayo:-
1. Stock yao ya kituoni ikiisha, hatanunua tena mafuta kutoka depot.
2. Depot wakimaliza stock hawata IMPORT hadi serikali ikubali kupandisha bei ya mafuta...
Namhurumia sana Ngeleja na ninamsikitikia. Wizara aliyoshikilia ni kubwa kuliko uwezo wake wa akili, maono na hata fikra. Kwa hali ilivyo nchini ni kama wizara ya Nishati na madini ndiyo mzigo...
Tupo hapa Kobil Mlimani City. Kuna fujo ya hali ya juu. Ni kama ni kituo pekee kinachouza mafuta kwa ukanda huu,hali ambayo imesababisha magari na raiwa wenye vidumu wengi kusongamana na wengine...
.
@We have taller buildings but shorter tempers, wide free ways but narrow points.
@We spend more, but have less. We buy more but we have less. We have bigger houses and smaller...
KATIKA NCHI AMBAZO KWA SASA ZIPO KWENYE WAKATI MGUMU MOJAWAPO NI TANZANIA,KWANI LICHA YA MGAO WA UMEME KUINGIA KWENYE UTARATIBU WA MAISHA YA MTANZANIA NA KUUONA KAMA HALI YA KAWAIDA,BADO MATATIZO...
Source: Wapo FM
Subira binti mdogo kule Ntwara Kata ya Malata (?) kagundua dawa inaitwa NKONG'OTO. Ati iinakong'ota magonjwa yote sugu na tunavyoongea sasa watu kibao kutoka Nsumbiji na Tanzania...
Jamani Wauza mafuta Iringa wameanza Mgomo Rasmi Leo, Ni kiyuo kimoja tu cha MT ndio wanauza mafuta, Foleni usiseme tena.
Jamani hii serikali inatupeleka wapi sasa, Mgao wa umeme, tumeenda kwenye...
By ALVAR MWAKYUSA and ROSE ATHUMANI, 8th August 2011
DAILY NEWS
THE Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA)'s board of directors is on Tuesday expected to hold a meeting to...
Shirikisho la Soka nchini TFF limeendelea kuzoa aibu tupu kwa Timu ya Taifa (Taifa Stars) kushindwa kusafiri kwenda Sudan kukipiga na Timu ya Taifa ya nchi hiyo kutokana na kuchelewa kutafuta...
9 Agosti 2011 03:46
?
Kwa siku ya tatu mfululizo, machafuko na uporaji wa mali umeendelea katika maeneo kadhaa viungani mwa jiji la London. Majengo yameteketezwa moto maeneo ya Peckham na...
Napita maeneo ya sinza na kuna kituo kimoja tu cha mafuta ndicho kinaonekana kuuza mafuta!
Foleni ni kubwa sana, gari hazitembei! Trafiki mko wapi?
Hali hapa GBP ni mbaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.