Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nimebishana na rafiki zangu mahala tulipokuwa 2kijinusuru na hili GIZA la Ngeleja. Sasa kuna jamaa aliyeanzisha story ya ndg mmoja aliyebahatika kumkamata jamaa aliyefanya naye biashara na mara...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tuhuma zote juu ya Serikali au taasisi au watendaji wake kuhusu ufisadi na hujuma kwa raslmali za taifa kama hili la hivi karibuni la Jairo na 50milions zake au Jen Shimbo kumiliki akaunti yenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumbe wamekwapua toka katika budget ya ujenzi kwenye fungu la billioni 300 la miradi maarum. Lissu akauliza mnachukuaje ela toka kwa bajeti ambayo ishapitishwa? Speaker anasema kanuni ya 102 na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana jioni, nilipata bahati ya kushuhudia Bunge kabla TANESCO hawajanihujumu kwa kunikatia umeme. Kwa bahati nilimkuta Mh Halima Mdee akichangia hoja ya Wizara ya Miundo Mbinu, kwa kweli alikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napata shida sana ya kuielewa falsafa ya hicho chama cha magamba,kinacho ntatiza ni pale wanapo ubainisha uchufu uliokichafua chama chao na kuanza kuuambia huo uchafu ujisafishe.Ebu nijaribu kutoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna msemo usemao kuwa "while a person is busy finding the keys to success, others are busy changing the lock". Msemo huu sijui nina mkosi nao maana kila ninachojaribu kufanya kunakuwepo na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni hivi punde nimepata ujumbe kutoka kwa mwana jamii Forum mwenzetu Mtambuzi kuwa amefiwa na baba yake na kesho anasafiri kwenda Moshi Kilimanjaro kwa mazishi. Tumuombee mwenzetu katika kipindi...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Daladala iliyokuwa imebeba abiria maeneo ya mbezi beach (makonde) imechomwa moto na madereva wa bodaboda baada ya kumgonga mwenzao na kufariki hapohapo wakati dereva alipokuwa anajaribu kukwepa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Yaani huwezi amini kilichotokea leo kwenye basi la abood dar- iringa. Gari halikujaza, so kufidia nafasi jamaa wakaamua kupakia vifaranga vya kuku..(mabox meng tu) mara abiria m1 akaanza...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ktk taarifa ya habari ya star tv saa 2 usiku imeonekana shule za msingi morogoro za serikali zinafanya kazi chni ya kiwango ukilinganisha na shule za serikali. Hii ikanikumbusha taarifa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kijanana ni nani? Nini umhimu wa kijana katika kukuza uchumi wa nchi yetu? Nini kijana afanye? Ndugu wadau naomba tuchangie hoja hii hoja ikiwa ni pamoja na kutoa mapendekezo sahihi!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unajua malaika si lazima aje usiku hata mchana anaweza kuja inategemea jinsi han ya kumpokea na kufaidika nae..nilikuwa kwenye basi moja nakuta vijaana wamependeza wamekaa kitini wanaongelea...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni Pakistan tu ndio kidooogo wanatupita, lakini nchi kama Burundi, Malawi, Niger n.k. hao wanashiba kuliko sisi. Watu pekee wasio na uhaba wa chakula TZ ni wanasiasa na wakuu wa dini! 'Pakistan...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanzanian woman made slavery claims 'to stay in UK A woman accused her employer of working her like a slave in a bid to avoid being made to return to Tanzania, Southwark Crown Court has heard...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna ndugu yangu ameniambia Uingereza kuna maeneo yamebandikwa mabango kuwa Tanzania ina njaa ya kutisha na inahitaji msaada wa chakula...mabango haya yapo sehumu zenye mikusanyiko ya watu kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba ujikaze, najua utalia sana, mimi mwenyewe nilivyoambiwa na dokta leo mchana, niliogopa na nilikusikitikia sana, ila tulia na utafakari kiutu uzima nikwambialo...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Sababu kuu ambazo hakuna mteja anaweza kuja kuinunua Tanzania angalau hata tugawane hela zitakazo patika kila mtu aishi maisha anayotaka hapa hapa au nchi za nje ni NCHI KUUZWA VIPANDE VIPANDE...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yule mbunge maharufu bulaya ameonekana mitaa ya samunge
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Mgomo wa wafanyakazi kiwanda cha bia dsm(tbl) umeanza leo hii asubuhi. issue kubwa ni kwamba wafanyakazi wanaushinikiza uongozi kuboresha hari yao ya kiamaisha katoka nyanja zote.wanadai...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Back
Top Bottom