ndugu zangu wana JF, nilitoka DAR ES SALAAM wiki mbili zilizopita na nikajaza petrol pale kituo cha mafuta cha RUVU sikumbuki jina lake lakini kiko mkono wa kushoto kama unakwenda CHALINZE...
Jamani wanaJF wenzangu mi ni mmoja wa wadau wa mtandao wa tigo ambaye nakerwa na utaratibu wa kampuni hii ya mawasiliano kunikata Tsh 30 kila siku kwa mlio unaosikika wakati mtu anakupigia simu...
Mwendawazimu akimbiza watu Benki
Friday, August 05, 2011 12:26 PM
WAFANYAKAZI wakiwemo wateja waliofika jana Benki ya CRDB, tawi la Azikiwe walijikuta wakikimbia huku wengine wakianguka kwa...
The infamous Popobawa has struck again causing panic in the Zanzibar islands off the coast of Tanzania in Africa. The "creature", described as a cyclops dwarf with bat-like wings and ears, and...
Jamani nimeckia kuwa NBC imeuzwa kwa barclays na hivyo wanampango wa kupunguza wafanya kazi. Naomba mwenye taarifa juu ya hlo anijuze jamani plz. Tanaguliza shukrani zangu.
Nimeona mahali pengi watu wakiitumia neno hili pindi mpendwa wao akifariki dunia. Wakristo wa madhehebu ya kikatoliki pamoja na waislam hutumia zaidi neno hili. Kufupisha wingi wa maneno tumeamua...
Act on illegal foreign workers, MPs tell govt
By Lydia Shekighenda
6th August 2011
Members of Parliament yesterday pressed the government to take action against foreigners who get employed...
Mkuu wa kituo cha polis tunduma mh wendo na mwenyekiti wa mtaa mwaka kati mh A.cheyo wametapeliwa na mtuasie julikana
Mkuu wa kituo mh wendo alipigiwa sim na tapel akaigiza sauti ya mkuu wa...
Wakuu,
Leo nimeikumbuka sana TRC, nimeikumbuka baada ya kusoma habari kutoka kwa wenzetu wa South Africa wamezindua Treni iendayo kwa kasi toka Johannesburg hadi Pretoria. Nikafikiria sana kuona...
Gasper Andrew ,Singida
MBUNGE wa Jimbo la Singida mjini, Mohamed Gullam Dewji, ameahidi kutumia zaidi ya Sh50 milioni kugharamia uwekaji wa mtandao wa intaneti (Internet) kwa shule zote 17 za...
Ama kweli sasa ndo utajua kama tumeshauzwa na kuwa serikali yetu inamilikiwa na watu ambao inawaita 'wawekezaji'. Jamaa hawa wamefikia hatua hata ya kuitusi na kuitishia hadharani Serikali kwa...
TAFRANI imetokea katika Benki ya CRDB, tawi la Azikiwe,baada ya kijana mmoja aliyehisiwa kuwa jambazi kurusha mawe kwenye vioo vya benki hiyo na kusababisha wateja kukimbia ovyo wakidhani...
*7 JULY 2011: UGANDAN CONSTITUTIONAL COURT TO BEGIN HEARING ON GROUNDBREAKING CASE THAT CHALLENGES STATE FAILURE TO PROTECT MATERNAL HEALTH IN UGANDA
*On the 27th of May 2011 the Centre for...
Wakati tukihangaika na shida ya mafuta jumuiya ya wauza kitimoto nayo yatarajia
kugoma kuuza kitimoto kisa kukosa wateja..wakizungumza kwa masikitiko wamesema
tangu aug1 wamekuwa kwenye hasara na...
Chama hiki kinacho aminika kuwa ndicho chama kikongwe barani Afrika,kilicho acha sera za waasisi wake na kuwa chama Mufilisi huku kikijikita ktk mauaji ya wazalendo ndicho kimekuwa kikwazo kikuu...
Huwa najiuliza nashindwa kuelewa confidence waliyonayo baadhi ya hawa raia wa India hata kufanya vitendo vya kibaguzi waziwazi bila hofu ya kuwapo ugenini.
Leo nimeingia duka moja la vitambaa...
Hali halisi inasikitisha viongozi wote CCM ni wezi,hakuna atakaye baki mungu tusaidie tuiondoe madarakani,EPA,UDA,RELI,ATC,MEREMETA.Hakika kila scandal ya nchi hii inahusisha viongozi wa serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.