Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Inasikitisha, inakera, inaudhi na inaboa kweli kweli pale unapoona kwamba tangu mwezi wa pili hadi leo watanzania wenzetu walioathirika kwa mabomu huko gongo la mboto bado wanakaa kwenye mahema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hali sio ya kawaida tena kwa wageni wa kisilamu katika nchi za wazungu ,swali langu najiuliza hivi jee ukiwa mkiristo mweusi utasalimika na misukosuko inayokuta waisilamu katika nchi za wazungu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Unapo zungumzia nchi zilizokua mstari wa mbele kutaka uhuru wa nchi za kiafrika,hautakosea ukitaja TANZANIA. Katika nchi za kusini,mashariki na kati mwa AFRIKA,Ilipasa nchi kama tanzania iwe...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Mheshimiwa Rostam Aziz tunakuomba uiangalie kampuni yako ya New Habari,hali sio nzuri,hatulipwi mishahara yetu huu ni mwezi wa tatu hatujalipwa mishahara yetu na suala lingine ni pesa zetu za PPF...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa nn wanigeria ni agreesive , opportunist wakipata chance ndogo tu wanatafanya chochote kile waweaze kutoka Watch this video How people make living from damp sites Kwa full episdoe...
0 Reactions
1 Replies
959 Views
makamu wa kwanza wa rais seif sharif hamad ametembelea chuo kikuu cha Dodoma kumsifu Rais jakaya kikwete kwa uamuzi wa kujenga chuo kikubwa na cha kisasa chuo hicho ni ukombozi wa Elimu ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Binafsi ni shabiki mkubwa wa michezo hususani mpira wa miguu. Ninasikitishwa sana na hawa ndugu zetu wa Clouds tv kupiti kipindi chao cha Sport Bar kinachorushwa kila J3 saa 4 usiku. Mara nyingi...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Tanesco Tafadhali Usikate Umeme Usiku
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ni kwa nini weekend Wachangiaji wachache ni kusema wamezoea internet za Ofisi
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Wana jf, naomba tuorodheshe nukuu mbali mbali kutoka kwa hotuba na mazungumzo ya rais wetu JK, nukuu hizi zitzsaidia kurejea siku zijazo, naanza na hizi chache: unaweza endeleza au kunikosoa pale...
1 Reactions
88 Replies
9K Views
Naamini kabisa toka moyoni mwangu kuwa Ngeleja na Jairo wangekuwa ni wa China hata matanga tungeshasahau siku nyingi! hili naamini kwa aina ya jeuri yao, yani huku wakijua kabisa kuwa umeme...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika kile kinachoonekana kujenga mazingira ya kukubalika kirahisi bajeti ya wizara ya nishati na madini. TANESCO wameamua kutoa umeme full time kwa baadhi ya maeneo ambayo awali yalikuwa yana...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Gari yangu ni aina ya cresta....cha kushangaza haijawahi kuzimika licha ya kuwa nimeendesha baada ya taa ya mafuta kuwaka naweza kutoka posta mpaka mwenge na kurudi posta na bado gari haizimiki...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Binti mwenye umri wa miaka 11 amegundua dawa yakutibu magonjwa sugu, kama ukimwi na mengineyo, dawa inafahamika kwa jina la MKONG'OTO. Inaelezwa kuwa watuwengi kutoka msumbi, malawi wana kwenda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba kujuzwa kuhusu nauli ya ndege toka Arusha to Dar es salaam. Kwa wale waliowahi kusikia au kusafr kwa ndege naomba msaada wenu. Nataka kuja dar kesho kuna ndugu yangu kafariki ghafla.
1 Reactions
19 Replies
10K Views
Kikombe cha Babu chashindwa kutibu ukimwi Paul Sarwatt...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Madaktari nchi nchini Uingereza wamefanikiwa kwa mara ya kwanza kumwekea binadamu moyo wa plasitiki unaondeshwa na nguvu ya betri. Matthew Green (40), amewekewa moyo huo wa plasitiki katika...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
  • Closed
Maneno ya JK kwamba viongozi wa dini wanauza unga, yana uzito mkubwa sana kwa jamii. Sasa hivi inabidi tukemee vikali vitendo vya hawa viongozi wa dini wanaouza unga. Tunaomba tamko kamili kutoka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Uchunguzi unaonyesha idadi ya wanaojiita wanaoumwa vidonda vya tumbo imeongezeka maradufu tangu wiki hii ianze kitu kinachotishia uhai wa tz!<br /> Kila unaekutana nae anakuambia kuwa hajafunga...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
Yan wameonyesha jinsi muislamu anavyoshawishika kupiga misosi kipindi hiki cha mfungo! Ustadhi maarufu alikuwa ni joti na wakristo ni mpoki na vengu!! Ahaaaa jamani hii nayo ni udini kabisaa...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Back
Top Bottom