Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hawa jamaa wa TANESCO hata hawawezi kutumia akili kidogo,nimeshangaa leo umeme umewashwa kuanzia saa 7 usiku mpaka asubuhi kwenye makazi yetu,sasa mimi kinachonikera mchana kutwa mnazima umeme...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
germany-tanzania(nssf) kinda thing?? abt 250m usd 2 cost at large....1000 solar houses 2b constructed... n something kama hyo!! anyone heard of that???
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanasema ukistajabu ya musa utaona ya filauni,juzi nilikwenda trafic makao makuu,kufuatilia leseni yangu ya gari,kila kitu kwa upande wa tra nilikuwa nimemaliza,nimeingia ktk ofisi ya trafiki...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
British MPs have demanded that BAE Systems pay the Tanzanian government £29.5m (TSh73.8billion, Ksh4.2bn) in full and immediately - or face legal action. BAE, a British defence company, agreed...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Nimefanya tadhimini kwa muda sasa kuanzia makali ya umeme yanayoendelea nchini Tanzania, asilimia kubwa ya watumiaji wa Jamii Forum wamepungua kwa kiasi kikubwa kwa jinsi siku zinavyozidi kwenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nadhani watu wengi huko dar lazima mtakuwa na mafua yasiyopona, maana nilipita huko nuna majenge niliyaona zamani yakuwa meupe, kwa sasa yamekuwa meuusi ti, nikambiwa jenereta hizo, sada binadamu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hennaa wanawake wa kizanzibar wanasifika kwa urembo na mapambo mbali mbali kama kuvaa kwa mapambo ya dhahabu, na hupendelea kujipaka hina au wanja kama wanafuraha ya kuwa na kitu fulani. au...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
it is believed these books have caused more death and havoc in the word ,ni bora visingeandikwa na watu kuvisoma duniani.nimejaribu kutafakari hivi kwetu sisi tanganyika ni kitabu kipi kimeleta...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
ktk dakika ya 6 na 12 ya saa mbili usiku huu nimeona TBC wakionyesha Mhs. Mnyika akiongea gizani. Kisha taa zikawaka. Baadaye tena msemaji aliyefutia wakati anachangia mada umeme ukakatika tena.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watoto wa mitaani; bomu linalosubiri kulipuka nchini Send to a friend Thursday, 21 July 2011 20:30 0digg Na Patricia Kimelemeta WAKATI nchi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
More than 500 teachers have been dismissed after being implicated with impregnating girls in primary schools, the Teachers Service Commission has said. The revelation by the TSC chairman Ibrahim...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
ile timu,ambayo mlisho ngasa amekwenda kufanya majaribio,imefungwa bao 7-0,ingawa alikuwa anajisifu kuwa mechi hiyo watamjua yeye ni nani!imekuwaje?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mapema mwezi Machi, 2009 aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme (TANESCO) Dk. Idris Rashidi, alitoa taarifa ambayo kwa maslahi ya Taifa na kwa mjadala unaoendelea sasa kuhusiana na hali...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Kwanza nchi tajiri kama usa,uk na nyinginezo rais wao hajasafiri kama rais wetu na pia amesafiri nchi nyingi kuliko rais yoyote africa je kwa yote haya ningependa kuuliza wanajamii hizi gharama za...
0 Reactions
4 Replies
942 Views
Habar zilipatikana hv punde zinasema kuwa bwana David Jairo amesimamishwa kazi kufuatia tuhuma za kuchangisha mchango wa tsh. 50 ml. Kwa kila taasis ya wizara hyo ili kufanikisha kupitishwa kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame M. Mbarawa, leo (14/7/2011) akiwasilisha hotuba yake ya bajeti ya 2011/12, aliliambia Bunge kuwa hotuba yake iko hewani kwenye mtandao (website) wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hey wanajamii nimefurahia hoja mbalimbali zinazotolewa bungeni sasa ni za mantiki kabisa hasa katika kipindi hichi cha bajeti ya serikali, hususani bajeti ya Wizara ya Madini wabunge...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Fedha zetu yaani sarafu na noti sio imara hata kidogo, sarafu zetu ikidondoka arhini baada ya wiki haitamaniki tena kutokana na kushika kutu,noti zetu mpya ndio kabisaa inaghushika kama njugu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
tarehe 14/6/2011 niliweka thread hii " Kesho tarehe 15/6/2011 mwezi utapatwa katika nyota Mshale katika nyuzi 24o23'. Sakata hili litaanza hapa kwetu saa 2:24:34 usiku na kuisha saa 8:00:45 usiku...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeileta hii habari sababu ya kuendelea kushangazwa na sie waafrika kuendelea kupenda ushirikina. Hebu someni hii habari halafu muone mganga toka Tanzania alivyowatapeli waganda! New Vision...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom