Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Fidel80‎, Bujibuji saigoni Rev Fr Masanilo katavi historia yao jf inanipa mashaka makubwa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukwaju ni mchungu na wengi wetu tunaona ni bora ubuyu kuliko ukwaju. Mi sitaki nikukimbize manake mwisho wake nitachokam we anguka jifanye kama umepata ajali uniache mi nikukamate na mwisho wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikagua Bajaj ambayo imetengenezwa ili kumudu kazi ya kuzima moto hasa kwenye maeneo yenye barabara nyembamba katika maonesho yaliyoandaliwa na Kampuni ya Spray and...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alisema kuwa angekuwa na uwezo wa kutoa discipline kwa makatibu wakuu na mawaziri basi angefanya hivyo ila alitaka kuwasiliana na JK ambaye alikuwa hewani (flying)...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Apparently bonde la Rufiji lina uwezo wa kulisha Afrika Mashariki nzima endapo litatumiwa vizuri na mamlaka husika limetandawaa katika mikoa ya Pwani, Lindi, Morogoro, Iringa, Mbeya, Ruvuma...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Ndugu mpendwa pengine ni wakati mzuri umekuwa ukipenda kuangalia tv ya emmanuel kule nigeria ukimsikiliza mpaka mafuta td joshua..jana ilikuwa ni kasheshe mtoto mmoja kijana mwenye umri wa miaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mgomo baridi wa Madereva wa magari makubwa ya Mizigo yanayokwenda nje ya nchi t siku ya Nne sasa na Hakuna taarifa zozote Rasmi kutoka Vyombo husika Mgomo huu unatokana na madai ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
The Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA) should do something about mobile phone subscribers being bombarded with unsolicited SMS from network operator. Mobile phone companies have...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Convert Waste Heat into Electricity Ni mojawapo ya uvumbuzi wa kiteknolojia ambao unafanyiwa kazi na kampuni ya BioLite. Maelezo mafupi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
wale wanafunzi wa UDOM mnahitajika chuo on 27 th July for registration frm 8am to 4pm and classes resume on 1 aug.....all the best buddies and for more info take a look at Jambo Leo newspapers...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
ni gazeti linalotoka kila j5 sawa na mwanahalisi raiamwema lipo juu hasa ktk habari zinazohusu cdm na ufisadi hili gazeti makini ambalo mwanzo tulidhani limekuja tu kuficha ufisadi na kuitetea...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Tanzania Mheshimiwa Adolfu Kumburu anaendesha Shirika la Umma kama shirika lake binafsi ili kutekeleza ajenda zinazomnufaisha yeye binafsi. Mheshimiwa Kumburu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiasi cha tani 6 za pembe za ndovu kutoka nchi mbali mbali za afrika ikiwemo Tanzania ambazo zilikamatwa katika nchi mbali mbali huko ulaya na asia zitachomwa moto nchini kenya.iko namna hapa,kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kuna habari zilizokuwepo jana katika magazeti ila sikumbuki ni gazeti gani kwamba katika shule moja ya msingi huko jiijini Dar es Salaam kulikuwa na mwalimu wa kiume amabye alikuwa na tabia ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
http://youtu.be/9y-7nhTRlTU
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Mh Mbowe alitoa maoni yake akichangia bajeti (iliyopigwa chini) ya miundombinu kuwa "kwa sasa serikali peke yake haiwezi kutafuta mbinu za kuinasua nchi na janga la umeme, na akashauri iundwe task...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tuwe wakweli ukaribu wa Kikwete na Malima katika ila dhana ya "mwenzetu" ni kigezo tosha cha kuweza kung'amua Ngeleja au Malima hawawezi kuondolewa na hata huyo Jairo ataondolewa kwa mbinde...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imeanza uchunguzi wake juu ya madai hayo ya Wizara ya Nishati na Madini kuzichangisha taasisi zilizo chini yake fedha kwa ajili ya...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Katika kuonyesha hatima ya mgao wa ngeleja na madhara yake madada wa arusha waliokuwa wakifanya kazi kwenye saloon wengi wamehamishia makazi yao usiku kwenye baadhi ya hotelna bar,,wakiongea kwa...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Bwawa la mtera kwa sasa lina kina cha mita 690.73 na the extreme minimum level kwa mitambo ya kuzalisha umeme ya bwawa hilo ni mita 690.0.Kwa hiyo ndugu zangu waTZ,zimebakia 73cm tu za kina cha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom