VIONGOZI wa dini nchini na wenzao kutoka nje ya nchi, wamekutana na kilio kikubwa kutoka kwa wakazi wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa Nyamongo unaomilikiwa na African Barrick North Mara...
Utaratibu huu wa uteuzi wa makatibu wakuu wa wizara na viongozi wengine wa serikali uliopo sasa hivi unaturudisha nyuma sana. Yahani jinsi ilivyo sasa kila kitu kinasubiri maamuzi ya rais, kweli...
Jana bajeti ya wizara ya elimu imewasilishwa mjengon! Wizara imeongeza kias cha sh. 2500/- kwa siku, kama pesa ya kujikimu na sasa ujumla wa pesa hyo kuwa Tsh.7500/- per day! Je serikal...
Siku 2 zimeisha tangu nikiwaza umuhimu wa umeme na mafuta ya taa kwa walio wengi. Najua atakaepinga kuwa mafuta ya taa ni zaid atakuwa mwenda wazimu,au amezaliwa gorofani na kukulia forodhani. Kwa...
Kwa wanasiasa,wanaharakati na wadau mbalimbali wa secta zote hapa tanzania na kwingineko,mnakaribishwa katika kongamano la kujadili mwenendo wa kupatikana kwa katiba mpya ya jamuhuri ya muungano...
VIONGOZI sita wa madhehebu ya dini wanaojihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya nchini, wamejitokeza mbele ya Kamati ya Maadili ya Viongozi wa Dini na Haki za Jamii na kukiri kujihusisha...
Ni sisi maskini tunaobebeshwa mizigo ya kodi,bei juu,giza,magonjwa lukuki,njaa,madeni kibao na mengine ongezea! Wakati huohuo tuliowachagua kututetea wametanguliza vitambi,anasa za kuzidi hata za...
Truck drivers strike congests Tanzanian Zambia border
AS the strike action by Tanzanian Truck drivers enters day three, a terrible congestion has rocked Tunduma town in Tanzania on the Zambia ...
Tatizo la mgao wa umeme sasa limeanza kusemwa na vyombo vya habari vya kimataifa. Kama kawaida Tanesco walipohojiwa wamesema mgao wa umeme unatokaka na ukame mkali ulioikumba Afrika Mashariki kama...
Inawezekana nazeeka haraka......natatizwa na maneno......"kanga moko tepe tepe laki spesa njoo uone kanga inavovaliwa" yapo kwenye tangazo clouds sielewi wanainadi bidhaa gani au wanamaanisha nn
The 48 Laws of Powerby Robert Greene and Joost Elffers
Law 1
Never Outshine the Master
Always make those above you feel comfortably superior. In your desire to please or impress them, do not go...
Jana Sitta na waheshimiwa wenzake walikuwa Mbeya wakiongea na wasomi wa vyuoni. Hilo siyo tatizo kwangu ila ninachojiuliza matamshi aliyoyachana jana yameendelea kuiwekapaya sana agenda ya mh...
Napenda kutumia jukwaa hili kuwapongeza kwa dhati Madiwani wa Wilaya ya Ngorongoro kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kutetea maslahi ya wananchi hasa kwa kuwabana Wakuu wa Idara wa Halmashauri ya...
Kule Uingereza kuna skandali inayohusu gazeti la News of the World na mapolisi wa UK. Tuhuma hizo zimesababisha Cameron wazir mkuu wa UK akatishe ziara yake South Africa na kurudi kwao.
Tanzania...
Kama kawaida msema hovyo mimi nimekuja na jipya leo. Sasahivi mimi pamoja na jamaa zangu wa maeneo ya Gongo la mboto na Temeke tunafanya majadiliano juu ya kuwa na maandamano makubwa kupinga mgao...
Nimeona hii kutoka kwa kaka michuzi. Daa yaani mchina ametuzidi maarifa na uzalendo kariakoo kwanini wasiweke taa za barabarani hapo mahali. Au waheshimiwa hawapitagi hapo basi haka kavideo...
Hatimaye la Rostam Aziz alilovua kuota tena kwa mara nyingine!
Hii ni kutokana na sababu kuwa tangia jamaa ajivue gamba mpaka leo hajapeleka barua ya kujivua gamba mahali popote panapohusiku...
MAANA NAONA MAISHA KILA SIKU YANAKUWA MAGUMU,NA HASA HAWA MAPROF,WASOMI KWA UJUMLA INCHINI KWETU WANA MCHANGO GANI KTK TZ YETU ZAIDI YA KULA MALI ZETU PIA NA HASA HILI LA KILA SECTOR WAWEKEZAJI JE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.