Najiuliza mara nyingi sana pasi kupata jawabu. Nalileta kwenu wanajamvi. Pengine lilishajadiliwa nami sikubahatika kuliona. Hivi toka Novemba mwaka jana hadi leo takribani miezi 8 kwa nini mzee...
Haya sasa wadau leo kuanzia saa mbili na nusu usiku kijana wenu mwanaharakati Nova Kambota atatema cheche kuanzia saa mbili usiku mlimani tv, usikose kumwangalia leo itakuwa hapatoshi naona huyo...
Mchezeji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samata anayekipiga katika timu ya Tp Mazembe ameendelea kuwa mwiba mkali kataka ligi kuu ya Demokrasoia ya Kongo. Samata, akiingia kutokea benchi katika...
hivi ipo listi ya wabunge wanawake vijana?
maana kila siku tunawasikia akina zitto na Makamba bas!
itakuwa si vibaya mtu akaleta listi za wabunge wanawake na picha zao
habari njema kwa wasafiri wa ndege kwa safari nilizozitaja hapo juu. shirika la ndege la Precision
Air limeanzisha safari za usiku kwa ruti nairobi, dar na mwanza. hivyo sasa unaweza kuendelea na...
Mtangazaji wa Clouds kipindi kinachoendelea sasa hivi anauliza
kama rais wa Uingereza anakunywa chai saa mbili rais wa Tanzania anakunywa saa ngapi aibu kabisa,
hivi watangazaji wa Clouds...
Kuna baadhi ya watu ambao wanatabia za chura inabidi niwaongelee hapa ili kama ni wewe urekebishe tabia yako. Utakuta mmepanda gari(busi la abiria) alafu basi lenyewe limejaa tele hadi wengine...
Katika hali ya kushangaza na kushtua habari za ndani kutoka ndani ya chama hicho zinasema kuwa kuna baadhi ya wahariri wa magazeti wameingia katika mfumo wa kulipwa mishahara wa chama hicho...
Naamini hili ni tatizo katika maeneo yote (nasisitiza yote) ya mipaka yetu... tatizo litokanalo na wenye wajibu mkuu wa ku-monitor haya mambo kulala usingizi wa pono ilihali ni hatari kwa Taifa...
Wanajamvi.
Napenda kuwapa taarifa kuwa ndugu yetu Brigadia General DR Ali Abdallah Sinda ambaye alikuwa mkuu wa Hospital ya Jeshi ya Lugalo huko Tanzania amefariki dunia jana huko kwake salasala...
Tanzania ni miongoni mwa nchi maskini duniani,moja ya maadui watatu wakuu aliowasema baba wa Taifa mwl Julius Nyerere. Maadui wengine ni Maradhi na ujinga. Ili kujikwamua kwenye umaskini elimu ni...
Mbowe ataka JK avunje baraza la mawaziri
Send to a friend
Sunday, 17 July 2011 20:49
0digg
Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe akizungumza wakati wa mkutano wa kamati kuu ya chama hicho...
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Arusha, Thomas Leizer, amesema vurugu za kisiasa mkoani hapa, hazina faida na zinagharimu maisha ya wananchi. Kiongozi...
You are cordially invited to the "Making a Difference" - AFRICAN WOMEN in BUSINESS Conference Luncheon on the 29th of July 2011 @ SOAS - School of Oriental & African Studies, 12pm - 8pm.
There...
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi La kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, amewataka Waislamu nchini kushirikiana ili kujenga umoja thabiti kwa ajili ya kushughulikia masuala mbalimbali yanayohusu dini yao...
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi toleo la jana jumapili,inadaiwa kuwa baadhi ya maafisa wa ikulu wanahusika katika
sakata la kutorosha twiga wanne na nyara nyingine za serikali hapo mwishoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.