Did you know the Jews will publish you Medical Records on the Internet? It's a part of Judaism called the Shagria. The Jews can and do publish financial and personal records and any accusation...
Internet Use Affects Memory, Study Finds
By PATRICIA COHEN
The widespread use of search engines and online databases has affected the way people remember information, researchers are reporting...
Unyama gani huu?
Na Moshi Lusonzo, 17th July 2011
Baba ambaka na kumlawiti mtoto wake wa kumzaa
Jiji la Dar es Salaam limeendelea kukumbwa na matukio ya ukatili dhidi ya watoto ambapo...
Wavua magamba wanapita sehemu zote hasa ccm ilipo poteza majimbo hasa wakati huu ambao wabunge wapo mjengoni ili kutengeneza mazingira yakuponda wabunge walio pita kwenye uchaguzi kwa tiketi ya...
PENGINE NI KUKUMBUSHANA TU WAPENDWA
JANA KWANGU ILIKUWA MARA YAPILI BAADA YA KUNGATWA NA NYUKI WIKI ILIOPITA PALE SUPERMARKET YA MWENGE KUNA WANADADA WALIFANYA MAHESABU YAO SASA WAKANIPAKARATASI...
Nape Nnauye ameenda kilwa kusini na kumtukana sana mbunge wao bwana Suleiman Bungala maarufu ***** na kumwambia kuwa ccm wana dola hivyo wata hakikisha wanampokonya kiti kwa sababu yeye ni CUF...
Kuacha ile ya saa7 mchana na kurudi saa12 jioni hii mda huu tena umekatwa na haijulikani mpaka mda gani tena,huu umeme ni kama mgonjwa wa kifafa....saa1 mzima,nusu saa kazimia
Wana JF, naona kama jamii ya watanzania inatumia juhudi nyingi kuonesha kuwa haijihusishi na uchawi, hata hivyo katika njia isiyo rasmi inaonesha kuwa watanzania tuna-practice uchawi.
1. Ajari...
Wandugu naomba msaada wenu huko mliko. In short me ni mtoto pekee kwa marehemu mama yangu Mariamu Bishanga. Baada ya mama kufariki nikiwa na miaka 5 nililewa na mjomba lakini naye hajui ni tarehe...
Jamani hii n i aibu ya serikali na nafikiri haka kamchezo kako kila ofisi
ukisoma mwananchi leo unawweza kusoma aibu ya tra jamani
huzuni kubwa kwanza breakpoint bar imefungwa
katika hali...
ENYI WANA WA ADAMU
MANENO YENU NA VITENDO VIWE PACHA
Maneno matakatifu na matendo safi mema hupaa hadi mbingu ya utukufu wa mbinguni. jitahidini ili matendo yenu yatakaswe kutoka kwenye...
Ndugu wana jf yani nimeamka mwili na akili vyote vimekwenda likizo! Yani siku naiona ipo kinyume sijui ni kwanini? Nikicheki waleti imejaa pesa,pombe simtumia,bangi simtiaji, Mademu simtumia...
Jeshi la kujenga Taifa, limeingia mkataba wenye harufu mbaya, na mtuhumiwa wa wizi wa fedha za walipa kodi ktk akaunti ya madeni ya nje (BOT) ndg JEETU PATEL,mkataba huo unahusu uingizaji wa...
JKT yalaumiwa kuingia mkataba na mtuhumiwa EPA
Na Gladness Mboma, Dodoma
Majira
KAMBI ya Upinzania Bungeni, imeshtushwa na kitendo Jeshi la la Kujenga Taifa (JKT) kuingia mkataba na Bw. Jeetu...
Kwa hali jinsi ilivyo na utaratibu mzima unavyoenda serikalini nafikiri sasa kuna haja na umuhimu wa TANESCO Kuajiri Mkurugenzi na Meneja MGAO. Miaka nenda rudi huu mgao hauishi tu! Hivyo ni vema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.