Baadh ya Waafrika wanaamini kuwa utajiri kwao ni watoto,yaani mtu kuwa na watoto wengi kwake ni faraja hata kama kuwahudumia ni tatizo........Makala niloiskia leo idhaa ya kiswahili ya Sauti ya...
KAMATI ya Kuchunguza Kashfa ya Kutopigwa Nyimbo za Taifa katika mchezo kati ya Taifa Stars na Morroco uliofanyika Uwanja wa Taifa, Oktoba 9, mwaka jana ilitoa ripoti yake huku ikimtwisha lawama...
Dr Mohammed Ghalib Bilal aliteuliwa kuwa CM wa Zanzibar 1995 na kushika madaraka hadi 2000 akiwa na Rais wake Salmin Almour a.k.a Komandoo. Kabla ya hapo alikuwa PS-Wizara ya Sayansi na Teknologia...
They are sayings,beliefs,philosophies etc,from great people,thinkers,leaders and even ordinary ones,they do inspire,conform,reform, create individuals with sensible ideas,views,visions which are...
ni bora kuishi katika nchi isiyokuwa na utawala wa serikali yyote lakini iwe na uhuru wa vyombo vya habari ili kutoa habari za kinachoendelea kwa wananchi kuliko kuishi katika nchi yenye...
Kama mfanyabiashara nimekuwa nikisafiri mara kwa mara na kushuhudia magari yakikamatwa na trafiki polisi ambao mimi ninawaita polisi rushwa kwa tuhuma mbalimbali kama vile speeding, gari kuwa...
Pamoja na aibu kubwa mbele ya macho ya mataifa mengine duniani yaliyokuwa yanaangalia mashindano hayo imedhihirisha pia serikali isivyo makini, huwezi ukawakweka maelfu ya watu wote wale wa timu...
Nani anataka tupige dili la mamilioni kwenye Umeme?
Yaani tunaenda serikalini, tunaandikishana mkataba wa kuzalisha umeme.....tunamwalika Clinton au Tony Blair.....au kama vipi tumualike Kim Jong...
Kadri siku zinavyozidi kwenda binafsi naona kituo cha times fm kinakonga nyoyo zetu hasa wanapoongea ukweli kuhusu ubovu wa viongozi wetu.keep it up times fm
chama cha democrasia na maendeleo (chadema)kimesema, endapo kitapewa ridhaa na wanainchi ya kuunda serikali ktk uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, kitahakikisha kinaanzisha utaratibu wa kufanya maombi...
Mbunge wa sasa wa chadema mkoa wa musoma ,amesema amempa aliekuwa mbunge wa sehemu hiyo bwana vedasto mathayo kuleta tani 100 akiziona kwa macho yake vinginevyo atamfungulia mashtaka..mh nyerere...
Source:
Concern as investor takes over bus firm
By Lucas Liganga, The Citizen Chief Reporter
Dar es Salaam. The management of state-owned Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) whose total...
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Arusha (Katoliki) Mhashamu Josephat Lebulu amesema ushiriki wa wanafunzi wa vyuo vikuu na shule za sekondari katika vyama vya siasa nchini ni hatari na kuwataka...
Nimestaajabu sana kuona baada ya yanga kufunga
wakati wa kupiga picha eti taa za gari ndo
zimetumika kumulika ,sikujua kama hali ya nji
hii ni mbaya kiasi kwamba hata jenereta ya dharura
uwanja...
Nilifuatilia mvutano wa Sugu na wandaaji wa Fiesta kwa muda wa wiki 2 zilizopita, hadi kufikia hatua ya Clouds FM kutumia sauti ya Sugu kuinadi Fiesta. Lakini siku mbili zishapita tangu ifanyike...
Hiki ni kichwa cha habari cha makala ya Rai ya Jenerali ya wiki iliyopita toleo na 193 la Julai 6 - Julai 12 2011. Nawaombeni wote wale mnaoipenda nchi hii, muisome makala hiyo kwa umakini sana...
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimeipa serikali mwezi mmoja kuanzia jana, kuwalipa Sh13 bilioni wanazodai walimu vinginevyo itatangaza mgogoro utakaosababisha walimu kugoma nchi nzima.Hatua hiyo...
Katika vurugu za juzi mjini Mwanza kati ya wanaojiita wamachinga na polisi, misikiti miwili ililengwa na kushambuliwa na kundi la wahuni. Wahuni hao wenye mafungamano na chama kimoja cha upinzani...
Rais mstaafu wa wanafunzi chuo cha ardhi (ARUSO) BW.Tegemeo,waziri mkuu wake Bw. BEga na Spika BW. Jikola wote wakiwa wanachama WA CHADEMA,wamekula njama wameiba pesa za Wanafunzi milioni...
Yaani tanesco kweli ni waadilifu, tena wala hawana upendeleo. Leo uwanja wa taifa muda wake wa kuwa na umeme ulipokwisha wala hawakujali yanga wala kagame, wamekata umeme. Hii inaonyesha jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.