Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wiki hii tumesikia,kuona na hata kusoma habari juu ya mbunge mmoja akiwatuhumu wabunge wenzie kwa kujihusisha na RUSHWA.........aliwataja wazizwazi bila kumung'unya maneno....... Lakini sote...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mwanamke mmoja wa nchini Uingereza ili kupinga mauaji ya samaki aiana ya Papa duniani ameamua kuonyesha machungu yake kwa kujitundika mwenyewe kwenye ndoano kubwa ya kuwatundika papa. Alice...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Hali kama hii inaweza ikatokea Uingereza lakini huenda ikawa ni vigumu sana kutokea Tanzania, Daktari mmoja wa nchini Uingereza aliliingilia tukio la waziri mkuu kupiga picha na mgonjwa hospitali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napanda jukwaani nikikiri kwamba bado ni mchanga humu,naomba mnisaidie hili:nimesikia kauli nyingi zikiongelewa bungeni za kufurahisha na kukarahisha wengine,hivi leo mh. Alima mdee alipoanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika nchi nyingi kibaka husulubiwa lakini fisadi hunyenyekewa! Hapa TZ vibaka hupata adhabu kama hii, fisadi wanatamba mitaani...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
Baada ya kuangalia uchambuzi wa kitoto wa katibu mwenezi wa moja ya vyama vikongwe kabisa barani Afrika kuhusu bajeti mbadala ya upinzani, na baada ya kugundua kuwa hajui kwanini mabunge ya jumuia...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
HOFU imetenda kwenye Shule ya Msingi Living stone ya mchepuo wa Kiingereza, wilayani Njombe, baada ya mwanafunzi Doris Lutego (12), aliyetekwa ndani ya bweni wiki iliyopita kukutwa ameuawa kwa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
mimi ni miongoni mwa wakazi wa kyela!!!! kwenye uchaguzi mkuu 2005 mgombea ubunge wetu(mwakyembe) alituahidi mambo mengi tu lakini yaliyokuwa yametugusa sisi wakazi wa kyela hadi tukaamua kumpa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Kama watz sote ni ndugu, lazima tupendane. ikiwa jirani yako ni amekosa chakula ni viozuri kumgaia na sio kukimwaga chakula jalalani kwake ili akiona. kumsema pembeni si suluhusho hasa ukizingatia...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
A total lunar eclipse will take place on June 15, 2011. It is the first of two total lunar eclipses in 2011, the second occurring on December 10. It is a relatively rare central eclipse where the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
RAIA wa Afrika Kusini, Hilton Miles (28) amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela ama kulipa faini ya Sh 200,000 baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na dawa ya kulevya. Hukumu hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aliyejifungua pacha 4 afikisha watoto saba MKAZI wa mtaa wa Sima kitongoji cha Butiama mjini Bariadi mkoani Shinyanga, Mlinda Shineneko (29), amejifungua salama watoto wanne pacha katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dunia haiishi vituko! Umetokea mtafaruko huko songea baada ya wazazi wa marehemu Esta kihwele wa tosamaganga iringa kuzuia kuzikwa kwa binti yao kisa mkwe wao hakumaliza kulipa mahali ya 900000...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamani hapa nagasaki university kuna maprofessor 4 wanajiandaa kuja huko kupata kikombe. wanamatatizo mbalimbali , ikiwepo pressure, kisukari na kjogoo kutopanda mtungi. Pia Kenya wameamasika sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
95 percent of Americans had premarital sex NEW YORK (AP) -- More than nine out of 10 Americans, men and women...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Jamani leo kwa wale wazalendo wa zamani ilikuwa siku maalum ijulikanayo kama Juni Kumi na Tano, yaani siku ya wanafunzi waliomaliza kidato cha sita na vyuo vya elimu kujiunga na Jeshi la Kujenga...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Waungwana mmefuatlia kuhusu wizi na ufisadi unaofanyika nhif.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanafunzi wanaoishi mabibo hostel wanamalizia kumuua mwizi aliyeruka toka gorafa ya 3 block e. daah jamaa hawana hata huruma.
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Jamani nimesoma mwanachi gazeti leo naona mbowe ameomba waziri wa miundo mbinu aombe radhi kwa kulidanganya umma. kuhusu mkataba wa kia..mbowe alienda mbali kwa kusema inasikitisha kuona waziri...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Toka sakata la ufisadi lianze nimekuwa nikifuatilia matamshi mbalimbali ya viongozi juu ya watuhumiwa wa ufisadi. Kitu ambacho nimegundua ni kwamba vyama vya upinzani vimekuwa vikitaja watuhumiwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom