Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jamani hiv huyu makamu yeye ndio wa arusha moshi manzese kariakoo ??mbona mzee wa kaya amwaachii akaoshe jamani na yeye atoe nuksi afe ameenjoy nchi duh..haya nasikia mkulu anaelekea sudan si...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika taarifa ya habari ya saa 2 jioni hii nimeona mwanafunzi wa sekondari Mbezi aliyepigwa risasi na polisi wakati wakishinikiza kuwekwa matuta barabarani baada ya mwenzao kugongwa na gari na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
President Jakaya Kikwete has said Tanzania needs bigger capacity ships capable of plying the Indian Ocean's vast waters to effectively take part in the fight against piracy. Speaking during a...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mm jamani sijui kuna bibi yake kwenye upande wa pili yaani huyu mutu anakata tu viuno kuita upande mmoja au ndio wah wanatoka kwa nyumba ndogo wamewapigia simu yaani kama atuko dunian jamani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama ni vituko basi hili shirika kila leo linakuja na yake jana kama mmesoma gazeti la nipashe kuna kituko jamaa ameenda wizara ya ardhi akapeleka majina ya watu waliokuwa wakipiga keele za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tuna kama mwezi mzima tangu shutuma juu ya ridwan kikwete au mtoto wa rais Kuwekwa hadharani na nyie viongozi wakuu kabisa wa upinzani, Mnakumbuka mlitutangazia watanzania kuhusu hali halisi ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Karibu mara mbili kwa nyakati tofauti nimesikia TBC wakimuelezea kwenye taarifa zao Lowasa kuwa ni Waziri Mkuu mstaafu. Ninachojiuliza, EL alistaafu lini huo uwaziri mkuuu zaidi ya ule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna tabia inashamiri kama vile watu wameenda kusomea. Utashangaa gari ya mbele yako, iwe Daladala, Gari binafsi au Lori ama Basi, takataka mfano makopo ya juice, maji, mifuko ya rambo, magunzi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mnamo saa 3 na nusu, mfanyakazi mwenzangu alipigiwa simu na mtu aliejitambulishan kwa jina la Joseph akasema boss wake anaitwa James anataka kuongea nae kuhusu biashara ya dawa za mazao inayoitwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nadhani wengi wetu tunaufahamu msemo huu wa "Sababu tunayo, Nia tunayo na Uwezo tunao". Ni ile speech ya Mwalimu Nyerere iliyotolewa wakati ule wa vita zidi ya Nduli. Ila watu wengi hawajafikiria...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nimejaribu kuingia kwenye mtandao wa IFM ili kucheki mambo ya waliochaguliwa kujiunga na chuo lakini nikapelekwa kwenye mtandao wa start logic na wanasema this site has been suspended. Wenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamvi hatari kwa nchi yetu! Hivi mbunge anatambuliwa kuwa kahudhuria vikao vya bunge kwa kusaini posho? Kwani utaratibu wa kuhudhuria vikao si unafahamika kwa kila m2 kuorodhesha jina lake...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
  • Closed
hivi akijaondoka tutakuja pata tena kweli mtu kama huyu???kweli jamaa ana akili sana
4 Reactions
181 Replies
15K Views
Jamani mimi nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu juu ya hizi imani zetu na waanzilishi wake. Kwa Uislam naamini Muhamad hakuanzisha haya madhehebu ya Suni, Shia, Kurdi n.k ambayo yapo katika uislam...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Hivi hawa wahindi wanatutafuta nini? Ubaya ni kwamba wanawatumia watanzania wenye uroho wa fedha kutuhujumu. Yani daktari wa muhimbili anaishi kiluvya wakati muhindi ananing'iniza miguu na kula...
0 Reactions
78 Replies
7K Views
Hebu wadau wanoelewa vizuri watujuze.. nimesikiliza mjadala wao leo asubuhi kwenye Power Breakfast kuhusu ishu ya Mbunge kukataaa posho... hahaha aaaa utafikiri wametumwa ... duh..
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Najua ni kipindi kigumu lakini kwa Uwezo wa Mungu mtayaweza yote. Haikuniingia kirahisi akilini na moyoni,pindi nilipopata taarifa za msiba wa Kaka Mbogo. Niliumia nilipokuja nyumbani na kumuona...
0 Reactions
16 Replies
38K Views
Mhe. natanguliza salam zangu kwako. Kwa muda mrefu umeweka historia nzuri ya uwajibikaji kama mpinzani wa ukweli. Japo msimamo wako haueleweki sana hadi watu wanahisi kuwa wewe ni mbomoaji wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani, mwishoni mwa wiki lilipitisha sheria ndogo ya uendeshaji wa masoko, ambapo limepiga marukufu upeperushaji wa bendera za vyama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Majambazi wenye silaha za moto, wamepora kiasi kikubwa cha pesa Muhimbili National Hospital muda mfupi uliopita. Wakiwa na bastola 2 na pikipiki, walifyatua risasi 2 hewani karibu na mgahawa...
0 Reactions
74 Replies
7K Views
Back
Top Bottom