Kwa wale mates
mnakumbuka kamchezo alichokuwa akituchezesha zito na wenzake pale udsm kudai posho iongezeke
mpaka ikaongezeka kudai pesa za afya zilipwe kwetu na si kujilipa chuo mpaka tukaanza...
MBUNGE wa Kasulu Mjini mkoani Kigoma, Moses Machali (NCCR- Mageuzi) leo jioni amejikuta akitolewa nje ya ukumbi wa Bunge na Spika wa Bunge Anne Makinda wakati mjadala wa kupitisha Mpango wa...
Most 'First Class!' students get senior technical and scientific jobs and some of them become Doctors and Engineers.
The 'Second Class' pass, and then pass MBA, become Administrators / Managers...
Kwa kweli nimekuwa nasoma kwenye mitandao mbalimbali ya habari za huko Tanzania kuhusu namna anavyoliendesha Bunge la Muungano la Tanzania na napata utata sana na maamuzi yake hususan kile...
Habari wana JF, nimefungua blog mpya inaitwa mapenzi yangu.<BR><BR>
<DIV style="mso-margin-left-alt: 216; mso-char-wrap: 1; mso-kinsoku-overflow: 1" class=O v:shape="_x0000_s1026"><SPAN...
I have heard so incredible stories about "the miracle man of Loliondo" that it is hard to believe even 10% of them. But when even the smartest and most cynical guys start telling that they have...
KIJANA Frank Raphael [18] amewaacha wazazi wake wakiwa na masikitiko makubwa baada ya kuamua kujinyonga kutokana kuwahurumia wazazi wake kutokana na ugumu wa maisha unaowakabili na kuamua...
NDUGU WANA JF, TULIJADILI HILI maana leo asbh nimesikia Gerald hando akiongea sana kuhusu Posho za wabunge. Kwa mtizamo wangu naona kama Gerald hando anaupeo mdogo sana wa kutafakari mambo na...
Tumekuwa tukilalamikia safari nyingi za Rais Kikwete nje ya nchi na labda kusahau safari za viongozi wengine. Hizi safari zinazofanywa na viongozi wengi pia tena kwa idadi kubwa kupita kiasi. Kwa...
wakuu naomba sana mnisaidie nimfahamu mtu anaitwa rajabu kiravu,
huyu bwana alikuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi,
kwa jinsi alivyokuwa akiongea nilishindwa kumwelewa kwa sababu anaongea...
Ninafuatilia kikao cha bunge,mh spika amemtaja mrema km Dr agustino lyatonga mrema.pia waziri aliejibu swali la mrema ametaja km dr mrema.je mrema ni doctor tangu lini?ni medical doctor au ana...
now nimejua kwa nini wanafunzi walicharuka, shule ipo umbali wa mita100 kutoka highway, wanafunzi walianza andamana kuelekea barabarani kushinikiza yajengwe matuta baada ya mwenzao kugongwa vibaya...
Sijui labda kwa uelewa wangu mgodo,naomba kuuliza kazi ya rweyemamu pale ikulu ni nini? nimeuliza kwa sababu siku zoote rweyemamu akipigiwa simu kupata maelezo au ufafanuzi kuhusu ikulu atsema...
Kwa kuwa serikali ya Marekani imeshindwa kuwathibitishia watu kuuliwa kwa Osama bin Laden na maiti yake kuzikwa baharini kama wanavyodai, mtaalamu mmoja wa kupiga mbizi baharini wa nchini Marekani...
Written by makame silima // 14/06/2011 // Habari // 5 Comments
Ikiwa uchumi wa Z'bar na Pesa za Kigeni zinasimamiwa na TRA jee mafuta yatasimamiwa na nani?
Mfumo wa Muungano tulionao ni mkubwa...
Mambo vipi wana JF.Mnakumbuka mavazi ya miaka hiyo?. Miaka hiyo ukiona pikipiki ujue ni ya bwana shamba.
Enzi hizo simu hakuna ukiwa masomoni lazima uandike barua, ukitumiwa fedha kwa...
MHASIBU wa Kampuni ya Tasu, Machafu Chokoma (59) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka mawili, likiwemo la kughushi sahihi na...
Wadau,
Je jina la ukoo huanzia wapi katika mfululizo wa ukoo?
Nilijaribu kuangalia familia yangu nikagundua kuwa kuna utata, NA HASA baada ya huu utaratibu wa majina ya kizungu!
Mjukuu wangu...
Kuna tangazo moja la simu za mikononi, utasikia "simu unayopiga haitumiki kwa sasa, mteja amehamia airtel, hamia sasa......"
kumbe wateja wakihamia huko wanakuwa hawaatumii tena simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.