UFISADI MALIASILI
NOVEMBA 26, 2010, saa saba usiku, wakati idadi kubwa ya Watanzania wakiwa usingizini, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kulikuwa na pilikapilika kubwa...
HAKIMU, Karani akiwemo na Mhasibu wa Mahakama ya Mwanzo Ukonga jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na makosa ya kushawishi kupokea rushwa ya...
Kwa kweli nilichokiona leo,sikuamini!wengine wanalilia ulijali kumbe kuna watu hawana shida nao!leo maeneo ya magomeni,kuna teja[mtumiaji madawa ya kulevya}mmoja,sijui kama atapona! amekuwa...
wanajukwaa,ni bora tupeane taarifaa hii, barabara ya morogoro inamsongamano mkubwa kiasi kwamba nimetumia masaa mawili kuendesha gari kati resort na kimara mwisho.
Magari yameshonana vibaya sana...
wajemeni kiukweli chumo nimeipenda sana waweza sema haijachezwa na watz yaani jinsi ilivyo mandhari, story,language,subtitle, yaani kila kitu mia 100% kama hata filamu zakibongo zingekuwa vile...
Na Nova Kambota
Ingawaje mimi sijawahi kusoma maswala unajimu wala utabiri naomba leo nitabiri mambo matatu kuhusu maisha ya waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond Bw Edward Ngoyai...
Wana JF
Hivi majuzi waziri wa fedha akisoma budget alitaarifu kuwa posho zitakazolipwa wafanyakazi wa serikali hazitakatwa kodi. Pamoja na ukweli kwamba hazijawahi kukatwa kodi je kuna sababu...
WALIMU wa shule za msingi wa kata ya Olkokola, wilayani Arumeru, mkoani hapa wametishia kugoma kwa kitendo cha diwani wa kata hiyo, Joseph Laizer, kudaiwa kumkaba koo Mwalimu Mkuu wa Shule ya...
Wiki moja baada ya raia wa Burundi kuwaua Watanzania sita wilayani Ngara mkoani Kagera,CCM kimesema viongozi wa serikali wameuza nchi kwa raia wa kigeni.
Hiyo ni kauli ya Mwenyekiti wa chama...
Samahani sana waungwana. Nimewahi kununua kitabu kimoja kiitwachwo -NDOA YANGU, NINGEJUA ambacho kwa hakika mtunzi alinisaidia sana kujua kwa nini ndoa nyingi za siku hizi hazina amani. Kutokana...
Leo katika kusikia mjadala wa budget, nilisikia msemo ulionifanya nitafakari, japo haukunistaajabisha:,
"Nchi itajengwa na wenye moyo, na italiwa na wenye meno"!
Kufuatia kosa la uhujumu uchumi lililotokea Novemba 26, 2010 la Ndege ya Jeshi la Qatar kuingia nchini na kubeba shehena kubwa ya wanyama hi, ni wakati sasa wa mawaziri kujiuzuru kwa kuifedhehesha...
BBC News - 'East Africa embassy bomber Fazul Abdullah killed''East Africa embassy bomber Fazul Abdullah killed'
Fazul Abdullah Mohammed, suspected of having played a key role in the 1998 US...
Jamani kuweni makini siku hizi hasa mitaa ya Posta na Kariakoo kumeibuka mtindo wa aina yake ya uporaji kwa abiria kwenye Taxi. Kinachofanyika hasa mida ya jioni kuna Taxi huwa zinasanya abiria...
Kwa mara ya kwanza nilipata nafasi ya kumsikiliza slaa kwa utulivu last saturday pale tegeta road kwenye kongamano la chuo kikuu cha ardhi! Nasema kwa utulive bcoz tulikuwa watu wachache and wengi...
Ndugu zangu,
AFRIKA kuna mambo! Kuna picha niliyotundika jana bloguni; mjengwa.blogspot.com iliyozua mjadala mkubwa kuhusiana na matumizi ya Serikali na hususan matumizi ya viongozi...
The rising tide of gold prices has lifted the market value of Tanzanian Royalty Exploration (TRE) to ridiculous levels.
The stock has gained over 350% from a 2008 low of under $2 to a current...
WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI ANATEMBELEA MITAMBO YA DOWANS, HAPA NCHINI.
JAKAYA KIKWETE ANACHEZEA NA AKILRI ZA WATANZANIA KWA KUENDELEA KUMULEA EDWARD LOWASA NA ROSTAM AZIZI AMBAO...
JAMANI, hivi nyumba za national housing wanaostahili ni watanzania wachache tu au ni watanzania wote? KWANZA KABISA NI NYUMBA ZA WATANZANIA WOTE, lakini, mbona wakati wa kupanga, wapangaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.