Kufuatia kauli ya rais Jakaya Kikwete kuwataka viongozi wa dini kuacha mara moja kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya mwandishi wako Nova Kambota wa tovuti huru ya watanzania...
Nawapongeza sana JF team kwa kudeploy technology kwenye kurasa zetu, zina muonekano mzuri na facilities/tools nyingi.
Sijui ni office 2010 or whatever. Mimi nimefurahishwa nayo sana naomba...
Nimetafuta saana jinsi ya kuwasiliana na Mh. Lowasa nimekwama. Naomba mnisaidie E-mail yake au simu yake ya mkononi.
Lengo langu ni kuwasiliana naye kwa mambo ya kawaida kama kushauriana...
Siku zinakwenda soon itakuwa 2015; muda huu ukifika badala ya kusema nitafanya hiki na kile nadhani itakuwa bora mkisema nilifanya hiki au kile, tena bila ya kuwa na fedha za kutosha, sasa tupeni...
wadau kesho trh 11th JUNE hapa UDOM patakuwepo na Kongamano la katiba, watoa mada watakua ni prof. Shivji, Deus Kibamba na wengine wengi. Kuanzia saa 3-9 asubuh-jioni. Jitokezeni kwa wingi...
Wazee Washutumu Wanasiasa Kuvuruga Amani Tarime.
Imeandikwa na Samson Chacha, Tarime.
WAZEE wa mila kutoka koo 13 za Kabila la Wakurya wilayani Tarime wameshutumu kile walichosema kitendo cha...
Tanzania Kosa La Kulawiti, Adhabu Yake Ni Jela miaka 30 na Viboko 24!
Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela na kuchapwa viboko...
Hivi kwa nini baadhi ya wanachama cdm wanapenda kujibu hoja zinazokikosoa chama chao kwa keajeli, dharau, na hata kwa matusi. je? aidhihirishi wazi siku cdm ikiwa chama tawala itawanyamazisha...
World's Most Expensive Cities 2011
No. 1: Tokyo
Quick lunch: $20.80
Beer at a bar: $10.56
Kilogram of rice: $9.80
Dozen eggs: $4.50
Movie theater ticket: $23.80
Although the consumer...
Wanafunzi waliomaliza meta secondary form six 1996 na 1997 amefariki mwenzetu Yusufu Mgosi leo kwao mwenge kijijini,alikuwa mwanamichezo alichezea mwenge shooting,New kenda,mungu amlaze mahala...
Amekuwa adimu si kawaida kuadimika kiasi hichi. Jamani huyu msanii namuamini sana kwa sanaa ya nyimbo za ngonjera.. Uwapi bwana william ngereja? hatuna updates za nishati zako za taa tunaona giza...
Tetemeko (la ardhi) latokea dar, watu maeneo ya mjini wamelisikia
UPDATES:
Watu PPF tower wameambiwa watoke kwenye jengo
http://earthquake.usgs.gov/earthquakes/recenteqsww/Quakes/usc000440z.php...
Habari wana Jf....
Naombeni msaada wenu, mdogo wangu wa kike anamalizia Diploma ya Business Administration anatakiwa kwenda field na amezunguka kweli kutafuta hiyo field but kila ofisi...
wa2 mbalimbali wamekuwa wakijidanganya hapa Tz kuwa eti CHADEMA kitachukuwa nchi huu niujinga na uvivu wa kufikiri ni kosa kubwa sana! Ni sawa na fisi kufuatilia mkonowa binadamu huku akijinadanya...
Wadau wa JF Tanga naomba kuwa mgeni wenu katika jiji hilo wenyewe mwasema waja leo waondoka mwakani.
Ntakuwepo Tanga kuanzia tarehe 14-18 Juni 2011. Siku nne nikiwa Tanga naomba mnijuze mahala...
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeuagiza mkoa wa Tabora kumtafuta aliyekuwa mhasibu mkuu wa mkoa huo katika kipindi kilichoishia Oktoba 30, mwaka jana ili aweze kuadhibiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.