Pengo alishawaambia CCM wajisafishe miaka 11 iliyopita!
WANANCHI mbalimbali wameendelea kukilaumu Chama Cha Mapinduzi kutokana na kero zinazowakabili raia na wamekitaka chama hicho kuleta...
Matatizo yaliyopo katika mgodi huu kwa kiasi kikubwa yanasabisabishwa na mkuu wa willaya.
1. Kwa kushirikiana na Mbunge ( Kilaza) Kuamrisha wanaanchi kukubali matakwa ya magodi bila kunzigitia...
LOCAL communities around Mount Kilimanjaro earn over 20bn/- from Africa's highest peak, which goes directly into their pockets.
A recent study by the Overseas Development Institute (ODI)...
SUALA la mgawanyo wa rasilimali zinazohesabika kuwa ni za Muungano, linazidi kuchukua sura mpya kila siku na sasa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoka Chama cha Wananchi (CUF) wanataka Zanzibar...
Katika kile kilichoelezwa wakati ulee kwamba serikali inafuta utaratibu uliokuwa unawalazimisha WaTZ wafanyabiashara kulipia leseni zao za biashara katika maeneo ya mamlaka wanayoishi/kufanyia...
Nimepita samora leo nikawana naangalia majengo nikawa na hasira na utawala mbovu!Nikaona maandishi yameandikwa MAKAOMAKUU YA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA,Nikakumnbuka mashirika yaliyotia fola enzi...
Kijambo cha leo kimebeza msimamo wa CUF ya leo na ile ya enzi hizo iliyojulikana Ngangari imeonyesha vile waliweza kufanya maandamano bila kujali polisi walijiita Ngunguri enzi hizo et leo...
Nimekuwa nikijihusisha na uandishi wa habari za siasa nchini kwa miaka mitano sasa , na nimekuwa nafatilia hali ya kisiasa nchini kwa muda sasa na kusema kweli kama kuna mtanzania anadhani...
A hater is someone who is jealous and envious and spends all their
time trying to make you look small so they can look tall.
They are very negative people to say the least. Nothing is ever
good...
Kwa mujibu wa ibara ya 63(2) ya katiba ya jamhuri wa muungano wa Tanzania bunge ndicho chombo kikuu chenye madaraka ya kuisimamia serikali kwa niaba ya wananchi.
Kwa mantiki hiyo, chombo hicho...
Kutokana na kuchemka vibaya kwa rais Jakaya Kikwete katika kipindi chake cha kwanza na tangu aanze kipindi cha pili naomba nitoe ushauri wa bure kwa Kikwete anaonaje hii miaka minne iliyobaki...
Nilikuwa sehemu ya wapenzi wa kundi maarufu la vichekesho la ze comedy kipindi likitumia runinga za bwana Mengi, moja ya sababu za kulipenda kundi hili nikuwaigiza viongozi wa serikali kwa mazuri...
Jamani wana Jf naombeni msinishangae mi tangu jana niko kijijini. Huku kijijini kwe2 ni taabu tupu!! hata mawasiliano ya redio ni shida huku inasikika TBC TAIFA NA RFA tu . Kwa yeyote mwenye...
Kiwango cha hisia za ukabila na udini kwenye blog kama ni kikubwa mno kulinganisha na jinsi ilivyo kule mtaani. huko mtaani watu hawazungumzii wala kuleta hisia zenye kuchochea udini na ukabila...
The media is too bias to the ruling party, habari kutoka magazetini wanakuwa na magazeti mengi , kuanza kusoma lazima waanze na habari leo then uhuru, aliyesoma habari za vichwa vya magazeti leo...
Wakuu mbona hakuna anayewatetea hawa wazee?
Chadema mbona harakati zenu hazigusii suala hili?kimsingi wazee hawa wamepunjwa katika kile walichostahili kulipwa, ni kweli bilioni kadhaa...
Kwa wenye dstv fuatilieni makala iliyoandaliwa ndani ya hifadhi ya serengeti madhara yatakayojitokeza endapo barabara inayotarajiwa kujengwa kukatiza ndani ya hifadhi hiyo itajengwa.Itarushwa...
Habari zenu wana jamvi nimekua nikimfatilia kwa makini sana huyu kijana Nape na amekua akilopoka sana sasa mimi nimeamua kushindana nae kwa hoja ila kwakua sikuzote napenda kua mtu makini kwakila...
Ndugu wana JF mimi ni mzaliwa wa ukerewe ila kwasasa nipo hapa Nairobi nchini Kenya kwenye moja ya mashirika ya kimataifa linalojihusisha na maswala ya kuendeleza wakazi wa maeneo ya visiwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.