Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
MAMLAKA ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imesitisha kwa muda utengenezaji, uingizaji, usambazaji na matumizi ya dawa zenye viwango duni vya ubora, baada ya kubainika kwenye ukaguzi katika maeneo...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Nawaombeni enyi wamiliki wa JF mtuwekee kitufe cha REJEA JUU kule chini mwisho wa ukurasa ili iwe rahisi kureje juu bila ku-scrol
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Help please
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kipindi kirefu sasa kumekuwa na tatizo la picha kutoendane na sauti(kimoja kinachelewa) inaelekea wameshindwa kutatua tatizo hili au? je wadau mnaotumia decoder yao mnapata tatizo hilo au ni wale...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
*UDOMASA* University of Dodoma Academic Staff Association University of Dodoma, Chimwaga Complex, P.O. Box 259,Udom, Cell +255 755210310 +255 755210310 + 255 786 336690...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
WANAJF tangu asubuhi nilikuwa ninafuatilia mazishi ya mashujaa wa kupigania uhuru wa kweli(HIVI NDIVYO WALIKUWA WANATAJWA WAKATI WA IBADA YA KUWAAGA) MAMBO YOTE YAMEENDA VIZURI KWA AMANI NA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HASIRA za Wananchi za kuwaona watuhumiwa wa unyang’anyi wa kutumia silaha waliokamatwa na baadaye kurejea mitaani, juzi iliangukia kwa mtu mmoja ambaye alifungwa miaka 30 jela na baadaye kuonekana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JESHI la Polisi wilayani Bunda linamshikilia jambazi mmoja, James Joseph (17) mkazi wa Kijiji cha Masanza Kona wilayani Magu, baada ya kupigwa risasi na mfanyabiashara mmoja wa Kijiji cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Profesa Kikula: Niko tayari kujiuzulu Tuesday, 11 January 2011 20:42 Habel Chidawali, Dodoma MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Profesa Idrisa...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Mbunge wa mbulu Mh.Mustafa Akoonay ameonekana live akiingia kwenye jengo la CCM wilaya ya Arusha.hii ni baada ya kutoka kwenye viwanja vya NMC majira ya saa 1640hrs. Je huu ni usaliti...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
KATIKA hali isiyo ya kawaida na ya kusikitisha, familia moja jijini hapa imejikuta ikizika jeneza tupu bila mwili wa marehemu, hali ambayo imeibua taharuki na hofu kubwa. Tukio hilo la aina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Should work this math trick for 11-1-11. Take the last 2 digits of your birth year & add the age you will turn this yr. Should equal 111?
0 Reactions
0 Replies
960 Views
sasa hivi huko zenji kwenye kombe la mapinduzi
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nawaomba MWANAHALISI wawe wana-update tovuti yao haraka iwezekanvyo ili sisi ambao tunalikosa kwenye news stands,tupate nafasi ya kulisoma kwenye tovuti yao.MUNGU IBARIKI MWANAHALISI,MUNGU...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uongozi wa Kampuni ya Reli (TRL) umetangaza kuanza tena huduma za usafiri wa Reli ya Kati kuanzia Jumatatu ijayo. Kwa mujibu wa taarifa ya kampuni hiyo kwa vyombo vya habari, uamuzi huo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inasemekana pesa za BOT Zimeibiwa Airport? Nikati yapesa mpya zilizokuwa zinaletwa nchini!
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Hello Nimekaa maeneo tofauti tofauti hapa dar es salaam kwa kipindi cha miaka minne sasa, katika kila sehemu niliyopata kuishi kumekuwa na MAPANYA MAKUBWA MAKUBWA (PANYA BUKU). Panya hawa ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukichanganya News-media zote hapa bongo (magazeti, tv, redio, blogs) haziwezi kufikia JF kwa kuhabarisha umma tena kwa gharama nafuu sana. Kunapotokea matukio muhimu na ya kuamsha hisia za umma...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
HIVI KATI YA JOHN OKELO NA ABEID AMAN KARUME NANI AKUMBEKWE ZAIDI JUU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR?:sing:
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Huwa nashangaaga mtu anaitisha press conferernce anaishia kusema mfano ''kesho kutwa nitaitisha press conference nyingine na kutoa habari kamili''.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom