MWANAFUNZI wa Shule ya sekondari Ntare, wilayani Karagwe, Swabilath Hussein (17),amesafiri hadi mjini Bukoba na kuanza kuzunguka katika mitaa mbalimbali akidai anatafuta fedha ya kukidhi mahitaji...
Hawa jamaa wanaendesha wizi wa waziwazi tena kibaya zaidi wana exploit vijana wanaotafuta kazi.Yaani baada ya kuapply kazi kwao walizotangaza kwenye magazeti wanakuita kwenye interview lakini...
SERIKALI imepiga marufuku wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kudaiwa michango au kurudishwa nyumbani kwa kukosa michango na kuagiza kazi hizo zifanywe na Bodi na kamati za shule.
Naibu...
KATIBU wa CCM Mkoa wa Arusha, Mary Chatanda, amesema anaheshimu maoni ya aliyekuwa Makamu Mwenyeki wa CCM, John Malecela, lakini anaamini alichokisema kuhusu maaskofu kuvua majoho kama wanataka...
Nawasalimia sana bandugu wote wa JF. Napenda kuwajulisha kwamba leo ni birth day yangu, nikitimiza miaka 48. Namshukuru Mungu kwa yote, iwe kwa mafanikio au kwa kutofanikiwa kwani yeye ndiye...
WASHKAJI EEEHEEE
MI NATAKA NIWAFINYE SIKIO,
UNAJUA MADHARA YA KUTUMIA MADAWA ILI KUENGEZA NGUVU ZA KIUME?
1. KAMA UKIITUMIA DAWA HALAF UKACHELEWA KUTUMIA AU MUDA UKAFIKA HALAF DEMU WAKO...
Transport deputy minister Athuman Mfutakamba takes a rare ride in a commuter bus plying the Kariakoo-Mwenge route in Dar es Salaam at the weekend. He said he was following up reports of...
INAWEZEKANA likawa moja ya matukio mabaya ya kufungua mwaka 2011 mkoani Kilimanjaro, baada ya watu wasiojulikana kumuua mwanamke na kuondoka na viungo mbalimbali vya mwili wake kikiwamo kichwa...
Transport Minister Omar Nundu
Transport Minister Omar Nundu has cited unnecessary bureaucracy by Port Improvement Committee officials as the stumbling block to the development of Tanga port...
KAMPUNI ya Reli (TRL) imetangaza kusimamisha huduma ya reli ya kati kuanzia leo kutokana na kuharibika kwa daraja lililoko kati ya stesheni za Bahi na Kintinku mkoani Dodoma.
Daraja hilo...
IBADA ya marehemu wawili waliouawa na polisi katika vurugu za maandamano ya Chadema
inatarajiwa kufanyika katika uwanja wa NMC leo, baada ya Polisi kuridhia shughuli hiyo ya mazishi kufanyika...
MBUNGE wa Nyamagana, Ezekia Wenje (Chadema), ameangua kilio mbele ya wapiga kura wake baada ya kuelezea changamoto anazopelekewa na wapiga kura hao ofisini kwake.
Wenje, ambaye alikuwa...
Kulikoni Makongo Juu, mbona barabara ni mbaya na hapo Changanyikeni wametengenezewa vizuri na sisi tumeachwa?
Pili kuhusu maji:
Mabomba ya wachina yapo hadi mlangoni wenzetu wa...
"waweza jiuliza ni nani huyu mgomo?
Kila sehemu kaamua kumwagika yeye je ni kidudu mtu ??je ni nani mwenye matatizo kati ya serikali na huyu mgumu?
Vyuo vingi sasa vimeamka na kujua kumbe haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.