Katika hali inakanganya kabisa yaelekea TLR na TAZARA wana meneja masilahi mmoja na wamechoshwa na utawala wake wa kiimla wa kupuulizia mbali masilahi ya wafanyakazi...................sasa...
MFANYABIASHARA, Pascal Matunda (50), mkazi wa Mikocheni amenyanganywa silaha yake aliyokuwa akiimiliki kihalali, baada ya polisi kumkumata akiwa amelewa na amelala ndani ya
gari alilokuwa...
Hivi ............Tuna mihimili mingapi katika nchi yetu.......??? Nauliza kwa sababu
1. ...............Jaji mkuu anateuliwa na raisi.......... hiyo haimnyimi uhuru wa maamuzi hasa inapotokea...
Anyanganywa silaha kwa kukutwa kalala kwenye gari
Imeandikwa na Hellen Mlacky; Tarehe: 10th January 2011 @ 23:24 Imesomwa na watu: 198; Jumla ya maoni: 0...
TUMELAZIMIKA kurudia wito tulioutoa kwa Serikali juzi kwamba suluhisho la mgogoro wa umeya katika Jiji la Arusha unaweza kutatuliwa iwapo tu uchaguzi utarudiwa kwa kufuata kanuni na taratibu...
Vurugu kubwa zimeubuka eneo la Mbagala Kiburugwa, jijini Dar es Salaam, baada ya wananchi wenye hasira kuvamia jengo la ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kubomoa ukuta wa uzio.
Vurugu hizo...
Mgogoro mwingine umeibuka kati ya Jeshi la Polisi mkoani Arusha na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufuatia hatua ya polisi kukataa kuruhusu uwanja wa NMC kutumika kuwaaga marehemu...
mama wa kambo anasemwa vibaya hata afanyapo mazuri,jamii inamwelewa vema kuwa simwema ingawa si kweli.sasa nauliza juu ya baba wa kambo jamii inamsemaje?
Lionel Messi is again the master of the worlds soccer players.
It is a mighty claim for a little fellow. But he deserved to receive the FIFA Ballon dOr, the recognition as player of the year...
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameingilia kati vurugu zilizotokea Arusha kutokana na mvutano wa kisiasa baina ya CCM na Chadema kuhusu suala la Meya wa Jiji la Arusha akitaka kuwapo suluhisho la kudumu...
Wakuu poleni na majukumu ya kujikimu sio kujenga Taifa kwani ukijenga Taifa linaliwa na wajanja hii haijakaa poa.
Naombe mwenye kujua masuala ya TBS kwani gari yangu haijafanyiwa Inspection toka...
Wandugu, leo nimesoma habari kuhusu chuo kipya cha Ulinzi na Usalama ambacho kitatoa degree ya masters ya kijeshi. Chuo hicho kimejengwa kwa mchango wa bilioni 4.4 kutoka China, na bilioni 2...
mkuu wa kaya vp tena hii nyimbo siisikii siku hizi. zile shamrashamra na ving'ora za nyimbo hii ya maralia haikubaliki ktk uzinduzi wake hatupati taarifa zake sokoni, nilitegemea unge imba hii...
Jamani hivi kwanini watanzania tunapinga kupanda kwa bei? au hatutaki maendeleo?
kupanda kwa bei kunaonyesha tunaenda na wakati? jamani hivi kweli mtagoma kwa kasababu kadogo tuu ka kupanda bei na...
Wakati huo huo, Jeshi la Polisi wilayani Songea, mkoani Ruvuma limezuia kufanyika kwa maandamano ya amani yaliyoitishwa na Chadema wilayani humo jana yenye lengo la kupinga uamuzi wa mkuu wa...
A blind boy sat on the steps of a building with a hat by his feet. He held up a sign which said: "I am blind, please help." There were only a few coins in the hat.
A man was walking by. He...
VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Polisi mkoani Arusha wameingia katika msuguano kuhusu mahali pa kuagia watu wawili waliouawa katika vurugu za
maandamano.
Wakati...
Kwa hapa TZ asilimia kubwa ya mapolisi ni wale either waliofeli shule au wanaingia upolisi baada ya channel zote za maisha kugoma. Utamsikia mzazi anamwambia mtoto wake, we cheza na shule utaishia...
Mwananchi wetu
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, kinatuhumiwa kuanza mchezo mchafu wa kuufanya mgogoro wa uchaguzi wa Meya wa jiji la Arusha uliosababisha vifo vya watu watatu, kuwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.