Wapenzi naombeni kujua maeneo ya kujidai/mtoko katika mkoa wa dodoma. Napenda sehemu tulivu ambazo hazina makelele. Nataka niwe najipa mtoko angalau weekend katika kipindi chote nitakachokuwa...
Mfano wa idd amin alivyowateka wajeruman hvyo walipokuja kuokolewa waliongea kijeruman hvyo wale wasiojua kijeruman waliuwawa je hapo lugha asil au wanaita lugha mama inaumuhimu wa kuijua
Jeshi la Wananchi wa Tannzania(JWTZ)litafungua Chuo Maalum CHA ulinzi wa Taifa kitakachotoa mafunzo maalum ya uzamili na stratejia ya ulinzi na usalama kwa muda wa mwaka mmoja kwanzia tarehe...
Mimi binafsi kuanzia January 2011, nitachangia JF kiasi cha Tshs.10,000/= kila mwezi na sina haja ya kukumbushwa bali kwa uaminifu na uadilifu mkubwa nitahakikisha mchango wangu unafika kwa...
Na Maggid Mjengwa,
UKITAKA kumjua Mwafrika, basi, mwangalie siku anapohama. Ndivyo tulivyo. Hata kwenye uongozi, ni hivyo hivyo. Mwangalie kiongozi wa Afrika anapoingia
na anapotoka kwenye...
Mwanamke mmoja wa nchini Marekani ambaye alitaka kuingia mwaka 2011 akiwa mrembo zaidi na mwenye makalio makubwa amefariki dunia masaa matatu baada ya kufanyiwa operesheni ya kuongeza makalio...
Yaani kero juu ya kero! Sijamalizana na TANESCO kwa jinsi wanavyotufanya mabahau kulipia gharama walizofisadi wao na wakubwa zao huko Serikalini bila kutushirikisha, huku wakitulaza gizani na...
Mimi binafsi kuanzia January 2011, nitachangia JF kiasi cha Tshs.10,000/= kila mwezi na sina haja ya kukumbushwa bali kwa uaminifu na uadilifu mkubwa nitahakikisha mchango wangu unafika kwa...
JOTO la kisiasa mkoani Arusha limezidi kupanda kiasi cha kumlazimu Naibu Meya wa Jiji la Arusha, Michael Kivuyo wa Chama cha Tanzania Labour (TLP) aliyechaguliwa na madiwani wote wa CCM, kutangaza...
Tanzanian President Jakaya Kikwete has expressed deep regret over recent violence in the countrys northern town of Arusha where four people were killed by police fire during an opposition rally...
Watanzania waliotekwa waendelea kusota melini Send to a friend Friday, 07 January 2011 20:15 0diggsdigg
Geofrey Nyangoro
HATIMA ya watu 28 wakiwemo Watanzania 14 waliomo kwenye Meli ya MV...
Some interesting New Year resolutions, from Dr. Olomi
Nimekuwa nafuatilia jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa inavyozidi kushika kasi, ikipelekea ule wigo wa kuomba michango...
Hivi huduma za kuangalia camera Bank ni za kulipia?kuna ndugu yangu kaibiwa 1.2 M alikuwa anaandika baada ya kumaliza kujaza amount and all, that bahasha ya pesa ilikuwa pembeni sasa achukue ile...
Wadau,
Naomba mwenye taarifa yoyote(uzuri/ubaya) juu ya hii digital camera, anijuze. Kuna mtu anaiuza, amepatwa na shida na kama mjuavyo kimfaacho mtu chake.
Nawakilisha.
jamani naomba kwa yeyote mwenye wimbo huu audio auweke hapa au anitumie kwa e mail adress kilimasera@gmail.com nitashukuru sana nimetafuta sana naupata wa video tu mimi nataka audio ambayo...
KIJANA mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Baraka Mathias Chale (37), mkazi wa Segerea Njia Panda wilayani Ilala, amekutwa amekufa kwa kujilipua kwa umeme.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Mkoa wa...
MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi `Sugu amewaonya askari Mgambo wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya wanaotumia mabavu kunyanganya bidhaa za wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Wamachinga...
Kuna wakati Serikali ilitoa agizo Bus zote ziwe na milango ya emergency na ikatoa muda wa kufanya marekekibisho hayo, baada ya muda huo ambao wangekuwa hawajatekeleza augizo hilo magari yao...
The magnetic north pole is currently hovering over the North Sea and moving toward Siberia. This means two Florida airports are renumbering their runways.
Odd as this connection may appear on the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.