Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limekabidhiwa msaada wa majengo ya Chuo Kikuu cha Ulinzi cha Taifa na Serikali ya China. Akizungumza katika makabidhiano hayo Dar es Salaam...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Katika hatua nyingine, Chadema kimeanza kutembeza bakuli kwa wananchi kwa ajili ya kukusanya michango ya hali na mali ya kuwasaidia majeruhi waliolazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HAWA JAMAA WANAOJIITA MAPEDESHEE WENGI NI MATAPELI, MAJAMBAZI NA WEZI. KIPATO CHAO SI CHA HALALI. PAPAA MUSOFE NI MWIZI NA TAPELI WA KIMATAIFA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waitaka serikali kuingilia haraka kurejesha amani Mbeya, Iringa wachangia fedha majeruhi waliolazwa Maandamano mengine ya Chadema yazuiwa Songea Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Viongozi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuhusu hii issue ya magari yote yanayobeba wanafunzi kupakwa rangi ya njano na kutobeba abiria wa kawaida nadhani SUMATRA wamekurupuka bila kuangalia hali halisi ya maisha ya mtanzania Kwa mfano...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimeamshwa na messege hii kwenye simu yangu nanukuu "Congrats!!! Your Mobile number has won 240,000 Pounds Sterling in the Ongoing NOKIA Mega Jackpot, for claims call: +44-704-570-6131 or Email...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Jamani mi naenda kulala naomba kwa uaminifu,naomba nimjue wa mwisho kulala hapa jf,kama ni wewe kabla hujalala,comment kwenye hii thread,kesho nitaicheki mshindi nitampa zawadi:a s 101::a s 101::a...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu nina ndugu yangu ambaye alipata udahili katika chuo kikuu cha TUMAINI campus ya Iringa na anachukua (BaEd). Tangu amejiunga hadi sasa hawajapata mkopo na katika kufuatilia bila mafanikio...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
NIFAHAMISHE ilishuhudia jana watu wakiwa wamefurika katika stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani wakihangaika na usafiri wa kurudi mikoani baada ya stendi hiyo kufurika kupita kiasi na kusababisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ASASI binafsi inayoitwa UWEZO Tanzania, Mei mwaka (2010) huu ilifanya utafiti juu ya maendeleo ya elimu katika vijiji 1,140 kwenye wilaya 38, ikahoji watoto 42,033 wa shule za msingi, wenye umri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAJAMBAZI wamemchinja mlinzi wa duka la dhahabu katika Mtaa wa Misheni, Kata ya Kalangalala, wilayani Geita, na kupora masalia ya mchanga wa madini hayo.Mlinzi huyo, Bw. Fikiri Bundala (27) mkazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
:coffee:Monday, 10 January 2011 22:43 By Ray Naluyaga, Citizen Bureau Chief Mwanza. In order to develop textile industry in Tanzania, the government has set up the faculty of textile...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanamgambo wa kundi la Al-Shabbab wa nchini Somalia wametangaza kupiga marufuku wanaume kusalimiana kwa kushikana mikono, kutembea au kuongea na wanawake ambao hawana uhusiano nao. Wanamgambo wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri mkuu wa zamani wa Israel, Ariel Sharon ambaye alizimia na kuingia kwenye hali ya koma ya kutokujitambua tangu mwaka 2006 ameanza kuonyesha dalili ya kuzinduka. Waziri mkuu wa zamani wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Watu 708 wamejeruhiwa nchini Philippines wakati mamilioni ya watu walipopigania kuligusa sanamu la Yesu mweusi ambalo linaaminika kuwa lina nguvu za miujiza. Tamasha la kila mwaka la waumini wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
IJANA Maneno Juma amefariki dunia baada ya kutumbukia kweye shimo la choo wakati akiwa katika harakati za kutengeneza choo hicho huko maeneo ya Ilala Bungoni jijini Dar es Salaam.. Marehemu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda uchaguzi na kufanikiwa kuongoza Halmashauri ya Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro. Diwani wa Kata ya Machame Kaskazini, Clement Kwayu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Profesa Mark Mwandosya amesema viongozi wakianza kutafuta mchawi aliyesababisha washindwe uchaguzi uliopita katika baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KIKOSI Maalumu cha Kupambana na Wizi wa Magari, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kimewakamata watuhumiwa watano akiwemo mfanyabiashara Ndama Shabani (38) maarufu kama Ndama Mtoto wa ng’ombe kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WANANCHI wenye hasira wamemuua mtuhumiwa wa ujambazi aliyekuwa amepanga katika nyumba ya kulala wageni ya Inn’s lodge, iliyopo Kigogo wilayani Kinondoni na kuwajeruhi vibaya wengine watatu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom