Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, John Mwakipesile ametoa muda wa wiki mbili kwa kila halmashauri mkoani hapa, kuhakikisha wanafunzi 3,150 ambao hawajachaguliwa kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
RAIA wa China, Li Guibang (42) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka matano likiwemo la kusafirisha nyara za serikali zenye thamani ya Sh milioni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waitaka serikali kuingilia haraka kurejesha amani Mbeya, Iringa wachangia fedha majeruhi waliolazwa Maandamano mengine ya Chadema yazuiwa Songea Viongozi wa dini ya Kiislamu wameungana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu gari yangu imekwama Bandarini inahitaji TBS Je kwa anayejua ni Toyota Noah 2002 Imekwama sasa sijui bei gani mwenye kujua Sasa inakula Storage nisaidieni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waungwana, Nimejiuliza na kutafakari kwa kitambo pasipo kujua ya kwamba 'inakuwaje hakuna vyama vya wafanyakazi wa makampuni ya simu hapa nchini'. Ukiangalia makampuni haya ya simu yameshaota...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika hali ya kusikitisha kundi la Maaskofu wa Madhehebu ya Kikristo walikataa kufanya kazi na Meya Mteule(si wakuchaguliwa) wa Arusha na Baadaye Dhehebu jingine likajitokeza kumsapoti na...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Natoa wito kwa uongozi wa serikali ya wanafunzi wa UDOM kutoa tamko la kuomba radhi kwa kitendo cha baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho kumshambulia mwandishi wa habari wa gazeti la mwananchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeona hii From Yahoo........ Je unaweza Kudanganya Kuliko Hawa..? Top 10 Best Lies ever: 1. On the phone to Phone company: "My phone is cut off. Yes, I know I haven't paid yet, it's in the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna tabia ambayo imejitokeza ya baadhi ya viongozi wa CCM na wapambe wake ya kuwagawa watu kwa hoja ya DINI na itikadi za SIASA.Hii imechangia kuwagawa wananchi na kusahau maslahi yao na ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nimeitembelea hii website ya mbunge wa Bumbuli, Kilichonistaajabisha ni lugha yake aliyoitumia kuwasiliana na wananchi wake. Siku hizi unaweza kuperuzi intaneti hata kwenye simu ya...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Waziri katika Baraza la Mawaziri ameamua kumkosoa mwenzake hadharani kutokana na uamuzi alioutangaza hivi karibuni kwa Taifa. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nakumbuka kwa mara ya kwanza Mh. alipoingia katika utawala mwaka 2005 aliingia na mkosi wa majambazi, ambao waliingia nao katika mtandao kwa kasi ya ajabu...hata kabla ya kumaliza siku mia moja za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Lilipotokea tukio hili ni Km kama mbili hivi kutoka kituo kikuu cha Polisi cha Mkoa huo na polsi walifika kunako tukio saa 2 usiku MAJAMBAZI watano wote wakiwa na silaha mbalimmbali ikiwemo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mimi ni mfanyakazi wa serikali. nina mke na mtoto. kazi yangu inanilipa vizuri tu. nahitaji kutembelea Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi ya wiki moja mwanzoni mwa march,2011. natafuta taarifa za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baba aua wanawe watatu, ajinyonga kwa katani Send to a friend Sunday, 09 January 2011 20:59 0 digg Anthony Kayanda, Kigoma. MTU mmoja anayefahamika kwa jina la Filbert Kafonogo (35)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ASKARI Polisi mjini hapa wameiomba Serikali kuangalia jinsi ya kuboresha nyumba wanazoishi walinzi hao wa Usalama wa raia kutokana na kile walichodai zimechakaa kupita kiasi na kwamba hali ya sasa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Serikali Daruso yavunjwa na Chalila Kibuda SERIKALI ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es es Salaam (DARUSO), imevunjwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za uhakika nikwamba yule msumbufu no,1 MS(MARALIA SUGU)Ameng'olewa hapa JF baada yakuonekana mwelekeo wake ulikuwa mbaya wa wakugawa watu!Si raia halali wa JF.Kuanzia leo.
0 Reactions
37 Replies
3K Views
KATIKA kuhakikisha inapambana na kero ya msongamano wa magari Dar es Salaam, Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni iko katika hatua za mwisho za kuanza mchakato wa ujenzi wa barabara zake kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom