Jana kwa mara ya kwanza nilibahatika kupanda basi moja na mwana JF. Niligundua kuwa ni mwana JF pale ambambo alipokuwa anatumia laptop yake na kuaccess internet. Nilipochungulia niliona ana access...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jijini Mwanza kimemteua Diwani wa Nyakato, Josephat Manyerere, kuwa mgombea wa umeya wa jiji hilo, huku nafasi ya unaibu ikichukuliwa na Charles...
MWANAUME mmoja [45] [jina kapuni] mkazi wa Sinza, amejikuta akihaha huku na huku kurudisha amani katika ndoa yake baada ya kufumaniwa akiwa na msichana wa kazi bafuni wakika uroda.
Hayo yametokea...
Wazee wa Sauti ya Umeme, mchango wako hapa jamvini umepungua kwa kiasi kikubwa!
Last Activity:16th November 2010 01:10 AM
'KUMKOMA NYANI GILADI'
Bwa ha ha ha!!!
Nadhani kwa wakaazi wa Arusha na vitongoji vyake watakuwa wameshaona kwenye mabango mbalimbali barabarani ama kupitia redio ama magazeti ya kuwa iliyokuwa inaitwa novotel mount meru hotel...
Barack Obama
Hu Jintao
Vladimir Putin
Ben S. Bernanke
Sergey Brin and Larry Page
Carlos Slim Helu
Rupert Murdoch
Michael T. Duke
Abdullah bin Abdul Aziz al Saud
William Gates III...
Wadau kuna hili swala la kualika wasanii kutoka overseas kuja ku perform kwenye show za hapa bongo na wanachota mapesa kibao lakini hata kama wakifunikwa na wasanii wa bongo bado mbongo atalipwa...
Habari Kutoka Mbeya zimeingia sasa hivi kwamba soko kuu la Uhindini katika jiji hilo linaangamia kwa moto kama inavyoonekana katika picha hii ya ripota wa Globu ya Jamii aliyeko eneo la tukio...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya makamu wa Rais, Dr. Theresia Hovisa katika kongamano la vijana kuhusu ukimwi alisema kuwa alitiwa mimba na fataki, halafu alimsifia fataki huyo kwa kumsomesha, na...
Mmiliki wa eneo linalodaiwa kuwa la wazi Palm Beach, amekanusha kuvamia eneo hilo. Mmiliki huyo, Taher Muccadam, amesema anamiliki kiwanja hicho kihalali kwa mujibu wa taratibu za kisheria...
Kunradhi kwa wale ambao niliwakwaza kwa kuwaambia kuwa hapa bongo mtu aweza ingiza hadi dola 36,000/- kwa mwezi, naomba radhi kwa sababu wapo walo kwazika wakidhani ni NDOTO tu na kwamba...
Kuna baadhi ya watu kwa bahati mbaya wamekosa majina ya kilugha, mathan mtu anaitwa Mariam Ally Juma au Humphrey John Nicolaus.
Da hata ukimuuliza jina lako la ukoo ni nani nalo pia hana...
Mwalimu amvunja mkono mwanafunzi wake
Mwalimu wa Kiingereza katika Shule ya Msingi Furaha jijini Mwanza, Jafeth Manyirizu, anatafutwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kufuatia kudaiwa kumvunja...
Wana JF;
Mimi na wenzangu tumeamua kutafuta eneo la kilimo maeneo ya Chalinze, kama kilometa 10 - 15 kutoka pale Chalinze mjini. Mipango yetu y amuda mrefu ni kufanya kilimo cha mazao ya kudumu...
NAFIKIRI CHADEMA SASA WASHUGULIKIE MAJIMBO NA KERO ZA WANACHI ACHENI KUGOMBANA NA KAMA KUNA MTU ANAONA KUKERWA NA CHAMA ONDOKA. MAANA SIKU ZOTE KAMA MTU HAFUATI MASHARTI YA CHAMA NI VYEMA...
JF kuna post nyingi za kufurahisha kwenye majukwaa yake mbalimbali.
Binafsi nlifurahishwa sana na post ya utambulisho wa dabo diff.
Naamini ni wengi walifurahishwa nayo ndiyo maana ilipata...
Wanajamvi,
Natafuta contact za Managing Director au Programming Manager wa Radio Free Africa. Nina business proposal nataka kumwagia sera. Nitashukuru kwa msaada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.