IMEZOELEKA sehemu nyingi duniani kusikia kesi nyingi za ubakaji huwahusisha wanaume. Lakini yaliyotokea Papua New Guinea yameshtua ulimwengu baada ya kesi ya kijana mdogo wa kiume kubakwa na...
Naomba mwenye jibu anijuze... Ni vipi tumefika hapa tulipo sasa.
Rushwa sasa imekuwa kama kitu cha kawaida, wafanyakazi serikalini hawakupi huduma eti mpaka uwape takrima.... Wamegeuza shughuli...
VITENDO vya wabunge wa CCM kuhamisha samani na vitu vingine kwenye ofisi za wabunge majimboni, jana liliibukia Iringa Mjini ambako mbunge mpya kwa tiketi ya Chadema, Peter Msigwa amedai kuikuta...
Mimi si waziri mpole-Kawambwa
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa amesema yeye si waziri mpole kwa sababu ya kutotema cheche kama wenzake, bali ni mkali kwa...
Naomba kujulishwa hapa tanzania ni wapi naweza pata majarida ya katuni za tin Tin na kale ka-mbwa kake (kenye akili haina mfano).
Nalijaribu wakati fulani kutafuta kwenye maduka ya vitabu na...
Kama ni kuibiwa na kutapeliwa na Baadhiya wana habari walikosa maadili yatakuwa yamewapata wengi ila hawana pa kusemea maana hata wakisema nani ataandika maana wengi wao wako kundi moja...
MAKALI ya tatizo la umeme yamezidi baada ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kueleza kuwa mgawo wa umeme sasa si wa mikoa saba pekee, bali mikoa yote inayopata umeme kupitia gridi ya taifa...
DEMOKRASIA ni dhana pana. Ni haki ya kila mtu kufanya kile atatakacho almradi havunji sheria.
Dhana hii chimbuko lake ni haki ya binadamu ambayo haiombwi kwa yeyote.
Inafahamika kuwa kila...
SAKATA la wizi wa mamilioni ya fedha, linalowakabili wahasibu wawili wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha(AICC), limechukua sura mpya baada ya uongozi wa kituo hicho, kuamua kuwaondoa...
Tanesco: hatujui mgawo utaisha lini Send to a friend Thursday, 02 December 2010 21:28 0diggsdigg
Meneja Uhusiano wa Tanesco, Badra Masoud
Elizabeth Ernest na Mwanaidi Abasi
SHIRIKA la Umeme...
kupangua makombora bungeni *AWATAKA MAWAZIRI KUUNGANA NA KUWA NA SAUTI MOJA BUNGENI Salim Said RAIS Jakaya Kikwete amewataka mawaziri kuhakikisha wanawajibika kwa umoja wao bungeni, kutetea...
Katika hali isiyo ya kawaida, Hassan Omary, mkazi wa Kata ya Kiungi Madukani katika wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro, amemwua mwanaye wake Joseph Hassan (1.3) kwa kumkanyaga kifuani...
Wana jf, soko kuu la uhindini jijini mbeya linawaka moto hivi sasa, hali siyo nzuri
=====
Ingawa hadi sasa haijaweza kufahamika hasa nini chanzo cha moto huo wala hasara iliyotokana na moto...
Kweli yawezekana mzee wetu tangu mama atutoke lakini naamini yuko na msaidiizi
kwanza nampongeza kwa jinsi ya pamba anazovaa kwa kweli mzee hili nakupa kumi ila kuna hili kidogo yawezekana ni...
Nimekuwa nikifuatilia wasanii wetu na hasa wa hiki kizazi kipya na nyimbo zao. Nyimbo zao nyingi zinahusu mapenzi. Nadhani zimekuwa kichocheo kikubwa katika maambukizi ya virusi vya ukimwi...
WAKATI wananchi wakishitushwa na hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro ya Biashara (ICC Court), kutoa uamuzi kuwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) liilipe Kampuni ya Dowans...
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida mamia ya waumini wa Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga, mkoani Rukwa, wamejikuta katika wakati mgumu baada ya uongozi wa kanisa hilo kutangaza kuwatenga na...
Wanajavi
What do u consider were your three most best posts/ comments in 2010
What do u consdier was the most funniest/ romanticiest( teh teh wataalam wa lugha)
Vile vile
What do...
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amependekeza kuwepo kwa mfumo wa kugawana nafasi sawa za ajira (quota system) katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Akizungumza katika...
1. Nakumbuka zamani Shilingi tano ilikuwa inaitwa Dala kwasababu ilikuwa sawa na dola moja ya Kimalekani,
2. Kwasasa Airtime kiasi cha Shiringi elfu moja kinaitwa dola moja.
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.