Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wadau; Nimekuwa ni kija mara kwa mara hapa kwa watani wa jadi na in particular Nairobi kwa shughuli za kikazi siku za hivi karibuni. Hivyo nina makazi DSM na NRB. Haya ndiyo niliyoyaona na...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Wadau nielewesheni, hivi ndege ya Mh Rais wa JMT ni nzima au ni mbovu? Je mara ya mwisho kufanya kazi ilikuwa mwaka gani? Je Mh JK amewahi kuitumia?.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukitakakuoga ukubarikurowana wana jf tutafuteukweri tusifuateupepo mkumbo chanzo chavurugunini? nachangawatukushabikia vitubirakuangaria mbere tukubarikwasasausiangarie makosa tuangarie chanzo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Written by Mkinga Mkinga There is no way the Catholic Church would allow the use of condoms by its faithful, Auxiliary Bishop Methodius Kilaini of Bukoba diocese has affirmed. “It’s not easy...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bongo inakuwaje vyuo hasa vyuo vikuu vyenye hadhi haviweki prospectus kwenye mtandao ili prospective students wakasoma na kujua course contents ya programs mabli mbali wanazotaka kusoma?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Mtoto ananunuliwa hospitalini 2. Kufanya sex/ngono ni mambo ya ma balaa(ya kishetani) 3. Mtoto wa kiume hatakiwi jikoni atakuwa na tabia za kike 4. Mtoto wa Kiume haoti moto NB: no. 3 & 4...
0 Reactions
82 Replies
11K Views
Aibu gani? Amkeni. Nyerere alishakufa. Wamebaki wezi tu. Watu wanatoka Pwani na India kuja kuchota madini kwenu. Munaachiwa mashimo na vumbi. Mumelala. Wenzenu Mwanza kula mapanki tu wameona...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
MAGAZETI YAMEANZA KUFILISIKA: MAJIRA kama mnakumbuka walikuwa na domain yao, inasemekana walishindwa kuilipia ikazuiwa na sasa inauzwa kwa mwenye pesa yake, hapo nimewapa hint ndogo (usiulize...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BAADA ya kukamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri na kuliapisha hivi karibuni, Rais Jakaya Kikwete ameendelea kupanga safu zake za watendaji katika ngazi mbalimbali baada ya ushindi wa Uchaguzi...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Siku zote huwa nasikia watu wakisema huo ndio ukubwa,Kwan ukubwa huanzia wapi? Au ukiwa na miaka 18 ndio tayari unaanzia hapo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. General Tyre 2. NDC 3. STAMICO Nawasilisha!
0 Reactions
21 Replies
3K Views
GreaTtHinkers, Kama ilivyozoeleka kuwa yeye ni Mzee wa Int. Trips mnadhani ataanzia nchi gani safari hii?:target:
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Elizabeth Ernest na Mwanaidi Abasi SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema haijulikani ni mgawo wa nishati hiyo ambayo mkoani Dar es Salaam, imekuwa ikipatikana kwa njia hiyo, utamalizika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hili ni ngumu kuamini lakini kazi tulioianzisha naona shuguli yake imeanza kwa upende wa kawe wapendwa kuna sehemu tulishabikia sana chadema na kufikia kutoa wake zetu kafara wasipoipigia chadema...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kuna ufisadi mkubwa nazani,ujenzi hakuna kitu miradi mingi imeisha labda viwanja vya ndege
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Nimesikia Marsha Ex minister ameamua kuwa mwanamasubwi baada ya kuzichapa na Jeneral Ulimwengu Bar...Mwenye taarifa kamili atuhabarishe
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Wandugu, hebu nisaidieni kufafanua huo haya maneno hapa; "Kuwika kwa Jogoo kunahitaji Busara". Ni kweli jogoo hua anawika kwa busara? Na kama ndio, kwani viumbe wengine, ukiwaacha wana-wa -...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Top 10 Stats View more Turn off Top Stats 1Mzee Mwanakijiji21,3882Nyani Ngabu19,9233Bubu Ataka Kusema14,1014Field Marshall ES12,9185Rev...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mali zilizookolewa na polisi Mbeya 'zayeyuka' Na Rashid Mkwinda, Mbeya WAFANYABIASHARA wa Soko la Uhindini lililoungua moto usiku wa kuamkia jana jijini Mbeya wamelilaumu Jeshi la Polisi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbega ameondoa hadi mapazia ofisini-Mbunge Tumaini Msowoya, Iringa VITENDO vya wabunge wa CCM kuhamisha samani na vitu vingine kwenye ofisi za wabunge majimboni, jana liliibukia Iringa Mjini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom